Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Malipo ni hapa hapaKiburi Cha ndugu yetu Zitto Kabwe kimekuwa kikubwa Sana
Juzi alituita tunaotaka katiba mpya hatuna ubongo na Leo kamuita Tundu Lissu Chiba akiwa na maana ya mlemavu. Yaani inaonekana Zitto alifurahia saana Lissu aliposhambuliwa kwa risasiView attachment 2152717
Matokeo sio lazima yakulidhishe mkuu acha watu wasemeNipe matokeo ya kuendeleza mjadala wa namna hii? Ameomba radhi, nini cha ziada?
Zitto ameonesha utoto mwingi sana. Sana. Sikuwahi tegemea anaweza shuka mpaka kiwango hiki cha kufirisika. Hapa amefirisika sana kifikra. Siyo yule Zitto aliyekuwa anapewa nyeti ana zi present vizuri kwa hoja na ufahamu. Sasa amekuwa mshabiki zaidi na asiyejielewa.Ameomba radhi! Seems alijua ni jina la utani lakini hakujua linahusishwa na ulemavu. Itakuwa ajabu hili tukitaka kulifanya topic.
Nashauri likomee hapo, kulizungumza zaidi halitamuumiza tu Zitto bali hata ndugu yetu. Mengine tuache yapite.
Hujafa hujaumbika!
Kwa jinsi Zitto Kabwe alivyo siyo busara kumkejeli mwenzake kwani naye ana hitalafu nyingi tu mwilini mwake, ajiheshimu.
Labda kama hakusema ila wanamsingizia.
Kiuhalisia Chiba ni mtu aliyezaliwa akiwa na miguu isiyolingana.
mnafiki aliyetukukaZitto sasa amevuka mpaka na shime ndugu Tundu usimchekee tena hasa kwa hatua hiyo ya kukudhalilisha kwa kilema chako.
Hii ndiyo Tweet aliyoandika Twitter wakati akijibu hoja ya mdau
Baada ya kulalamikiwa na wadau, Zitto Kabwe aliomba msamaha na kudai kuwa hakuwa anajua maana ya neno ''CHIBA'' kama linamaanisha mlemavu, bali alijua ni maneno ya vijana tu
Nukuu
Kwa kweli sikufahamu kama jina Chiba linahusiana na ulemavu. Nilidhani ni majina ya Vijana ya kutaniana. Mama yangu mzazi alikuwa mlemavu kamwe siwezi kutweza ulemavu wa Mtu. Naomba radhi sana Kwa hili. Hakika Sio Sawa. Uzee umeingia tunapitwa na majina ya mtaani. Mniwie radhi
Yaani kusoma kwake vitabu vingi kama anavyojinasibu,hajawahi jua maana ya CHIBA?Nisingeona radhi yake tena ukiangalia time aliyoandika utaona hata yeye hakujua vyema tafsiri ya hilo neno. Inaweza kutokea kwa yeyote! Mfano nikisema "Zuzu amegoma" wote hapa tunajua maana ya neno Zuzu?
Sometimes kwenye siasa kuna maneno ya kejeli bila hata kujua maana halisi. Mfano Lissu alipenda kumuita JPM "dikteta uchwara" , Mnyika alimuita Kikwete "dhaifu" na wote hakuna aliyewahi kuomba radhi. Hili Zitto kawa muungwana hakuna haja ya kuyakuza zaidi.
Ameomba radhi! Seems alijua ni jina la utani lakini hakujua linahusishwa na ulemavu. Itakuwa ajabu hili tukitaka kulifanya topic.
Nashauri likomee hapo, kulizungumza zaidi halitamuumiza tu Zitto bali hata ndugu yetu. Mengine tuache yapite.
Timu gaidi wamefilisika kabisa kiuchumi.
Walikunywa na kulewa sana kwa furaha march 17/2021 lakini laana yake haijawaacha salama mwaka umeisha bado Lisu na Lema wanaishi kwa kuombaomba .
Ameomba radhi! Seems alijua ni jina la utani lakini hakujua linahusishwa na ulemavu. Itakuwa ajabu hili tukitaka kulifanya topic.
