Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,153
- 10,670
Umeandika nini sasaMnakili Sasa ndiyo aliyeuwa kina Ben saanane na kupiga Lisu risasi
Tulia uandike kwa utuo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeandika nini sasaMnakili Sasa ndiyo aliyeuwa kina Ben saanane na kupiga Lisu risasi
Wana baraka zote kutoka Msoga. Huwezi kuwafanya lolote, utawala wa vitisho ulishaangushwa na Mungu wa kweli.Nimejiuliza hivi Salama na Zitto wote walijiamini nini? Kipindi cha leo Salama katoa airtime ya kutosha kwa Zitto kumsema Shujaa
Zitto anasema kama kuna Rais aliongoza kwa kujenga barabara basi ni Kikwete na sio Magufuli, hivyo watu waache kupotosha
Anasema Nyerere anakumbukwa kwa falsafa alizoziacha na sio miradi aliyojenga. Yaani leo Zitto kachafukwa mno
Zanzibar ni moja, watu kama wewe Hussein Mwinyi hataki kuwaona Zanzibar.Pemba na Unguja ni visiwa viwili tofauti wewe mmakonde!
Dust, jiwe inabidi wamsagie kinguni hata kama hayupoSalama hajaongoza kipindi kwa uwiano.yeye mwenyewe anachuki binafsi na magufuli.wanahabari wa kitanzania kufikia viwango vya kina salim kikeke,Charles hilali bado sana.huwezi kumuachia MTU unayemuhoji amtupie MTU lawama bila kumuoji kisa ni nini?.unamuacha anajieleza bila kumuuliza swami.mfano amesema jk ndio rais aliyejenga barabala km nyingi kuliko rais yeyote tz.jk miaka kumi magufuli miaka 5 na miezi 5 ametengeneza km ngapi? Ndio hayo yalitakiwa kuulizwa.na alikopa sh ngapi nje na magufuli alikopa sh ngapi nje.
Kwahio?Salama ni mpemba na Zitto Kabwe ameoa binamu yake kule Pemba!
Unazionà wewe sio kila mtuHamna mwanasiasa yoyote atakayeweza kumchafua Magufuli.
Kazi za Magufuli zinaonekana kwa macho ila kazi za wachafuzi hamna hata moja inayoonekana wamekalia maneno maneno matupu tu.
Kwa hiyo huyo Zito amepoteza muda wake tu na heshima yake kwa jamii.
Kama kuna mwandishi anaandaa kitabu cha kuelezea udikteta na ukatili wa huyu mwendakuzimu mimi nipo tayari kuchangia gharama.mtaani approval ya JPM iko juu sana sasa mno
JPM marehemu anaweza shinda urais akishindana na mama samia ambae yuko hai
Leta vivid evidence, sio maneno yako tuMiaka minne ya mwanzo wa utawala magu,alikopa sawa na kikwete alivyokopa miaka kumi,jk kajenga Zaid ya 6000km,magu 1004km
Wangepambana nae akiwa hai yangewakuta ya lissu.Jamani JPM ameshakufa kutimiza ibada ya Mwenyezi Mungu kama ambavyo wote tutamiza, mlipaswa kupambana naye akiwa hai..hizi kelele dhidi yake akiwa ameshalala hazina maana zaidi ya kuwaanika mlivyo waoga tu..
Wenye akili timamu tunaijua hilo, jamaa alikuwa kichaa na hakustahili kuwa kiongozi mkuu wa nchiHahahaha kipindi kitafungiwa hiko [emoji23][emoji23][emoji23]
Amesema wazi kuwa shujaa wao wa Afrika anahusika na risasi za Lissu
Wewe ndio udini uakusumbua.Zitto unasumbuliwa na udini tu.
Angejifunza kwa Shehe ponda kusimamia ukweli
Kuliko kuwa mtu wa kuuma na kupuliza
Tunawaambia kila siku Achaneni na Mtu ambaye hawezi kujitetea tena.
Lakini kutwa kucha Magufuli Magufuli, Zitto ndio maana hata kigoma hana ushawishi kabisa.
Shukrani nyingi sana zikufikie mkuu kwa kuliweka wazi hilo.Sukuma gang huyo swahiba wa mzee mgaya wanapiga wote ulanzi kitanzini hadi makanyagio
Bila kuiondosha ccm hili taifa litazidi kufanywa kama shamba la bibi tuUkweli wacha usemwe , kwa ajili ya maslahi mapana ya historia ya taifa letu.
Wanataka kulazimisha legacy ambayo kimsingi hatuioniKwani una gain nn kumchafua mtu aliemaliza muda wake dunian... Hii ndo siasa aisee uwez kuwa kiongoz wa nchi alafu kila mtu atambue au akuchukulie positive Yani serikali ipoteze muda kisa Kuna mwanasiasa ajatambua kazi ya kiongoz fulani Camon Africa tuache hii si lazima kila mtu aone kiongozi fulani alikua bora
Magufuli alichukia wengi kwa chuki ya kifo!Zitto unasumbuliwa na udini tu.
Angejifunza kwa Shehe ponda kusimamia ukweli
Kuliko kuwa mtu wa kuuma na kupuliza
Tunawaambia kila siku Achaneni na Mtu ambaye hawezi kujitetea tena.
Lakini kutwa kucha Magufuli Magufuli, Zitto ndio maana hata kigoma hana ushawishi kabisa.
Ukiona mtu anapost ujinga kama wa mleta mada jua kuwa ni mwana sukuma gangZitto ni mwanasiasa haiwezekani akamsifia mwanasiasa wa chama kingine, nawe tueleze aliyokuwa akiyafanya mwendazake yote yalikuwa sahihi?
Mimi naona wewe bado haujui siasa ni nini, tafuta hotuba za Mwalimu Nyerere zinazohusu siasa za vyama vingi, nina uhakika utaelewa.
Labda atashinda kwakomtaani approval ya JPM iko juu sana sasa mno
JPM marehemu anaweza shinda urais akishindana na mama samia ambae yuko hai
Hao ndiyo wale wanao amini kuwa chato ni mkoaKama vipi mfuate huko jehanam ukamsifie.