Acha matusiWenye shilika Lao wamemjibu huyo mbweha wa kigoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha matusiWenye shilika Lao wamemjibu huyo mbweha wa kigoma
Ujue kwenye jamii kuna vidudumtu ambavyo havijali matumizi mabaya ya kodi zao, vyenyewe vipo kumtetea kiongozi wampendae hata kama ni mwehu, kamojawapo ndiko hako.We ndo huna akili kabisa. Wenye akili wangefanya utafiti kujua kuwa je ni kweli ndege ziko mawe au la ili uje kukanusha sasa
Kumnanga Jiwe ndiyo kunawapa umaarufu wanasiasa wa opposition, Zitto kachelewa sana kuustukia mchezo.Kumtukana JPM hakuta kujenga kisiasa hata watu wa kigoma watakukataa labda upewe ubunge wa mchogo ili kulipwa fadhila za aliyekutuma kumchafua JPM
Zile ndege Jiwe alikuwa akijua kuwa ni mafamba, katupiga live pale yaani bora alivyokufa manake angepiga huku alidedisha watu mpaka maji kungeyaita mma...usimshambulie Zitto binafsi, shambulia hoja yake.
..hivi unaona ni sahihi ndege hizo 6 kuwa grounded muda mfupi baada ya kununuliwa?
Lucifer JPM hachafuliwi na ZZK Wala mtu mwingine yoyote bali ni matendo ya kishetani aliyoyafanya mwenyewe kwa hiari na utashi wake mwenyewe!Kumtukana JPM hakuta kujenga kisiasa hata watu wa kigoma watakukataa labda upewe ubunge wa mchogo ili kulipwa fadhila za aliyekutuma kumchafua JPM
Usiongelee NJAA, hata wewe una njaa tena kubwa kuliko zito!Hakuna hoja hapo zaidi ya njaa zake binafsi
Kamtukana wapi? Very simple ajibiwe kwa hoja, zipo au hazipo? Mbona tunapenda kupindisha hoja
Uyu ni yule aliepinga bwawa LA Nyerere mpaka ujerumani Leo anamsifia mama Kwa kuliendeleza , je unaweza kumuaminiCrap!
Poor contribution from a low mind.
Hoja ni je, tulidanganywa kuwa ndege ni mpya?
Maswali yako mengine yote yanaonesha uwezo wako mdogo wa kujenga na kujibu hoja.
Sijaona kwenye maelezo ya Zito, kuna mahali amemshambulia marehemu Magufuli. Kusema ndege ziluzonunuliwa na Magufuli, imetumika kama identity. Siku zote si zinatajwa ndege za Magufuli?
Lakini kama ni kweli ndege hizo ni mitumba, wananchi wana haki ya kumlaumu Magufuli kwa kuwadanganya kuwa ni ndege mpya. Alistahili kusema ukweli kuwa ndege zimetumika, na angefafanua kwa nini anadhani ni busara kununua hizo ndege zilizotumika.
ZZK kateuliwa kuwa Mwenyekiti au Mjumbe wa Bodi ya ATCL au wewe unahusika?
Zitto ametoa tuhuma nyingi dhidi ya Hayati Magufuli na utawala wake.
Mojawapo ni hiyo ya ndege 6 alizonunua Hayati Magufuli kuwa grounded wakati tuliambiwa ni ndege mpya.
Nasubiri kusikia kama Serikali au ATCL watakanusha tuhuma hizi.
Majibu ya ATCL, soma ATCL: Ndege mbili zina shida ya Injini. Ndege moja imekamatwa Uholanzi. Si kweli kuwa ndege sita hazifanyi kazi
kama hazifanyiwi services zinarukaje zitto ni mzitoZitto ametoa tuhuma nyingi dhidi ya Hayati Magufuli na utawala wake.
Mojawapo ni hiyo ya ndege 6 alizonunua Hayati Magufuli kuwa grounded wakati tuliambiwa ni ndege mpya.
Nasubiri kusikia kama Serikali au ATCL watakanusha tuhuma hizi.
Majibu ya ATCL, soma ATCL: Ndege mbili zina shida ya Injini. Ndege moja imekamatwa Uholanzi. Si kweli kuwa ndege sita hazifanyi kazi
Wanaotakiwa kufanya matengenezo ni nani kama sio hao hao waliozinunua kwasababu Serikali ni ile ile ya Ccm sasa wajinga ni kina nani hapo?.Ulitegemea ziwe grounded lini ? Kama service hamna unataka ziruke vip , hata kama ni mpya unajua service schedule yake , ndege sio Gari , hlo shirika wamedhamiria kuliua , na watu wanashangilia , ogopa sana kundi la wajinga
Nchi sio kitalu cha mtu binafsi.Magufuli hajafa na serikali.Kwaiyo kama zipo grounded ni Kosa la mbeba maono alozinunua au waendeshaji wa shirika wa Sasa au unataka JPM afufuke ili aliendeshe hilo shirika?
Hivi kama ukijenga nyumba warithi wako wakaamua kuigeuza ile nyumba danguro inabidi tukulaumu wewe kwa kujenga hiyo nyumba?
Zito Hana hoja ni shoga tu la kisiasa lenye njaa.
Tushapigwa siku nyingi, waimba Pambio bado wanaendelea tu.Wanaotakiwa kufanya matengenezo ni nani kama sio hao hao waliozinunua kwasababu Serikali ni ile ile ya Ccm sasa wajinga ni kina nani hapo?.
Hakuna hoja ya kujadili hapowe umeshiba? Anaweza kuwa na njaa km wewe? We ni sawa na huyo mfu mwenzio. Jadili hoja km huwezi pita kimya kimya.
Hakuna hoja hapo ya kujadili mtu mwenye akili timamuAcha wenye akili timamu na wenye upeo wajadili hoja. Huna mchango wowote kwenye hoja inayojadiliwa.
Leta ushahidi na sio kubwabwajaAnapanda kwakuwa hakuna mbadala, lakini haiondoi ukweli kuwe hizo ndege ni mbovu. Jitahidi kutengenisha mambo hayo.
Kuna mashine inayoweza kufanya kazi bila service?Kama ndege mpya zina kutu na ziko grounded bas itakuwa tumepigwa changa la macho sana
5523 zile ndege tumepigwa mbaya kabisa.