Joined aug 26, 2021Nimesema Kuna umuhimu wa kuwa makini unapomuongelea kiongozi wa juu wa nchi kwa mabaya yasiyo sahihi. MABAYA YASIYO SAHIHI.
Nikamalizia na JAMHURI inalinda wastaafu wake hata wakiwa kaburini. Tusijisahau.
Sidhani kama umeelewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Joined aug 26, 2021Nimesema Kuna umuhimu wa kuwa makini unapomuongelea kiongozi wa juu wa nchi kwa mabaya yasiyo sahihi. MABAYA YASIYO SAHIHI.
Nikamalizia na JAMHURI inalinda wastaafu wake hata wakiwa kaburini. Tusijisahau.
Sidhani kama umeelewa.
Mazuri yasemwe ila mabaya Nani atamjibia?
🙏Sawa mama la mama
Hili ni tatizo?Joined aug 26, 2021
Magu alichafuka mwa upumbavu wake. Hakuna anayemchafua.Hamna mwanasiasa yoyote atakayeweza kumchafua Magufuli.
Kazi za Magufuli zinaonekana kwa macho ila kazi za wachafuzi hamna hata moja inayoonekana wamekalia maneno maneno matupu tu.
Kwa hiyo huyo Zito amepoteza muda wake tu na heshima yake kwa jamii.
Kubwa sana kwa sasaHili ni tatizo?
Ndo apige risasi??Aaagh..!!, JPM alikuwa hapendi watu wajinga wajinga.
Hakika muda ni mwalimu mzuri sana. Tunaendelea kuwatambua taratibu wote waliohusika kumuua JPM. Tutawatambua wote.Salama na Zitto walichokifanya sio sahihi, leo ni kama waliamua kumchafua hayati magufuli kwenye kipindi chao, sijapenda kabisa, Serikali ichukue hatua haraka sana dhdi ya kipindi hiko na wahusika
Nimesema Kuna umuhimu wa kuwa makini unapomuongelea kiongozi wa juu wa nchi kwa mabaya yasiyo sahihi. MABAYA YASIYO SAHIHI.
Nikamalizia na JAMHURI inalinda wastaafu wake hata wakiwa kaburini. Tusijisahau.
Sidhani kama umeelewa. Maana nakuona kama mwenye akili za mpinzani wa kupinga sababu ni mpinzani na si usahihi wa hoja.
Hakuna tatizo hapo. Nawafahamu sana humu. Usidanganyike na tarehe ya kujiunga.Kubwa sana kwa sasa
Aaagh..!!, JPM alikuwa hapendi watu wajinga wajinga.
But taifa moja chini ya wimbo wa taifa na bendera moja na rais mmoja.Pemba na Unguja ni visiwa viwili tofauti wewe mmakonde!
Sufiani huyu huyu anayeomba asafishwe kwenye magazeti ya Tanzanite au nimekosea?Zitto Kabwe ni mchonganishi sana kiboko yake ni Sufiani na Mchange!
Hahahaaaa......... Kangomba Mmawia!But taifa moja chini ya wimbo wa taifa na bendera moja na rais mmoja.
Hizo pumba zako kawadanganye wenzako kina Wakudadavua
Wewe na unaowajumuisha kwenye usisi hamna umuhimu, hakuna sababu ya kujadili mnachokiona.Mabaya yasiyo sahihi vipi wakati sisi tunaona ukweli mchungu anaoongea hiyo Zito? Tuambiwe ni baya lipi lisilo sahihi kaongea Zito, ili tuone ww sio mpinzani, bali ni mtu mwenye akili za chama dola?
Zitto ni mwizi wa kisasa, nakumbuka enzi za akina Slaa Zitto alisumbua sana chadema, mpaka akina Slaa wakawa wanamkaimisha ofisi Myika, Mpaka akina Kikwete wakamsaidia kumfungulia chama ili kuigawanya chadema.Baati mzuri Magufuri alivyoingia tu madarakani alikuwa anajua mamluki wote, hivo mamluki wote aliwasagia kunguni,nandio chanzo cha Zitto kuanza chuki na Magufuri.Zitto ni tapeli wa siasa tu,yeye kuuza mechi ili mkono uende kinywani haoni asara
Vipi mega projects kama SGR, JNHPP, HOSPITAL ZAHANATI na VITUO VYA AFYA, madaraja ya kisasa kama kijazi, tanzanite, busisi, wami, kule uhasibu.?Miaka minne ya mwanzo wa utawala magu,alikopa sawa na kikwete alivyokopa miaka kumi,jk kajenga Zaid ya 6000km,magu 1004km
Wewe na unaowajumuisha kwenye usisi hamna umuhimu, hakuna sababu ya kujadili mnachokiona.
Zitto amekwepa mishale mingi, anafahamu usahihi wa analozungumza na hatari zake endapo kama hakuna usahihi na namna atakavyoikimbia hatari.