Zitto Kabwe: Hayati Magufuli alikuwa ananichukia

Ni kweli alikuwa muhudhuriaji mkubwa wa kanisani, na hii sio kwakuwa alikuwa mcha Mungu, bali makuzi yake alikuwa ni mtu wa kuhudhuria sana kanisani, hivyo ukubwani ikawa tayari iko kwenye damu. Ila baada ya kupata madaraka, kwenda kwenye nyumba ya ibada alitumia kama kivuli cha kufunika maovu yake.
Dah lakini shujaa alikuwa anajipambanu kuwa ni mtu wa ibada sana.Sidhani kama ni kweli alikuwa ana chuki kiaso hicho
 
Zitto ni mnafiki na opportunist ..haya maneno yametoka katika mdomo wake.Ndiyo maana alifukuzwa Chadema.
Your browser is not able to display this video.
 
Upo sahihi. Hakuna sababu ya kujaribu kumchafua.

Kuna umuhimu wa kuwa makini unapomuongelea kiongozi wa juu wa nchi kwa mabaya yasiyo sahihi.

JAMHURI inalinda wastaafu wake hata wakiwa kaburini. Tusijisahahu.

Kuongea ukweli wake ni kumchafua? Kwahiyo hiyo Uganda nao walinde habari za Iddy Amin? Utende ukatili kisha ukweli ukiwekwa wazi ujifanye unazuia ukweli huo kuwekwa wazi. Ungemahauri ukatili haulipi.
 
Naona
Serikali wenyewe wanafurahia magufuri kuchaguliwa kwani wanaopanga hizo ratiba za kuchafua ni wapiga dill akiwemi zito huku SSS AKIFUTAHIA KUMWAGIWA SIFA.LAKINI YA MUNGU.MENGI..HUENDA UACHAFU WANAOMRUSBIA MWENDAZAKE UKAWARUKIA WAO
Naona timu Mizoga imepanga ratiba ya kumchafua Magufuli.Kumbe ndio mambo wanazidi kuyafanya magumu upande wao.Zitto mwenyewe usoni ana fungus za kutosha.
 
mama D tulikubaliana tumehamia team Samia, sasa mbona unarudi Misri tena? Keshaoza!!!

Wewe naweeeee🙄🙄
Samia ni nani na misri ni nini?
Kwa hiyo leo wewe ndio umemjua Samia? Miaka mitano iliyopita Samia kwako hakua kitu eeeh?

Samia ni zao bora kabisa la chama chake na serikali zilizopita. Acha kuchonganisha wananchi na Rais wao
 

Samia [emoji15] huyu huyu au mwengine?
 
Yeye hakuwa muoga lakini alikuwa anazungukwa na mitutu kila mahali. Au kuna siku ulimuona yeye akiingia mtaani kuzuia watu wasifanye maandamano ili tujue yeye hakuwa muoga. Kama anaendelea kusifiwa baada ya kufa, vumilia ukweli wake wa upande wa pili ukiwekwa hadharani.
JPM ameshakufa kutimiza ibada ya Mwenyezi Mungu kama ambavyo wote tutamiza, mlipaswa kupambana naye akiwa hai..hizi kelele dhidi yake akiwa ameshalala hazina maana zaidi ya kuwaanika mlivyo waoga tu..
 
Kuongea ukweli wake ni kumchafua? Kwahiyo hiyo Uganda nao walinde habari za Iddy Amin? Utende ukatili kisha ukweli ukiwekwa wazi ujifanye unazuia ukweli huo kuwekwa wazi. Ungemahauri ukatili haulipi.
Nimesema Kuna umuhimu wa kuwa makini unapomuongelea kiongozi wa juu wa nchi kwa mabaya yasiyo sahihi. MABAYA YASIYO SAHIHI.

Nikamalizia na JAMHURI inalinda wastaafu wake hata wakiwa kaburini. Tusijisahau.

Sidhani kama umeelewa. Maana nakuona kama mwenye akili za mpinzani wa kupinga sababu ni mpinzani na si usahihi wa hoja.
 
Lini ukaanza kuwa mtetezi wa chadema??
 
Sawa mama la mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…