sheiza
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 7,640
- 11,680
Duh. We ulikuwa wapi? Uliwahi kuisikia taarifa ya kamati ya madini ambayo zito aliwekwa na JK baada ya kuonekana anapiga sana kelele bungeni kuhusu barrick?Kwani JK alikuwa anawalisha mdomoni kwa kijiko hilo genge lake?