Zitto Kabwe: Hayati Magufuli alikuwa ananichukia

Kiongozi wa ACT ndugu Zitto Kabwe akiwa katika kipindi cha Salama na kinachorushwa Dstv, amekiri kuwa Hayati Magufuli alikuwa anamchukia sana!

Zitto ameongeza zaidi, Magufuli hakuwa na hekima, aliamini katika ubabe, hivyo niliamza kumpinga hapo ndipo chuki yake kwangu ilipoanza.

Zitto alifika mbali zaidi na kusema baada ya Lissu kupigwa risasi Dodoma mwaka 2017 ndipo alipoona kuwa Magufuli hana hekima hapendi kupingwa, hivyo Zitto akaongeza kumpinga hapo ndipo chuki ya Magufuli ilipozidi kwa Zitto!

Yaani hiki kipindi cha leo, Zitto kamsagia sana kunguni Mwendazake!!

Huo ndiyo ukweriii ,Zitto hajaongopa.
 
Leo jion machinga wakifunga virago vyao wakipiga kelele wakiita magufuliiiiiiiiiii uko wapi?
Nilisema ni zamu yenu kati yao kuna walofurahi jpm wetu kufa, wakati huo tulilia kwa uchungu leo nao wanasaga meno.
 
Yaani mtu aliyemchukia ndio akampelekea na ndege ya serikali Kigoma akamgharamia wakati alipopata ajali! Iseee
 
Kiongozi wa ACT ndugu Zitto Kabwe akiwa katika kipindi cha Salama na kinachorushwa Dstv, amekiri kuwa Hayati Magufuli alikuwa anamchukia sana!

Zitto ameongeza zaidi, Magufuli hakuwa na hekima, aliamini katika ubabe, hivyo niliamza kumpinga hapo ndipo chuki yake kwangu ilipoanza.

Zitto alifika mbali zaidi na kusema baada ya Lissu kupigwa risasi Dodoma mwaka 2017 ndipo alipoona kuwa Magufuli hana hekima hapendi kupingwa, hivyo Zitto akaongeza kumpinga hapo ndipo chuki ya Magufuli ilipozidi kwa Zitto!

Yaani hiki kipindi cha leo, Zitto kamsagia sana kunguni Mwendazake!!
Dah lakini shujaa alikuwa anajipambanu kuwa ni mtu wa ibada sana.Sidhani kama ni kweli alikuwa ana chuki kiaso hicho
 
Waache waongee...uzuri aliyekufa alishamaliza yake duniani...tuone watafika wapi hawa waliobaki

Edit: hivi kuna watu wanafuatilia vipindi vya luninga vya TZ zaidi Mpira na maigizo?
Nilikua hata sijui huyu dada ana kipindi
anacho na yanajadiliwa mambo ya maana sana hata Rais wako mstaafu mh JK amewahi kuhojiwa hapo.ni kipindi kama cha Hellen ambaye alihoji kina Obama nk
 
Kama ndio hivyo sasa, wamuache sasa hayupo maana angekuwepo angebalance story kwa yeye kuhojiwa kuelezea hizi mambo..
Upo sahihi. Hakuna sababu ya kujaribu kumchafua.

Kuna umuhimu wa kuwa makini unapomuongelea kiongozi wa juu wa nchi kwa mabaya yasiyo sahihi.

JAMHURI inalinda wastaafu wake hata wakiwa kaburini. Tusijisahahu.
 
Mkuu mbona huyo marehemu bado anasifiwa? Au kumuongelea ukweli bila kuchagua ukweli wa kumuongelea ndio inakuwa kafa?
Zitto unasumbuliwa na udini tu.

Angejifunza kwa Shehe ponda kusimamia ukweli

Kuliko kuwa mtu wa kuuma na kupuliza

Tunawaambia kila siku Achaneni na marehemu kwani ni lazima tukiongea tumhusishe mtu aliyekufa tayari.
 
Kiongozi wa ACT ndugu Zitto Kabwe akiwa katika kipindi cha Salama na kinachorushwa Dstv, amekiri kuwa Hayati Magufuli alikuwa anamchukia sana!

Zitto ameongeza zaidi, Magufuli hakuwa na hekima, aliamini katika ubabe, hivyo niliamza kumpinga hapo ndipo chuki yake kwangu ilipoanza.

Zitto alifika mbali zaidi na kusema baada ya Lissu kupigwa risasi Dodoma mwaka 2017 ndipo alipoona kuwa Magufuli hana hekima hapendi kupingwa, hivyo Zitto akaongeza kumpinga hapo ndipo chuki ya Magufuli ilipozidi kwa Zitto!

Yaani hiki kipindi cha leo, Zitto kamsagia sana kunguni Mwendazake!!
Zitto ni mnafqi sana, japo huwa anajitahidi kutaka kuonekana yupo smart
 
Umeelewa mada lakini .au unachangi mada ipi
nimeelewa ila ni wewe hujaelewa comment yangu ngoja nikuandikie kwa lugha rahisi, nilichokisema ni kwamba yaliyozungumzwa leo na zitto yapo sahihi yote
nikatoa mfano kwamba Marehemu aliwahi kusema asisifiwe kuhusu ile hospitali ya Mloganzila kwani sio juhudi zake,huu mfano nimeutoa nikimsupport zitto hoja yake kwamba Marehemu alipewa sifa hata zisizo stahili (na alikataa)
 
Jamani JPM ameshakufa kutimiza ibada ya Mwenyezi Mungu kama ambavyo wote tutamiza, mlipaswa kupambana naye akiwa hai..hizi kelele dhidi yake akiwa ameshalala hazina maana zaidi ya kuwaanika mlivyo waoga tu..

..ni sawa na kuchezea guruneti au bomu lililotegwa.
 
Kiongozi wa ACT ndugu Zitto Kabwe akiwa katika kipindi cha Salama na kinachorushwa Dstv, amekiri kuwa Hayati Magufuli alikuwa anamchukia sana!

Zitto ameongeza zaidi, Magufuli hakuwa na hekima, aliamini katika ubabe, hivyo niliamza kumpinga hapo ndipo chuki yake kwangu ilipoanza.

Zitto alifika mbali zaidi na kusema baada ya Lissu kupigwa risasi Dodoma mwaka 2017 ndipo alipoona kuwa Magufuli hana hekima hapendi kupingwa, hivyo Zitto akaongeza kumpinga hapo ndipo chuki ya Magufuli ilipozidi kwa Zitto!

Yaani hiki kipindi cha leo, Zitto kamsagia sana kunguni Mwendazake!!

Siku Zote Marehemu Hukumbukwa Kwa Matendo Yake
 
Zitto unasumbuliwa na udini tu.

Angejifunza kwa Shehe ponda kusimamia ukweli

Kuliko kuwa mtu wa kuuma na kupuliza

Tunawaambia kila siku Achaneni na Mtu ambaye hawezi kujitetea tena.

Lakini kutwa kucha Magufuli Magufuli, Zitto ndio maana hata kigoma hana ushawishi kabisa.

Teh Teh Teh ni kigoma ipi iyo ambayo zitto hana ushawishi?
 
Back
Top Bottom