Zitto Kabwe: Katika ndege 12 alizonunua Hayati Magufuli, ndege 6 hazifanyi kazi, ziko grounded, zina kutu, ingawa tuliambiwa ni mpya

Zitto Kabwe: Katika ndege 12 alizonunua Hayati Magufuli, ndege 6 hazifanyi kazi, ziko grounded, zina kutu, ingawa tuliambiwa ni mpya

We ndo huna akili kabisa. Wenye akili wangefanya utafiti kujua kuwa je ni kweli ndege ziko mawe au la ili uje kukanusha sasa
Ujue kwenye jamii kuna vidudumtu ambavyo havijali matumizi mabaya ya kodi zao, vyenyewe vipo kumtetea kiongozi wampendae hata kama ni mwehu, kamojawapo ndiko hako.
 
Kumtukana JPM hakuta kujenga kisiasa hata watu wa kigoma watakukataa labda upewe ubunge wa mchogo ili kulipwa fadhila za aliyekutuma kumchafua JPM
Kumnanga Jiwe ndiyo kunawapa umaarufu wanasiasa wa opposition, Zitto kachelewa sana kuustukia mchezo.
 
..usimshambulie Zitto binafsi, shambulia hoja yake.

..hivi unaona ni sahihi ndege hizo 6 kuwa grounded muda mfupi baada ya kununuliwa?
Zile ndege Jiwe alikuwa akijua kuwa ni mafamba, katupiga live pale yaani bora alivyokufa manake angepiga huku alidedisha watu mpaka maji kungeyaita mma.
 
Kumtukana JPM hakuta kujenga kisiasa hata watu wa kigoma watakukataa labda upewe ubunge wa mchogo ili kulipwa fadhila za aliyekutuma kumchafua JPM
Lucifer JPM hachafuliwi na ZZK Wala mtu mwingine yoyote bali ni matendo ya kishetani aliyoyafanya mwenyewe kwa hiari na utashi wake mwenyewe!
Alichokifanya Zitto ni "kukisoma hadharani kitabu cha Lucifer Magufuli alichokiandika kwa hiari na utashi wake mwenyewe!
Na wewe sio msemaji wa watu wa Kigoma kumkataa zito au la huna uwezo nalo unaoayukapayuka kisengesenge tu hapa! Nyau we
 
Hakuna hoja hapo zaidi ya njaa zake binafsi
Usiongelee NJAA, hata wewe una njaa tena kubwa kuliko zito!
Zungumzia Ndege 6; je ni sahihi ndege mpya kusimama ndani ya miaka 2 tu ya uhai wake au Lucifer alitupia akaficha pesa China na Chato?!
Vinginevyo funga makalio yako hayo kabla hujafirwa bure![emoji23]
 
Kamtukana wapi? Very simple ajibiwe kwa hoja, zipo au hazipo? Mbona tunapenda kupindisha hoja

Crap!

Poor contribution from a low mind.

Hoja ni je, tulidanganywa kuwa ndege ni mpya?

Maswali yako mengine yote yanaonesha uwezo wako mdogo wa kujenga na kujibu hoja.

Sijaona kwenye maelezo ya Zito, kuna mahali amemshambulia marehemu Magufuli. Kusema ndege ziluzonunuliwa na Magufuli, imetumika kama identity. Siku zote si zinatajwa ndege za Magufuli?

Lakini kama ni kweli ndege hizo ni mitumba, wananchi wana haki ya kumlaumu Magufuli kwa kuwadanganya kuwa ni ndege mpya. Alistahili kusema ukweli kuwa ndege zimetumika, na angefafanua kwa nini anadhani ni busara kununua hizo ndege zilizotumika.
Uyu ni yule aliepinga bwawa LA Nyerere mpaka ujerumani Leo anamsifia mama Kwa kuliendeleza , je unaweza kumuamini
 
Zitto ametoa tuhuma nyingi dhidi ya Hayati Magufuli na utawala wake.

Mojawapo ni hiyo ya ndege 6 alizonunua Hayati Magufuli kuwa grounded wakati tuliambiwa ni ndege mpya.

Nasubiri kusikia kama Serikali au ATCL watakanusha tuhuma hizi.

Majibu ya ATCL, soma ATCL: Ndege mbili zina shida ya Injini. Ndege moja imekamatwa Uholanzi. Si kweli kuwa ndege sita hazifanyi kazi


ZITTO, wabunge wa kupewa na mwendazake wanajikusanyia vyao maana wanajua 2025 hawarudi na hata makanisani hawaji maana wanajua walidhulumu damu za wenzao, hawawezi kupigia kelele haya mambo, wacha inyeshe tujua panapovuja ila WASUKUMA GANG wameturudisha karne ya 17.
 
Ulitegemea ziwe grounded lini ? Kama service hamna unataka ziruke vip , hata kama ni mpya unajua service schedule yake , ndege sio Gari , hlo shirika wamedhamiria kuliua , na watu wanashangilia , ogopa sana kundi la wajinga
Wanaotakiwa kufanya matengenezo ni nani kama sio hao hao waliozinunua kwasababu Serikali ni ile ile ya Ccm sasa wajinga ni kina nani hapo?.
 
Kwaiyo kama zipo grounded ni Kosa la mbeba maono alozinunua au waendeshaji wa shirika wa Sasa au unataka JPM afufuke ili aliendeshe hilo shirika?

Hivi kama ukijenga nyumba warithi wako wakaamua kuigeuza ile nyumba danguro inabidi tukulaumu wewe kwa kujenga hiyo nyumba?

Zito Hana hoja ni shoga tu la kisiasa lenye njaa.
Nchi sio kitalu cha mtu binafsi.Magufuli hajafa na serikali.
 
Back
Top Bottom