Zitto Kabwe amdhihaki Tundu Lissu kwa kumuita CHIBA. Aomba radhi baada ya kulalamikiwa

Ameomba radhi! Seems alijua ni jina la utani lakini hakujua linahusishwa na ulemavu. Itakuwa ajabu hili tukitaka kulifanya topic.

Nashauri likomee hapo, kulizungumza zaidi halitamuumiza tu Zitto bali hata ndugu yetu. Mengine tuache yapite.
Zitto ameonesha utoto mwingi sana. Sana. Sikuwahi tegemea anaweza shuka mpaka kiwango hiki cha kufirisika. Hapa amefirisika sana kifikra. Siyo yule Zitto aliyekuwa anapewa nyeti ana zi present vizuri kwa hoja na ufahamu. Sasa amekuwa mshabiki zaidi na asiyejielewa.
 
Hujafa hujaumbika!

Kwa jinsi Zitto Kabwe alivyo siyo busara kumkejeli mwenzake kwani naye ana hitalafu nyingi tu mwilini mwake, ajiheshimu.

Labda kama hakusema ila wanamsingizia.

Kiuhalisia Chiba ni mtu aliyezaliwa akiwa na miguu isiyolingana.

Hapana, Sony Chiba alikuwa ni DJ maarufu miaka ya 80, alikuwa ni mlemavu ndio hapo jina hilo Chiba walipobatizwa vilema wengi miaka hiyo. Ni kama vile umuone mlemavu umuite mabaga fresh.
 
Zitto sasa amevuka mpaka na shime ndugu Tundu usimchekee tena hasa kwa hatua hiyo ya kukudhalilisha kwa kilema chako.

Hii ndiyo Tweet aliyoandika Twitter wakati akijibu hoja ya mdau

Baada ya kulalamikiwa na wadau, Zitto Kabwe aliomba msamaha na kudai kuwa hakuwa anajua maana ya neno ''CHIBA'' kama linamaanisha mlemavu, bali alijua ni maneno ya vijana tu

Nukuu
Kwa kweli sikufahamu kama jina Chiba linahusiana na ulemavu. Nilidhani ni majina ya Vijana ya kutaniana. Mama yangu mzazi alikuwa mlemavu kamwe siwezi kutweza ulemavu wa Mtu. Naomba radhi sana Kwa hili. Hakika Sio Sawa. Uzee umeingia tunapitwa na majina ya mtaani. Mniwie radhi

mnafiki aliyetukuka
 
Nisingeona radhi yake tena ukiangalia time aliyoandika utaona hata yeye hakujua vyema tafsiri ya hilo neno. Inaweza kutokea kwa yeyote! Mfano nikisema "Zuzu amegoma" wote hapa tunajua maana ya neno Zuzu?

Sometimes kwenye siasa kuna maneno ya kejeli bila hata kujua maana halisi. Mfano Lissu alipenda kumuita JPM "dikteta uchwara" , Mnyika alimuita Kikwete "dhaifu" na wote hakuna aliyewahi kuomba radhi. Hili Zitto kawa muungwana hakuna haja ya kuyakuza zaidi.
Yaani kusoma kwake vitabu vingi kama anavyojinasibu,hajawahi jua maana ya CHIBA?
 
Sasa unatumiaje neno usilojua maana yake vizuri hata kama ni la utani?
Ameomba radhi! Seems alijua ni jina la utani lakini hakujua linahusishwa na ulemavu. Itakuwa ajabu hili tukitaka kulifanya topic.

Nashauri likomee hapo, kulizungumza zaidi halitamuumiza tu Zitto bali hata ndugu yetu. Mengine tuache yapite.
 
Timu gaidi wamefilisika kabisa kiuchumi.
Walikunywa na kulewa sana kwa furaha march 17/2021 lakini laana yake haijawaacha salama mwaka umeisha bado Lisu na Lema wanaishi kwa kuombaomba .

Tena bora umenikumbusha, ngoja niwapigie simu washkaji kesho tupige party la ukweli, lengo ni kumshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika
 
Ameomba radhi! Seems alijua ni jina la utani lakini hakujua linahusishwa na ulemavu. Itakuwa ajabu hili tukitaka kulifanya topic.

