King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Kiongozi wa ACT ndugu Zitto Kabwe akiwa katika kipindi cha Salama na kinachorushwa Dstv, amekiri kuwa Hayati Magufuli alikuwa anamchukia sana!
Zitto ameongeza zaidi, Magufuli hakuwa na hekima, aliamini katika ubabe, hivyo niliamza kumpinga hapo ndipo chuki yake kwangu ilipoanza.
Zitto alifika mbali zaidi na kusema baada ya Lissu kupigwa risasi Dodoma mwaka 2017 ndipo alipoona kuwa Magufuli hana hekima hapendi kupingwa, hivyo Zitto akaongeza kumpinga hapo ndipo chuki ya Magufuli ilipozidi kwa Zitto!
Yaani hiki kipindi cha leo, Zitto kamsagia sana kunguni Mwendazake!!
Umeelewa mada lakini .au unachangi mada ipiHawajamchafua,baadhi ya mambo hata marehemu alikiri wakati yupo hai kwa mfano siku ya uzinduzi wa mloganzila alisifiwa sana na mawaziri but akasema yeye hajafanya kitu ila ni juhudi za kikwete zile
Dah lakini shujaa alikuwa anajipambanu kuwa ni mtu wa ibada sana.Sidhani kama ni kweli alikuwa ana chuki kiaso hichoKiongozi wa ACT ndugu Zitto Kabwe akiwa katika kipindi cha Salama na kinachorushwa Dstv, amekiri kuwa Hayati Magufuli alikuwa anamchukia sana!
Zitto ameongeza zaidi, Magufuli hakuwa na hekima, aliamini katika ubabe, hivyo niliamza kumpinga hapo ndipo chuki yake kwangu ilipoanza.
Zitto alifika mbali zaidi na kusema baada ya Lissu kupigwa risasi Dodoma mwaka 2017 ndipo alipoona kuwa Magufuli hana hekima hapendi kupingwa, hivyo Zitto akaongeza kumpinga hapo ndipo chuki ya Magufuli ilipozidi kwa Zitto!
Yaani hiki kipindi cha leo, Zitto kamsagia sana kunguni Mwendazake!!
anacho na yanajadiliwa mambo ya maana sana hata Rais wako mstaafu mh JK amewahi kuhojiwa hapo.ni kipindi kama cha Hellen ambaye alihoji kina Obama nkWaache waongee...uzuri aliyekufa alishamaliza yake duniani...tuone watafika wapi hawa waliobaki
Edit: hivi kuna watu wanafuatilia vipindi vya luninga vya TZ zaidi Mpira na maigizo?
Nilikua hata sijui huyu dada ana kipindi
Upo sahihi. Hakuna sababu ya kujaribu kumchafua.Kama ndio hivyo sasa, wamuache sasa hayupo maana angekuwepo angebalance story kwa yeye kuhojiwa kuelezea hizi mambo..
Zitto unasumbuliwa na udini tu.
Angejifunza kwa Shehe ponda kusimamia ukweli
Kuliko kuwa mtu wa kuuma na kupuliza
Tunawaambia kila siku Achaneni na marehemu kwani ni lazima tukiongea tumhusishe mtu aliyekufa tayari.
Zitto ni mnafqi sana, japo huwa anajitahidi kutaka kuonekana yupo smartKiongozi wa ACT ndugu Zitto Kabwe akiwa katika kipindi cha Salama na kinachorushwa Dstv, amekiri kuwa Hayati Magufuli alikuwa anamchukia sana!
Zitto ameongeza zaidi, Magufuli hakuwa na hekima, aliamini katika ubabe, hivyo niliamza kumpinga hapo ndipo chuki yake kwangu ilipoanza.
Zitto alifika mbali zaidi na kusema baada ya Lissu kupigwa risasi Dodoma mwaka 2017 ndipo alipoona kuwa Magufuli hana hekima hapendi kupingwa, hivyo Zitto akaongeza kumpinga hapo ndipo chuki ya Magufuli ilipozidi kwa Zitto!
Yaani hiki kipindi cha leo, Zitto kamsagia sana kunguni Mwendazake!!
Una mjua bulembo lakini?Salama ni mpemba na Zitto Kabwe ameoa binamu yake kule Pemba!
nimeelewa ila ni wewe hujaelewa comment yangu ngoja nikuandikie kwa lugha rahisi, nilichokisema ni kwamba yaliyozungumzwa leo na zitto yapo sahihi yoteUmeelewa mada lakini .au unachangi mada ipi
Jamani JPM ameshakufa kutimiza ibada ya Mwenyezi Mungu kama ambavyo wote tutamiza, mlipaswa kupambana naye akiwa hai..hizi kelele dhidi yake akiwa ameshalala hazina maana zaidi ya kuwaanika mlivyo waoga tu..
Pemba na Unguja ni visiwa viwili tofauti wewe mmakonde!Inakonyesha unampinga mama wewe siyo bure.
Kiongozi wa ACT ndugu Zitto Kabwe akiwa katika kipindi cha Salama na kinachorushwa Dstv, amekiri kuwa Hayati Magufuli alikuwa anamchukia sana!
Zitto ameongeza zaidi, Magufuli hakuwa na hekima, aliamini katika ubabe, hivyo niliamza kumpinga hapo ndipo chuki yake kwangu ilipoanza.
Zitto alifika mbali zaidi na kusema baada ya Lissu kupigwa risasi Dodoma mwaka 2017 ndipo alipoona kuwa Magufuli hana hekima hapendi kupingwa, hivyo Zitto akaongeza kumpinga hapo ndipo chuki ya Magufuli ilipozidi kwa Zitto!
Yaani hiki kipindi cha leo, Zitto kamsagia sana kunguni Mwendazake!!
Halima alizalishwa tu na huyo kangoma Zitto!Una mjua bulembo lakini?
Mazuri yasemwe ila mabaya Nani atamjibia?Mkuu mbona huyo marehemu bado anasifiwa? Au kumuongelea ukweli bila kuchagua ukweli wa kumuongelea ndio inakuwa kafa?
Zitto unasumbuliwa na udini tu.
Angejifunza kwa Shehe ponda kusimamia ukweli
Kuliko kuwa mtu wa kuuma na kupuliza
Tunawaambia kila siku Achaneni na Mtu ambaye hawezi kujitetea tena.
Lakini kutwa kucha Magufuli Magufuli, Zitto ndio maana hata kigoma hana ushawishi kabisa.
Kumbe alizalishwa ila Mimi sijui kwahiyo kusema kaoa Ndugu wa salama na salama ni Mzanzibari ulikua hujui kazalisha Huko KageraHalima alizalishwa tu na huyo kangoma Zitto!
Aaagh..!!, JPM alikuwa hapendi watu wajinga wajinga.