Zitto Kabwe amdhihaki Tundu Lissu kwa kumuita CHIBA. Aomba radhi baada ya kulalamikiwa

Nisingeona radhi yake tena ukiangalia time aliyoandika utaona hata yeye hakujua vyema tafsiri ya hilo neno. Inaweza kutokea kwa yeyote! Mfano nikisema "Zuzu amegoma" wote hapa tunajua maana ya neno Zuzu?

Sometimes kwenye siasa kuna maneno ya kejeli bila hata kujua maana halisi. Mfano Lissu alipenda kumuita JPM "dikteta uchwara" , Mnyika alimuita Kikwete "dhaifu" na wote hakuna aliyewahi kuomba radhi. Hili Zitto kawa muungwana hakuna haja ya kuyakuza zaidi.
 
Ameomba radhi! Seems alijua ni jina la utani lakini hakujua linahusishwa na ulemavu. Itakuwa ajabu hili tukitaka kulifanya topic.

Nashauri likomee hapo, kulizungumza zaidi halitamuumiza tu Zitto bali hata ndugu yetu. Mengine tuache yapite.
Kuomba radhi ni swala moja kukubaliwa ni swala jingine.

Viongozi wajifunze kuwajibika pale wanapokosea, Ni aibu kwa kiongozi kariba ya Zitto kutamka maneno kama haya.

Hata CCM pamoja na kebehi zao zote kwa upinzani sijawahi kuwasikia wakimdhihaki Lissu kwa ulemavu wake.
 
Sidhani kama alifanya hivyo kwa makusudi ukizingatia Mama yake alikuwa na Ulemavu.., Na Lissu sio Mlemavu naturally...

Nawashauri wapinzani wote waache kwenda personal na waanze ku-attack issues..,

Hizi gutter politics can only go so far.... Tukumbuke tunajenga nyumba moja...,

Thinking about it....🤔
Au tunabomoa nyumba moja ?
 
Nisingeona radhi yake tena ukiangalia time aliyoandika utaona hata yeye hakujua vyema tafsiri ya hilo neno. Inaweza kutokea kwa yeyote! Mfano nikisema "Zuzu amegoma" wote hapa tunajua maana ya neno Zuzu?

Sometimes kwenye siasa kuna maneno ya kejeli bila hata kujua maana halisi. Mfano Lissu alipenda kumuita JPM "dikteta uchwara" , Mnyika alimuita Kikwete "dhaifu" na wote hakuna aliyewahi kuomba radhi. Hili Zitto kawa muungwana hakuna haja ya kuyakuza zaidi.
Bwashee, wewe hujui maana ya Chiba?
 
  • Kicheko
Reactions: Pep
Angetamka kwa kudhamiria sawa ila hili amesema ameteleza na ameomba radhi. Sisi ndio tunataka kuyakuza sasa.
Kiongozi kwa nafasi aliyo nayo Zitto kwenye jamii na sura ya kisiasa Sasa hivi hapa nchini kwetu ni wazi kuwa Zitto angetakiwa kuwa makini kwa kila neno linalotoka kinywani mwake na kile anachokiandika.........

Inawezekana akaomba radhi kujisafisha Hali ya kuwa ujumbe alioukusudia umeshafika kwa watu aliowakusudia.........

Wakati mwingine mlevi anaweza akaropoka maneno yanayoendana na uhalisia alafu akakuomba msamaha..........

NB:
Binafsi naamini kwa weledi na umakini wa Zitto kwenye kujadili, kuchangia na kuanzisha hoja hasa kwenye public platforms ZZK hakuandika kwa bahati mbaya......,Muda utatuambia.......
 
Kuomba radhi ni swala moja kukubaliwa ni swala jingine.

Viongozi wajifunze kuwajibika pale wanapokosea, Ni aibu kwa kiongozi kariba ya Zitto kutamka maneno kama haya.

Hata CCM pamoja na kebehi zao zote kwa upinzani sijawahi kuwasikia wakimdhihaki Lissu kwa ulemavu wake.
Lissu si mlemavu, anatembea kwa miguu yote na hajapoteza kiungo mkuu wangu.
 
Inasikitisha sana. Hilo jina analijua vizuri maana yake. Yeye mwenyewe mama yake mzazi alikuwa mlemavu wa miguu. Aliwahi hata kuwa Mwenyekiti wa chama cha walemavu Tanzania (CHAWATA). Mbona hakumuita mama yake China? Huyu mtu ana laana fulani.
 
Sidhani kama alifanya hivyo kwa makusudi ukizingatia Mama yake alikuwa na Ulemavu.., Na Lissu sio Mlemavu naturally...

Nawashauri wapinzani wote waache kwenda personal na waanze ku-attack issues..,

Hizi gutter politics can only go so far.... Tukumbuke tunajenga nyumba moja...,

Thinking about it....🤔
Au tunabomoa nyumba moja ?
Kama ungemjua Soni Chiba alivyokuwa anawang'oa watu miguu na mikono ungetafakari sana Zitto kamlenga nani.
 
  • Kicheko
Reactions: Pep
Nisingeona radhi yake tena ukiangalia time aliyoandika utaona hata yeye hakujua vyema tafsiri ya hilo neno. Inaweza kutokea kwa yeyote! Mfano nikisema "Zuzu amegoma" wote hapa tunajua maana ya neno Zuzu?

Sometimes kwenye siasa kuna maneno ya kejeli bila hata kujua maana halisi. Mfano Lissu alipenda kumuita JPM "dikteta uchwara" , Mnyika alimuita Kikwete "dhaifu" na wote hakuna aliyewahi kuomba radhi. Hili Zitto kawa muungwana hakuna haja ya kuyakuza zaidi.
Hujaelewa...
 
Kama ungemjua Soni Chiba alivyokuwa anawang'oa watu miguu na mikono ungetafakari sana Zitto kamlenga nani.
Nope Simjui..., wala sidhani kama kila mtu anamjua..., ila point yangu ni kuhusisha suala hili na ulemavu na ni kwamba sidhani intentionally kama Zitto anaweza kuwadhihaki walemavu..

Ila huku kurushiana maneno kwa hawa wadau hakujengi
 
Back
Top Bottom