Zitto Kabwe: Hayati Magufuli alikuwa ananichukia

Zitto Kabwe: Hayati Magufuli alikuwa ananichukia

Kiongozi wa ACT ndugu Zitto Kabwe akiwa katika kipindi cha Salama na kinachorushwa Dstv, amekiri kuwa Hayati Magufuli alikuwa anamchukia sana!

Zitto ameongeza zaidi, Magufuli hakuwa na hekima, aliamini katika ubabe, hivyo niliamza kumpinga hapo ndipo chuki yake kwangu ilipoanza.

Zitto alifika mbali zaidi na kusema baada ya Lissu kupigwa risasi Dodoma mwaka 2017 ndipo alipoona kuwa Magufuli hana hekima hapendi kupingwa, hivyo Zitto akaongeza kumpinga hapo ndipo chuki ya Magufuli ilipozidi kwa Zitto!

Yaani hiki kipindi cha leo, Zitto kamsagia sana kunguni Mwendazake!!
Angeachaje kumchukia mtu mzandiki kama zitto kabwe. Zitto mwenyewe ndio alianza kumchukia magufuli sasa alitegemea magufuli ampende?
 
Kiongozi wa ACT ndugu Zitto Kabwe akiwa katika kipindi cha Salama na kinachorushwa Dstv, amekiri kuwa Hayati Magufuli alikuwa anamchukia sana!

Zitto ameongeza zaidi, Magufuli hakuwa na hekima, aliamini katika ubabe, hivyo niliamza kumpinga hapo ndipo chuki yake kwangu ilipoanza.

Zitto alifika mbali zaidi na kusema baada ya Lissu kupigwa risasi Dodoma mwaka 2017 ndipo alipoona kuwa Magufuli hana hekima hapendi kupingwa, hivyo Zitto akaongeza kumpinga hapo ndipo chuki ya Magufuli ilipozidi kwa Zitto!

Yaani hiki kipindi cha leo, Zitto kamsagia sana kunguni Mwendazake!!

Zito Kabwe🤣🤣🤣🤣

Wanafiki Kama Zitto Mwendazake alikuwa hawapendi.
Zitto ni mtu wa kufika Bei,ulikula vya Kikwete,kwa Jiwe ukaula wa chuya.
Nashangaa eti watu watu wanashangiria Zitto kisa kamnanga magufuri.Magufuri alikuwa apatani na wanafiki, Zitto alikuwa mdumbilakuwili,hawa akina Zitto ndio waliochelewesha mabadiliko nchini kwa unafiki wao.
 
Salama na Zitto walichokifanya sio sahihi, leo ni kama waliamua kumchafua hayati magufuli kwenye kipindi chao, sijapenda kabisa, Serikali ichukue hatua haraka sana dhdi ya kipindi hiko na wahusika
Wewe dogo lazima ukubali kuwa nyakati zinabadilika.

Utakonda bure au kukosana na watu kwa mambo yaliyo pita kitambo.

Lazima ujue kuwa kwa sasa tupo na awamu ya 6.
 
Huu unafiki sana...haya sasa Salam balance story kwa kumtafuta huyo mnayemsema JPM aje naye atueleza kwanini alimchukia ZZK...

Hiki kipindi kilifaa kuendeshwa mwenyewe akiwa hai ili naye ahojiwe kubalance story vinginevyo ni upumbavu tu....PUMBAVU WOTE..

Alivyokuwa hai wote mlimuogopa, kuanzia wastaafu, wapinzani nk leo mnabwekabweka fighting with dead body....
 
Kiongozi wa ACT ndugu Zitto Kabwe akiwa katika kipindi cha Salama na kinachorushwa Dstv, amekiri kuwa Hayati Magufuli alikuwa anamchukia sana!

Zitto ameongeza zaidi, Magufuli hakuwa na hekima, aliamini katika ubabe, hivyo niliamza kumpinga hapo ndipo chuki yake kwangu ilipoanza.

Zitto alifika mbali zaidi na kusema baada ya Lissu kupigwa risasi Dodoma mwaka 2017 ndipo alipoona kuwa Magufuli hana hekima hapendi kupingwa, hivyo Zitto akaongeza kumpinga hapo ndipo chuki ya Magufuli ilipozidi kwa Zitto!

Yaani hiki kipindi cha leo, Zitto kamsagia sana kunguni Mwendazake!!
Ni ujinga mtupu kusutana na mtu ambae tayar ameshafariki. Zito angekuwa na uhakika wa haya ayasemayo angeongea wakati hayati Magufuli alipokuwa hai. Zito ni mmoja wa wanasiasa wa hovyo na waongo sana nchini.
 
wanahangaika sana na Hayati, sujui shida ni nn?au wameona bila kumchafua kick hazibambi?
They need to get over it and move on.
Hamna mwanasiasa yoyote atakayeweza kumchafua Magufuli.

Kazi za Magufuli zinaonekana kwa macho ila kazi za wachafuzi hamna hata moja inayoonekana wamekalia maneno matupu tu.

Kwa hiyo huyo Zito amepoteza muda wake na heshima yake kwa jamii.
 
Zitto unasumbuliwa na udini tu.

Angejifunza kwa Shehe ponda kusimamia ukweli

Kuliko kuwa mtu wa kuuma na kupuliza

Tunawaambia kila siku Achaneni na marehemu kwani ni lazima tukiongea tumhusishe mtu aliyekufa tayari.
Ni kweli zitto ni mdini. Utaona anatake sides irrational kwa watu kufuatana na udini. Utaona issue ya shamte na katani limited comment zake kama vile ni uonevu wakati taarifa ya uchunguzi iliyosomwa mbele ya waziri mkuu inaonyesha madudu ya kutisha.
 
Back
Top Bottom