Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Ni kweli alikuwa muhudhuriaji mkubwa wa kanisani, na hii sio kwakuwa alikuwa mcha Mungu, bali makuzi yake alikuwa ni mtu wa kuhudhuria sana kanisani, hivyo ukubwani ikawa tayari iko kwenye damu. Ila baada ya kupata madaraka, kwenda kwenye nyumba ya ibada alitumia kama kivuli cha kufunika maovu yake.
Dah lakini shujaa alikuwa anajipambanu kuwa ni mtu wa ibada sana.Sidhani kama ni kweli alikuwa ana chuki kiaso hicho