Zitto Kabwe: Hayati Magufuli alikuwa ananichukia

Zitto Kabwe: Hayati Magufuli alikuwa ananichukia

Nimejiuliza hivi Salama na Zitto wote walijiamini nini? Kipindi cha leo Salama katoa airtime ya kutosha kwa Zitto kumsema Shujaa

Zitto anasema kama kuna Rais aliongoza kwa kujenga barabara basi ni Kikwete na sio Magufuli, hivyo watu waache kupotosha

Anasema Nyerere anakumbukwa kwa falsafa alizoziacha na sio miradi aliyojenga. Yaani leo Zitto kachafukwa mno
Wana baraka zote kutoka Msoga. Huwezi kuwafanya lolote, utawala wa vitisho ulishaangushwa na Mungu wa kweli.
 
Salama hajaongoza kipindi kwa uwiano.yeye mwenyewe anachuki binafsi na magufuli.wanahabari wa kitanzania kufikia viwango vya kina salim kikeke,Charles hilali bado sana.huwezi kumuachia MTU unayemuhoji amtupie MTU lawama bila kumuoji kisa ni nini?.unamuacha anajieleza bila kumuuliza swami.mfano amesema jk ndio rais aliyejenga barabala km nyingi kuliko rais yeyote tz.jk miaka kumi magufuli miaka 5 na miezi 5 ametengeneza km ngapi? Ndio hayo yalitakiwa kuulizwa.na alikopa sh ngapi nje na magufuli alikopa sh ngapi nje.
Dust, jiwe inabidi wamsagie kinguni hata kama hayupo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waongeee tu ila kuna siku watakaa na kukiri kua tangu tupate marais ukimtoa baba wa taifa ni Jembe Magufuli ..tinga tinga yule jamaa achana nae kabisa ameitengeneza tanzania kwa miaka sita ikapendeza kwa miladi kibao ww ulipo huko ni shahidi ila kwa kua binadam hatuna shukrani tumejaa hila na kuhesabu mabaya tu.Namuombea sana Mungu ampunguzie adhabu za kaburi
 
Zitto unasumbuliwa na udini tu.

Angejifunza kwa Shehe ponda kusimamia ukweli

Kuliko kuwa mtu wa kuuma na kupuliza

Tunawaambia kila siku Achaneni na Mtu ambaye hawezi kujitetea tena.

Lakini kutwa kucha Magufuli Magufuli, Zitto ndio maana hata kigoma hana ushawishi kabisa.
Wewe ndio udini uakusumbua.
 
Kwani una gain nn kumchafua mtu aliemaliza muda wake dunian... Hii ndo siasa aisee uwez kuwa kiongoz wa nchi alafu kila mtu atambue au akuchukulie positive Yani serikali ipoteze muda kisa Kuna mwanasiasa ajatambua kazi ya kiongoz fulani Camon Africa tuache hii si lazima kila mtu aone kiongozi fulani alikua bora
Wanataka kulazimisha legacy ambayo kimsingi hatuioni
 
Zitto unasumbuliwa na udini tu.

Angejifunza kwa Shehe ponda kusimamia ukweli

Kuliko kuwa mtu wa kuuma na kupuliza

Tunawaambia kila siku Achaneni na Mtu ambaye hawezi kujitetea tena.

Lakini kutwa kucha Magufuli Magufuli, Zitto ndio maana hata kigoma hana ushawishi kabisa.
Magufuli alichukia wengi kwa chuki ya kifo!
 
Zitto ni mwanasiasa haiwezekani akamsifia mwanasiasa wa chama kingine, nawe tueleze aliyokuwa akiyafanya mwendazake yote yalikuwa sahihi?
Mimi naona wewe bado haujui siasa ni nini, tafuta hotuba za Mwalimu Nyerere zinazohusu siasa za vyama vingi, nina uhakika utaelewa.
Ukiona mtu anapost ujinga kama wa mleta mada jua kuwa ni mwana sukuma gang
 
Back
Top Bottom