Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe apoteza jimbo la Kigoma Mjini

Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe apoteza jimbo la Kigoma Mjini

Huu ni ukweli usio na shaka.
Kigoma is my home, nimetoka huko mwezi uliopita nimeshangaa sana kuona watu hawataki kusikia habari ya Zitto wala Mzito.
Yaani ndugu yangu amechokwa!
Kigoma ipi ulikwenda? au kigoma ya wifi yako hapo gheto? Usiwasemee watu wa kigoma hawajawahi kukutuma huo uongo
 
Mambo ndiyo kwanza yameiva. Fanyeni mobilization ya kutosha kwa wananchi ili waingie barabarani tuanze kubomoa flyovers na kuchoma madege
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Daah' sheeeda, mkuu unaweza?
 
Mshana Jr siyo vizuri namna hii! Utakaaje kimya hivi? Tuijenge Tanzania yetu sasa uchaguzi umekwisha.
Uchaguzi upi imekwisha? Kulikuwa na uchaguzi wapi? Kwa Tume ipi? Hakuna uchaguzi Tanzania kuna vioja vya CCM kuubaka kuulawiti uchaguzi kwa njia haramu za kishetani
 
Kigoma ipi ulikwenda? au kigoma ya wifi yako hapo gheto? Usiwasemee watu wa kigoma hawajawahi kukutuma huo uongo

Matusi yako hayanitishi aunt.
Naweza kukurarua na matusi ambayo hujawahi pewa tangu uzaliwe.
Leo nakuacha kwa kuwa tupo kene furaha ya ushindi!
 
Hakika. Si unaona mazwazwa kibao humu JF yanafurahia hatari.
CCM kwa ujinga wao wanafurahia ushetani wao wakijona wajanja wamesahau kuwa hakuna mabaya yasiyo na mwisho na mwisho wa Ubaya ni Aibu kubwa
 
Uchaguzi upi imekwisha? Kulikuwa na uchaguzi wapi? Kwa Tume ipi? Hakuna uchaguzi Tanzania kuna vioja vya CCM kuubaka kuulawiti uchaguzi kwa njia haramu za kishetani
Kama mliona hakuna Tume huru kwanini hamkufuata ushauri wa kutoshiriki kabisa?
 
CCM ingekuwa inapendwa isingefanya ushetani wa kuulawiti kuubaka uchaguzi huu kwa njia haramu za kishetani
Watz wanaipenda sana ccm ndio maana wapo majumbani wanafurahia ushindi wa ccm kwa amani. Kinyume na hapo wangekuwa mabarabarani wanaandamana.
 
Mambo ndiyo kwanza yameiva. Fanyeni mobilization ya kutosha kwa wananchi ili waingie barabarani tuanze kubomoa flyovers na kuchoma madege
Pole sana.
===
Ushauri

Kunywa maji mengi mkuu kadri unavyeweza.
Kisha vutia ndani ya mapafu pumzi nyingi kadri unavyoweza.
Halafu iruhusu kuitoa nje taratibukupitia puani kadri unavyoweza ukiwa umefunga mdomo.
Ukimaliza jilaze sakafuni chali ukiwa umefumba macho huku ukisikiliza mapigo ya moyo wako. Kaa hivyo kwa dakika tano!!

Baada hayo utarejea katika hali yako ya kawaida.
 
Back
Top Bottom