Zitto Kabwe: Hayati Magufuli alikuwa ananichukia

Zitto Kabwe: Hayati Magufuli alikuwa ananichukia

Zitto ni mnafiki hilo liko wazi.

Mtu mnafiki unashindwa kuewa anachokisema kama kina ukweli ama hakina.

Kwa hiyo Hagaya anampenda?
 
Ni ujinga mtupu kusutana na mtu ambae tayar ameshafariki. Zito angekuwa na uhakika wa haya ayasemayo angeongea wakati hayati Magufuli alipokuwa hai. Zito ni mmoja wa wanasiasa wa hovyo na waongo sana nchini.
Mbona Lisu aliongea Magufuli akiwa hai na mkampiga risasi.Ben saanane kaongea mkamuuwa? Acheni unafiki wenu. MAGUFULI ALIKUWA MUUWAJI HILO LIKO WAZI.
 
Salama na Zitto walichokifanya sio sahihi, leo ni kama waliamua kumchafua hayati magufuli kwenye kipindi chao, sijapenda kabisa, Serikali ichukue hatua haraka sana dhdi ya kipindi hiko na wahusika
[emoji38][emoji38][emoji38] Ukiambiwa kipindi chenyewe ni cha serikali utafanyaje ?

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Leo jion machinga wakifunga virago vyao wakipiga kelele wakiita magufuliiiiiiiiiii uko wapi?
Nilisema ni zamu yenu kati yao kuna walofurahi jpm wetu kufa, wakati huo tulilia kwa uchungu leo nao wanasaga meno.
Kutetea legacy ya Sadist inahitaji kichwa cha mwendawazimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salama na Zitto walichokifanya sio sahihi, leo ni kama waliamua kumchafua hayati magufuli kwenye kipindi chao, sijapenda kabisa, Serikali ichukue hatua haraka sana dhdi ya kipindi hiko na wahusika
Mimi sijui walichosema hao wawili, lakini inaonekana wewe ni mbaya kabisa kuzidi wao.
Ukandamizaji wote huu wa serikali na kunyima HAKI, bado unaona serikali izidi kukandamiza?

Watu kama nyinyi sasa mnataka serikali itunyanyase kwa kila jambo? Hii serikali yenu hii siku moja itawanyang'anya hata wake zenu, huku mkizidi kushangilia iongeze kasi zaidi!
 
Hamna mwanasiasa yoyote atakayeweza kumchafua Magufuli.

Kazi za Magufuli zinaobekana kwa macho ila kazi za wachafuzi hamna hata moja inayoonekana wsmekalia maneno tu.

Kwa hiyo huyo Zito amepoteza muda na heshima yake kwa jamii.
Kwani una gain nn kumchafua mtu aliemaliza muda wake dunian... Hii ndo siasa aisee uwez kuwa kiongoz wa nchi alafu kila mtu atambue au akuchukulie positive Yani serikali ipoteze muda kisa Kuna mwanasiasa ajatambua kazi ya kiongoz fulani Camon Africa tuache hii si lazima kila mtu aone kiongozi fulani alikua bora
 
Salama na Zitto walichokifanya sio sahihi, leo ni kama waliamua kumchafua hayati magufuli kwenye kipindi chao, sijapenda kabisa, Serikali ichukue hatua haraka sana dhdi ya kipindi hiko na wahusika
Zitto ni mwanasiasa haiwezekani akamsifia mwanasiasa wa chama kingine, nawe tueleze aliyokuwa akiyafanya mwendazake yote yalikuwa sahihi?
Mimi naona wewe bado haujui siasa ni nini, tafuta hotuba za Mwalimu Nyerere zinazohusu siasa za vyama vingi, nina uhakika utaelewa.
 
Hamna mwanasiasa yoyote atakayeweza kumchafua Magufuli.

Kazi za Magufuli zinaobekana kwa macho ila kazi za wachafuzi hamna hata moja inayoonekana wsmekalia maneno tu.

Kwa hiyo huyo Zito amepoteza muda na heshima yake kwa jamii.
mtaani approval ya JPM iko juu sana sasa mno

JPM marehemu anaweza shinda urais akishindana na mama samia ambae yuko hai
 
Salama na Zitto walichokifanya sio sahihi, leo ni kama waliamua kumchafua hayati magufuli kwenye kipindi chao, sijapenda kabisa, Serikali ichukue hatua haraka sana dhdi ya kipindi hiko na wahusika
Utamchafuaje mtu mchafu? Anthony Diallo wa CCM Mwanza alikwisha tuambia kuwa Mwendazake alikuwa kichaa. Unamchafuaje kichaa kwa mfano?
 
Back
Top Bottom