Nashauri likomee hapo, kulizungumza zaidi halitamuumiza tu Zitto bali hata ndugu yetu. Mengine tuache yapite.

Hastahili kuomba radhi maana kwenye siasa hayo majina ya kejeli hayakwepeki. Nitashangaa kama Lisu atashindwa kuvumilia majina ya aina hiyo ya kejeli.
 
Zitto sasa amevuka mpaka na shime ndugu Tundu usimchekee tena hasa kwa hatua hiyo ya kukudhalilisha kwa kilema chako.

Hii ndiyo Tweet aliyoandika Twitter wakati akijibu hoja ya mdau

Baada ya kulalamikiwa na wadau, Zitto Kabwe aliomba msamaha na kudai kuwa hakuwa anajua maana ya neno ''CHIBA'' kama linamaanisha mlemavu, bali alijua ni maneno ya vijana tu

Nukuu
Kwa kweli sikufahamu kama jina Chiba linahusiana na ulemavu. Nilidhani ni majina ya Vijana ya kutaniana. Mama yangu mzazi alikuwa mlemavu kamwe siwezi kutweza ulemavu wa Mtu. Naomba radhi sana Kwa hili. Hakika Sio Sawa. Uzee umeingia tunapitwa na majina ya mtaani. Mniwie radhi

Umekubaliwa radhi zako Ndugu Zitto wewe ni kiongozi wetu wa Taifa tunamatumaini ya kukupa Nchi hapo baadae kutuongoza
 
Nisingeona radhi yake tena ukiangalia time aliyoandika utaona hata yeye hakujua vyema tafsiri ya hilo neno. Inaweza kutokea kwa yeyote! Mfano nikisema "Zuzu amegoma" wote hapa tunajua maana ya neno Zuzu?

Sometimes kwenye siasa kuna maneno ya kejeli bila hata kujua maana halisi. Mfano Lissu alipenda kumuita JPM "dikteta uchwara" , Mnyika alimuita Kikwete "dhaifu" na wote hakuna aliyewahi kuomba radhi. Hili Zitto kawa muungwana hakuna haja ya kuyakuza zaidi.
😀😀😀Unajitahidi kumsafisha huyu mnafiki wahed...Zuzu na dhaifu sio maneno ya kuumiza kama chiba, kumuita mtu kwa ulemavu wake ambao hawezi kuuzuia sio sawa na uzuzu au udhaifu mtu anaweza kujirekebisha.
 
Lissu si mlemavu, anatembea kwa miguu yote na hajapoteza kiungo mkuu wangu.
Zitto angemuita Lisu kiwete tungejua ulimi umeteleza kwa sababu h
Zitto sasa amevuka mpaka na shime ndugu Tundu usimchekee tena hasa kwa hatua hiyo ya kukudhalilisha kwa kilema chako.

Hii ndiyo Tweet aliyoandika Twitter wakati akijibu hoja ya mdau

Baada ya kulalamikiwa na wadau, Zitto Kabwe aliomba msamaha na kudai kuwa hakuwa anajua maana ya neno ''CHIBA'' kama linamaanisha mlemavu, bali alijua ni maneno ya vijana tu

Nukuu
Kwa kweli sikufahamu kama jina Chiba linahusiana na ulemavu. Nilidhani ni majina ya Vijana ya kutaniana. Mama yangu mzazi alikuwa mlemavu kamwe siwezi kutweza ulemavu wa Mtu. Naomba radhi sana Kwa hili. Hakika Sio Sawa. Uzee umeingia tunapitwa na majina ya mtaani. Mniwie radhi

Binafsi nimekusamehe.
 
Yaani Zitto kwa mwaka anasoma vitabu zaidi ya miamoja ashindwe kujua maana ya neno Chiba.?
Kwani hilo neno ni tusi au ni utambulisho wa mtu mwenye ulemavu wa miguu? Maana huku mtaani wapo na wanaitwa hivyo na akuna tatizo lolote (kama vile mtu mrefu kuitwa Tall) ndio majina ya mtaani hayo na akuna shida embu tuache kukuza vitu visivyokuwa na msingi au kwa sababu ni Lissu?
 
