Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe apoteza jimbo la Kigoma Mjini

Jamani tuwapongeze CCM lakini. Wanajua sana kuiba kura. Wanaiba kiufundi kweli. Mimi ninawafanananisha na jinsi mwanademokrasia mwenzao hayati Sadaam Hussein alivyokuwa anashinda uchaguzi huko Iraq kwa asilimia 99.9%. Well done CCM. Nadhani Polepole atapata deal ya kualikwa nchi zingine akawafundishe jinsi ya kuiba kura kiulaini kama walivyofanya kwenye uchaguzi huu. Safi sana. Kidumu Chama Cha Majambazi. I’m sorry hiyo ni typo. My bad. Nilimaanisha kidumu Chama Cha Mapinduzi.
 
Mambo ndiyo kwanza yameiva. Fanyeni mobilization ya kutosha kwa wananchi ili waingie barabarani tuanze kubomoa flyovers na kuchoma madege
Labda ukachome baiskeli ya BABA ako...........ujachoma hata boksa ya bwana ako unataka kuchoma ndege uku ujawai hata kuipanda .....imeisha hiyoooooooo
 
Hongera komradi Kirumbe Ng'enda, pole Zitto! Hapa kazi tu, kazi inaendelea.
 
Hukuwa na hoja mkuu za kukupa kura eti madege yampigie kura ila ulifurahisha sana hahahaha
 
Huko ni kutapatapa, hakuna lolote! apambane na hali yake... Alitegemea nini kumchukua Membe ili kumaliza upinzani tz. Malipo ni hapa hapa duniani
Zito zuberi kwabwe si wa kumwamini hata kwa 1/3 ni mtu fulani hivi wa pande mbili mbili upinzani kaeni macho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…