Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe apoteza jimbo la Kigoma Mjini

Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe apoteza jimbo la Kigoma Mjini

Matusi yako hayanitishi aunt.
Naweza kukurarua na matusi ambayo hujawahi pewa tangu uzaliwe.
Leo nakuacha kwa kuwa tupo kene furaha ya ushindi!
Acha kujimwambafy kishetani kuwa una matusi ya kishamba, hapa ndipo makao makuu ya matusi ya kujenga ya kutoa mwanga achana na matusi yako ya mwaka 1832 ambayo hayaisaidii CCM kuondokana na ushetani wake
 
Magufuli harogeti sister, Kama jamaa kaweza kutumbua mijipu iliyoshindikana ni dhahiri zito atulie tu afungue kibanda cha twisheni kufundisha uchumi.

Na yule ndugu yetu naye ni heri asiende ubelgiji maana akienda tu Uenyekiti ataukosa.
Bila wewe kwenda Dodoma na Bashite kumpiga risasi angefikaje huko Belgium?
 
Nilitembelea Kigoma mwezi Januari nikaongea na wanakigoma wengi walisema kuwa kama CCM watamweka mgombea anayekubalika lazima Zitto apotee kwenye ulingo wa siasa Kigoma. Kweli vijana wa Kigoma walinieleza ukweli. Na Zanzibar Maalim ameshindwa uchaguzi.
Usiongee uongo Huyu alipewa hakubaliki wala hajulikani huu uchaguzi ni kiini macho. . mnafurahia kwenda kusinzia bungeni nakusema ndiooo aibu sana demokrasia ya kuoza ndio hii
 
Magufuli harogeti sister, Kama jamaa kaweza kutumbua mijipu iliyoshindikana ni dhahiri zito atulie tu afungue kibanda cha twisheni kufundisha uchumi.

Na yule ndugu yetu naye ni heri asiende ubelgiji maana akienda tu Uenyekiti ataukosa.
Esther Matiko yeye kashinda ama ?
 
Aisee, sikujua kama na hii ni JF ID yako. Pole Mkuu.
Humu ni Hoja tu ID za nini? Komaa na hoja tu kama huna hoja ingia kwa cyprian Musiba endelea kuvuta Bangi waachie CCM waendelee kutetea ufedhuri wao na sisi tutawajibu vizuri
 
Humu ni Hoja tu ID za nini? Komaa na hoja tu kama huna hoja ingia kwa cyprian Musiba endelea kuvuta Bangi waachie CCM waendelee kutetea ufedhuri wao na sisi tutawajibu vizuri
Ha ha haaaa! Aisee, Mkuu nadhani na wewe ule ushauri niliompa Sexless hapo juu post number 81 ya uzi huu unaweza kukufaa. Kila la heri.
 
wananchi wanaroho mbaya sana kuliko wajumbe
Wananchi hawana makosa wamechagua wapinzani vizuri kabsa lakini NECCCM Tumeccm wakurugenziccm na Polisiccm ndiyo wamepora ushindi kwa njia haramu za kishetani
 
Acha kujimwambafy kishetani kuwa una matusi ya kishamba, hapa ndipo makao makuu ya matusi ya kujenga ya kutoa mwanga achana na matusi yako ya mwaka 1832 ambayo hayaisaidii CCM kuondokana na ushetani wake

Ushetani unaanza kene jina lako.
Unatafuna mpaka ukoo wako.
Wewe mbwa koko.
Huwezi kunibwekea mimi we matako!
 
CCM mna dhambi .
Mnasababisha mpaka watu wanalia[emoji16][emoji16].
Screenshot_20201029-193318.jpg
 
Matusi haya ya mwaka 1724 ni ya kibwege mno nakuona mshamba hakuna mwenye Akili anatumia matusi hayo
 
Ushetani unaanza kene jina lako.
Unatafuna mpaka ukoo wako.
Wewe mbwa koko.
Huwezi kunibwekea mimi we matako!
Haya matusi ya kibwege ya kishamba hutumiwa na wavuta Bangi wala unga ni matusi yamepitwa na wakati ulimwengu wa sasa hawatumii matusi ya kishamba kama yako jenga hoja acha ufala wewe mbweha
 
Huu ni ukweli usio na shaka.
Kigoma is my home, nimetoka huko mwezi uliopita nimeshangaa sana kuona watu hawataki kusikia habari ya Zitto wala Mzito.
Yaani ndugu yangu amechokwa!
Zitto ana nguvu kubwa sana kuliko unavyofikiria hub ulikuwa uteuzi na sio uchaguzi MZEE. Jamaa yenu mliempa hana hamasa wala nguvu ndani ya mkoa zaidi ya nyumbani kwake usiwe unadanganya watu wote wenye kujielewa wako na zitto
 
Back
Top Bottom