Nashauri likomee hapo, kulizungumza zaidi halitamuumiza tu Zitto bali hata ndugu yetu. Mengine tuache yapite.
Umekubaliwa radhi zako Ndugu Zitto wewe ni kiongozi wetu wa Taifa tunamatumaini ya kukupa Nchi hapo baadae kutuongozaZitto sasa amevuka mpaka na shime ndugu Tundu usimchekee tena hasa kwa hatua hiyo ya kukudhalilisha kwa kilema chako.
Hii ndiyo Tweet aliyoandika Twitter wakati akijibu hoja ya mdau
Baada ya kulalamikiwa na wadau, Zitto Kabwe aliomba msamaha na kudai kuwa hakuwa anajua maana ya neno ''CHIBA'' kama linamaanisha mlemavu, bali alijua ni maneno ya vijana tu
Nukuu
Kwa kweli sikufahamu kama jina Chiba linahusiana na ulemavu. Nilidhani ni majina ya Vijana ya kutaniana. Mama yangu mzazi alikuwa mlemavu kamwe siwezi kutweza ulemavu wa Mtu. Naomba radhi sana Kwa hili. Hakika Sio Sawa. Uzee umeingia tunapitwa na majina ya mtaani. Mniwie radhi
πππUnajitahidi kumsafisha huyu mnafiki wahed...Zuzu na dhaifu sio maneno ya kuumiza kama chiba, kumuita mtu kwa ulemavu wake ambao hawezi kuuzuia sio sawa na uzuzu au udhaifu mtu anaweza kujirekebisha.Nisingeona radhi yake tena ukiangalia time aliyoandika utaona hata yeye hakujua vyema tafsiri ya hilo neno. Inaweza kutokea kwa yeyote! Mfano nikisema "Zuzu amegoma" wote hapa tunajua maana ya neno Zuzu?
Sometimes kwenye siasa kuna maneno ya kejeli bila hata kujua maana halisi. Mfano Lissu alipenda kumuita JPM "dikteta uchwara" , Mnyika alimuita Kikwete "dhaifu" na wote hakuna aliyewahi kuomba radhi. Hili Zitto kawa muungwana hakuna haja ya kuyakuza zaidi.
Zitto angemuita Lisu kiwete tungejua ulimi umeteleza kwa sababu hLissu si mlemavu, anatembea kwa miguu yote na hajapoteza kiungo mkuu wangu.
Binafsi nimekusamehe.Zitto sasa amevuka mpaka na shime ndugu Tundu usimchekee tena hasa kwa hatua hiyo ya kukudhalilisha kwa kilema chako.
Hii ndiyo Tweet aliyoandika Twitter wakati akijibu hoja ya mdau
Baada ya kulalamikiwa na wadau, Zitto Kabwe aliomba msamaha na kudai kuwa hakuwa anajua maana ya neno ''CHIBA'' kama linamaanisha mlemavu, bali alijua ni maneno ya vijana tu
Nukuu
Kwa kweli sikufahamu kama jina Chiba linahusiana na ulemavu. Nilidhani ni majina ya Vijana ya kutaniana. Mama yangu mzazi alikuwa mlemavu kamwe siwezi kutweza ulemavu wa Mtu. Naomba radhi sana Kwa hili. Hakika Sio Sawa. Uzee umeingia tunapitwa na majina ya mtaani. Mniwie radhi
Kwani hilo neno ni tusi au ni utambulisho wa mtu mwenye ulemavu wa miguu? Maana huku mtaani wapo na wanaitwa hivyo na akuna tatizo lolote (kama vile mtu mrefu kuitwa Tall) ndio majina ya mtaani hayo na akuna shida embu tuache kukuza vitu visivyokuwa na msingi au kwa sababu ni Lissu?Yaani Zitto kwa mwaka anasoma vitabu zaidi ya miamoja ashindwe kujua maana ya neno Chiba.?
