Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe apoteza jimbo la Kigoma Mjini

Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe apoteza jimbo la Kigoma Mjini

Nilitembelea Kigoma mwezi Januari nikaongea na wanakigoma wengi walisema kuwa kama CCM watamweka mgombea anayekubalika lazima Zitto apotee kwenye ulingo wa siasa Kigoma. Kweli vijana wa Kigoma walinieleza ukweli. Na Zanzibar Maalim ameshindwa uchaguzi.

Huu ni ukweli usio na shaka.
Kigoma is my home, nimetoka huko mwezi uliopita nimeshangaa sana kuona watu hawataki kusikia habari ya Zitto wala Mzito.
Yaani ndugu yangu amechokwa!
 
Mgombea wa CCM jimbo la Kigoma mjini, Kilumbe Ng'enda ametangazwa mshindi baada ya kupata kura 27, 688 huku Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo akipata kura 20, 600. Akitangaza matokeo hayo msimamizi wa uchaguzi, jimbo hilo Mwailwa Pangani amesema kura zilizopigwa ni 50268.

Zitto: Licha ya kuingiza kwenye vituo kura zilizokwishapigwa zipatazo 15,850 (kura 50 kila Kituo cha kupigia kura ) nimemshinda Mgombea wa CCM kwa kura 5218. Hata hivyo Mgombea wa CCM katangazwa mshindi kwa tofauti ya kura 7000. Tunafungua ukurasa Mpya wa mapambano ya demokrasia nchini.- Zitto Kabwe.
Hakuna uchaguzi Tanzania sasa bali CCM imeulawiti na kuubaka uchaguzi wote
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mambo ndiyo kwanza yameiva. Fanyeni mobilization ya kutosha kwa wananchi ili waingie barabarani tuanze kubomoa flyovers na kuchoma madege
Ingia road utawakuta wanakusubiri wenzako,unazidi kuchelewa. Acha sisi viongozi wenu tulale na wake zetu.
 
Back
Top Bottom