Zitto Kabwe: Kuomba maridhiano kwa Rais Magufuli ni kujipendekeza na unafiki





Zitto alikuwa na siasa za hivyo, za kukaa chini, AKATUKANWA NA KUITWA MAJINA YOTE, na hata bungeni zitto alimtambua JPM

CDM imeumizwa sana, mno, na imepotea na haina hata kiongozi mmoja wa serikali za mitaa. Mbowe kaona kabisa anapotea na chama chake na kaona the best way ni kuomba PO!!! bila kusahau anakiuza chama mchana kweupe mara ya pili

1. angeomba audience na rais alipokatza mikutano ya siasa; HAKUFANYA
2. Angeomba maridhiano baada ya yeye kuwekwa ndani na kesi hizi za akina akwilina, HAKUFANYA
3.Angeomba maridhiano kabla ya uchaguzi wa serikali za Mitaa , ambao ndio wa muhimu sana kuliko hata ubunge anaoutaka; HAKUFANYA

Watu wake akiwemo Lema, sugu,mdee, wamkuwa wakimtukana rais matusi ya aibu ya nguoni!!!! hivi anataka maridhiano gani?? wakati wao ndio hawana heshima na since day one walimkataa JPM???


Siasa za urafiki tulizihimiza sana, na Mbowe alipaswa kuwaziba midomo watu wake wasimtukane rais. RAIS katukanwa sana kipindi hiki kuliko nyakati zozote za maisha ya nchi hii


Maridhiano HAYAPO, kinachotokea CHADEMA inajizika kabisa, na hata wale wafuasi wanaojilewa SIDHANI kama wana nguvu

maria sarungu, fatuma karume, maaskofu wale wa kuandika vi article kigogo, etc. wanajuta hii leo

Before that tuliona akina mwanakijiji ambao walikuwa wanaipenda chadema kwa dhati wakibadioi ideology zao kwa CDM kumleta fisadi Lowassa, na kuwaacha watu kama akina SLAA...Ambaye alikuwa ICON ya upinzani


CDM haina baba, haina mama, haina uongozi, haina nguvu tena, maana imepoteza kila kitu. Kinachobakia ni Mbowe kuteuliwa kuwa balozi wa Tanzania, FINLAND, Lema kuwa board member wa chama cha pareto, na SUGU ubunge wake anajua hatapata yeye, atapangiwa majukumu mengine


NILIJUA KABISA KWA UELEWA WA SIASA ZA TANZANIA, issue ya kudeal na Magufuli ingefanyika kuanzia mwanzo kabisa bila kukata tamaa au kutulia....hapo katikataki kuna damage zimefanyika na hasa chadema ndio wameumiza watu na wamemuumiza rais, WATATAKIWA KUOMBA MSAMAHA KWA MATUSI NA DHARAU ZA WAZI, ikfika hatua hii ndio mtakumbuka maneno ya zitto

JPM, uzuri wake habadiliki, anapiga kazi, na kanyoosha mstari, haangalii jumuia za kimataifa wala za kinanilii

wale waliohama CDM kwenye CCM, walitukanwa pia............
 

uzuri wa JPM ni hapo tu, KANYOOOOOKA mno!!

mpaka raha
 
Nahisi hapa kuna mtu kapigwa chenga ya mwili. Gia imebadilishiwa angan
😄😄
I hope this time haita gharimu ustawi wa chama
 
Aliyeombwa maridhiano anajali hilo?
Watu wameamua kufunika sura zao kuliangalia usoni tatizo lenyewe na kiini chake. Yaani hapa upande mmoja una uoga wa kutosha na upande mwingine una mabavu ya kutosha. Kwa maoni yangu neno maridhiano linatumika kimakosa, bora litumike neno "huruma." Halafu unaweza kukuta watu wenyewe wanaoonekana kutetewa wameridhika na mfumo wa chama kimoja (cheki ukimya wa watu baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa).
Mimi nabaki kuwahurumia tu wa-Tz, wakipata nafasi ya kufanya ubabe wanajua kuitumia hasa (haya ya wanasiasa yanasikika zaidi kwa sababu microphones na majukwaa ndiyo maisha yao). Mtu akishakuwa kwenye kitengo chake basi mnaohitaji huduma zake mtakoma.
 
A TV
 
Yeye ana haki yake kikatiba kutoa mawazo yake
 
Umesahau kuwa yupo na mzee wa jino kwa jino?
 
Kama ulivysema kuwa Zitto ni mzee wa kujipendekeza pale apatapo nafasi
 
Mkuu mbona siku zote ulikuwa huja usema huu ukweli kuhusu chimbuko la Zitto Kabwe?
 
CC:mcubic
CC:Mwekundu
CC:MOTOCHINI
 
Toa uahauri wako basi wangefanyaje?
 
JK alifatwa HATA na CHADEMA wakanywa na juice ikulu na JK alifungua milango kwa kila Mtanzania
 
Aisee umempa za uso Hadi nimefurahi.
CDM YA SASA HAINA JIPYA INADANDIA MATUKIO TU

KWA HALI YA SASA ILITAKIWA CHADEMA YA 2007 MPAKA 2015
OVA PENGO LA SLAA LITAWATESA MAISHA YOTE

CHADEMA BADO HAIJAJIPAMBANUA KWANZA KM CHAMA CHA SIASA AU CHAMA CHA KIHARAKATI HAKIELEWEKI KIMEBAKIZA KINA MDUDE WAROPOKAJI NA WABABAISHAJI KM NYERERE ATI NDIO AKILI KUBWAS HAHAA
 
Tanzania ipi yenye uchumi upi huu huu unaokua kwa 5% HAHAA unajitekenya tukatae tukubali VIONGOZ wa kitaifa wa CHADEMA wamewakosea wanachama wao hata Jaffo alisema Sasa hivi wao wanajiandalia mazingira ya 2020 Hilo halina ubishi sure na si CCM Wala CDM ambao malengo yao ni kumkomboa mwananchi mnyonge Bali hao wote wanalengo la kushika madaraka tu bila kuleta tija kwa JAMII ndio MAANA wapo tayari hata kufanya ubadhirifu rejea speech ya BM juu ya Yale mapesa yalotumika 2005
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…