Kwani Tundu siyo kilema? Dhihaka unayoisema ni ipi? Ukweli ni dhihaka?Zitto sasa amevuka mpaka na shime ndugu Tundu usimchekee tena hasa kwa hatua hiyo ya kukudhalilisha kwa kilema chako.
Hii ndiyo Tweet aliyoandika Twitter wakati akijibu hoja ya mdau
Baada ya kulalamikiwa na wadau, Zitto Kabwe aliomba msamaha na kudai kuwa hakuwa anajua maana ya neno ''CHIBA'' kama linamaanisha mlemavu, bali alijua ni maneno ya vijana tu
Nukuu
Kwa kweli sikufahamu kama jina Chiba linahusiana na ulemavu. Nilidhani ni majina ya Vijana ya kutaniana. Mama yangu mzazi alikuwa mlemavu kamwe siwezi kutweza ulemavu wa Mtu. Naomba radhi sana Kwa hili. Hakika Sio Sawa. Uzee umeingia tunapitwa na majina ya mtaani. Mniwie radhi
Sawa kabisa na wala jina hilo sio tusi wala kashfa kama wadau wengi humu wanavyotaka tuaminiHapana, Sony Chiba alikuwa ni DJ maarufu miaka ya 80, alikuwa ni mlemavu ndio hapo jina hilo Chiba walipobatizwa vilema wengi miaka hiyo. Ni kama vile umuone mlemavu umuite mabaga fresh.
Zitto kubali tukukaange kwa mafuta yako,kwanini umuite Mtu neno au jina usilojua maana yake ilhali huyo mtu ana jina lake na unalifahamu? Una mleta mama yako hapa ili upate sympathy? Sisi siyo wajinga ,tuna akili.Hufai kuwa kiongozi,bora ungejitaja kwamba wewe pia ni mlemavu kwakuwa una vidude vya ajabu usoni karibu na macho.Sisi sote tu walemavu,una mdhihaki mtu aliyelazimishwa kuwa mlemavu na mwanadamu mwenzake?Zitto sasa amevuka mpaka na shime ndugu Tundu usimchekee tena hasa kwa hatua hiyo ya kukudhalilisha kwa kilema chako.
Hii ndiyo Tweet aliyoandika Twitter wakati akijibu hoja ya mdau
Baada ya kulalamikiwa na wadau, Zitto Kabwe aliomba msamaha na kudai kuwa hakuwa anajua maana ya neno ''CHIBA'' kama linamaanisha mlemavu, bali alijua ni maneno ya vijana tu
Nukuu
Kwa kweli sikufahamu kama jina Chiba linahusiana na ulemavu. Nilidhani ni majina ya Vijana ya kutaniana. Mama yangu mzazi alikuwa mlemavu kamwe siwezi kutweza ulemavu wa Mtu. Naomba radhi sana Kwa hili. Hakika Sio Sawa. Uzee umeingia tunapitwa na majina ya mtaani. Mniwie radhi
Kwa sababu ni Zitto!Kwani hilo neno ni tusi au ni utambulisho wa mtu mwenye ulemavu wa miguu? Maana huku mtaani wapo na wanaitwa hivyo na akuna tatizo lolote (kama vile mtu mrefu kuitwa Tall) ndio majina ya mtaani hayo na akuna shida embu tuache kukuza vitu visivyokuwa na msingi au kwa sababu ni Lissu?
Sasa kashaambiwa hakuna namna na hujui zitto ni muha ujuaji mwingi mbele giza, Hata Magufuli alimwita mshamba.Zitto kubali tukukaange kwa mafuta yako,kwanini umuite Mtu neno au jina usilojua maana yake ilhali huyo mtu ana jina lake na unalifahamu? Una mleta mama yako hapa ili upate sympathy? Sisi siyo wajinga ,tuna akili.Hufai kuwa kiongozi,bora ungejitaja kwamba wewe pia ni mlemavu kwakuwa una vidude vya ajabu usoni karibu na macho.Sisi sote tu walemavu,una mdhihaki mtu aliyelazimishwa kuwa mlemavu na mwanadamu mwenzake?