Zitto sasa amevuka mpaka na shime ndugu Tundu usimchekee tena hasa kwa hatua hiyo ya kukudhalilisha kwa kilema chako.

Hii ndiyo Tweet aliyoandika Twitter wakati akijibu hoja ya mdau

Baada ya kulalamikiwa na wadau, Zitto Kabwe aliomba msamaha na kudai kuwa hakuwa anajua maana ya neno ''CHIBA'' kama linamaanisha mlemavu, bali alijua ni maneno ya vijana tu

Nukuu
Kwa kweli sikufahamu kama jina Chiba linahusiana na ulemavu. Nilidhani ni majina ya Vijana ya kutaniana. Mama yangu mzazi alikuwa mlemavu kamwe siwezi kutweza ulemavu wa Mtu. Naomba radhi sana Kwa hili. Hakika Sio Sawa. Uzee umeingia tunapitwa na majina ya mtaani. Mniwie radhi

Kwani Tundu siyo kilema? Dhihaka unayoisema ni ipi? Ukweli ni dhihaka?
 
Hapana, Sony Chiba alikuwa ni DJ maarufu miaka ya 80, alikuwa ni mlemavu ndio hapo jina hilo Chiba walipobatizwa vilema wengi miaka hiyo. Ni kama vile umuone mlemavu umuite mabaga fresh.
Sawa kabisa na wala jina hilo sio tusi wala kashfa kama wadau wengi humu wanavyotaka tuamini
 
Zitto sasa amevuka mpaka na shime ndugu Tundu usimchekee tena hasa kwa hatua hiyo ya kukudhalilisha kwa kilema chako.

Hii ndiyo Tweet aliyoandika Twitter wakati akijibu hoja ya mdau

Baada ya kulalamikiwa na wadau, Zitto Kabwe aliomba msamaha na kudai kuwa hakuwa anajua maana ya neno ''CHIBA'' kama linamaanisha mlemavu, bali alijua ni maneno ya vijana tu

Nukuu
Kwa kweli sikufahamu kama jina Chiba linahusiana na ulemavu. Nilidhani ni majina ya Vijana ya kutaniana. Mama yangu mzazi alikuwa mlemavu kamwe siwezi kutweza ulemavu wa Mtu. Naomba radhi sana Kwa hili. Hakika Sio Sawa. Uzee umeingia tunapitwa na majina ya mtaani. Mniwie radhi

Zitto kubali tukukaange kwa mafuta yako,kwanini umuite Mtu neno au jina usilojua maana yake ilhali huyo mtu ana jina lake na unalifahamu? Una mleta mama yako hapa ili upate sympathy? Sisi siyo wajinga ,tuna akili.Hufai kuwa kiongozi,bora ungejitaja kwamba wewe pia ni mlemavu kwakuwa una vidude vya ajabu usoni karibu na macho.Sisi sote tu walemavu,una mdhihaki mtu aliyelazimishwa kuwa mlemavu na mwanadamu mwenzake?
 
Kwani hilo neno ni tusi au ni utambulisho wa mtu mwenye ulemavu wa miguu? Maana huku mtaani wapo na wanaitwa hivyo na akuna tatizo lolote (kama vile mtu mrefu kuitwa Tall) ndio majina ya mtaani hayo na akuna shida embu tuache kukuza vitu visivyokuwa na msingi au kwa sababu ni Lissu?
Kwa sababu ni Zitto!
 
Zitto kubali tukukaange kwa mafuta yako,kwanini umuite Mtu neno au jina usilojua maana yake ilhali huyo mtu ana jina lake na unalifahamu? Una mleta mama yako hapa ili upate sympathy? Sisi siyo wajinga ,tuna akili.Hufai kuwa kiongozi,bora ungejitaja kwamba wewe pia ni mlemavu kwakuwa una vidude vya ajabu usoni karibu na macho.Sisi sote tu walemavu,una mdhihaki mtu aliyelazimishwa kuwa mlemavu na mwanadamu mwenzake?
Sasa kashaambiwa hakuna namna na hujui zitto ni muha ujuaji mwingi mbele giza, Hata Magufuli alimwita mshamba.
 
Back
Top Bottom