Zitto Kabwe: Mahakama imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba alipomuondoa Prof. Mussa Assad kama CAG

Zitto Kabwe: Mahakama imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba alipomuondoa Prof. Mussa Assad kama CAG

Halafu huu mwisho wa mwaka ZZK ataorodhesha vitabu 60 alivyosoma!

Kama utashi alionao ni wa msoma vitabu,je asingekuwa anasoma angekuwa kwenye hali gani?
 
Ameandika Zitto katika ukurasa wake wa Twitter

Nimefarijika kuwa leo tarehe 05/12/2022 Mahakama Kuu katika shauri la Zitto Zuberi Kabwe vs. Mwanasheria Mkuu na wenzie na 8/2020 mbele ya jopo la majaji 3 Masoud, Masabo na Kakolaki imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba alipomuondoa Prof. Mussa J. Assad kama CAG.

View attachment 2436886
Mh Zitto bana mbona anatufanya watoto? Kama alivunja katiba alivunja kwa utaratibu gani? Mbona JK alisha tuhusia kuhusu power ya Rais na kile kitatukuta pindi akija kiongozi atatumia hiyo power cc wenzake wakamuita dhaifu akasema powa akawaletea chuma wote mkaingia mvunguni haya leo unatuletea sarakasi embu tujibu kama alivunja je Kuna chombo cha kumzuiwia au jus uliza why alifanya hivyo? Hakuna so what ?
 
Lazima kuna siku, (kama ilivyokuwa kwa dikteta Stallin ambaye alipambwa na kusifiwa sana na wapambe wake, hata kuyafanya mazishi yake kuvunja rekodi ya kuhudhuriwa na watu wengi zaidi Duniani kuliko mtu yeyote, na kusababisha wahudhuruaji wapatao 1,000 kufa), marehemu Magufuli lazima atatangazwa kuwa alikuwa kiongozi mwovu, na yote mabaya aliyoyatenda yatawekwa wazi.

Kwa Stallin, ilichukua miaka 13 tangu kufa kwake, ndipo alitangazwa kuwa alikuwa mtawala dhalimu, aliyegandamiza haki za raia ikiwa ni pamoja na kuwaua.

Watawala tendeni haki.
Udikiteta wake umesaidia,hii Urusi tunayoina Leo ni sababu yake Kuna Nchi kionhozi asipokiwa dikiteta utasutukia unatawaliwa na USA na wewe unakuwa kama kivuli.
 
Magufuli alikuwa ni KICHAA na maamuzi yake mengi yalikuwa ya HOVYO HOVYO tu. Japo wanaojiita WANYONGE eti wanamkumbuka lakini Mimi nawahurumia kwa kuwa wana akili ndogo ambazo haziwezi kuchambua uwongo wake na ukweli.

Prof Assad alifanya kazi yake vizuri kuonyesha matumizi yasiyoonekana ya Tsh 2.4 Trillion. Hiyo ndiyo sababu za kumuachisha mkataba.

Halafu WAJINGA wanaojiita WANYONGE wanasema Magufuli alikuwa anapiga vita UFISADI. SI kweli kabisa kinyume chake Magufuli alikuwa ni FISADI aliyepita viwango vyote na ambaye alipenda awe aniba peke yake na kikundi chake cha akina Dotto James, Makonda, Bashiru, Chamuriho, Alexander Mnyeti to mention just a few
Wewe dada kubutuliwa kwako na Magufuli usituletee sisi hasira hapa
 
Lazima kuna siku, (kama ilivyokuwa kwa dikteta Stallin ambaye alipambwa na kusifiwa sana na wapambe wake, hata kuyafanya mazishi yake kuvunja rekodi ya kuhudhuriwa na watu wengi zaidi Duniani kuliko mtu yeyote, na kusababisha wahudhuruaji wapatao 1,000 kufa), marehemu Magufuli lazima atatangazwa kuwa alikuwa kiongozi mwovu, na yote mabaya aliyoyatenda yatawekwa wazi.

Kwa Stallin, ilichukua miaka 13 tangu kufa kwake, ndipo alitangazwa kuwa alikuwa mtawala dhalimu, aliyegandamiza haki za raia ikiwa ni pamoja na kuwaua.

Watawala tendeni haki.

kwani skendo ipi bado hamjaitoa kabatini[emoji28][emoji28][emoji28]

ipo siku mtasema aliwabaka.
 
Ameandika Zitto katika ukurasa wake wa Twitter

Nimefarijika kuwa leo tarehe 05/12/2022 Mahakama Kuu katika shauri la Zitto Zuberi Kabwe vs. Mwanasheria Mkuu na wenzie na 8/2020 mbele ya jopo la majaji 3 Masoud, Masabo na Kakolaki imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba alipomuondoa Prof. Mussa J. Assad kama CAG.

View attachment 2436886
Hongera sana.Je prof atalipwa mahela yake?
 
Mahakama Imara
Bunge Huru
Polisi Huru
Tume huru ya Uchaguzi
Wizara zilizoundwa kwa mujibu wa Katiba
Taasisi huru za Ujasusi
Haki
Hapo inahitajika ishuke miujiza ili hayo yote yaweze kutokea.
 
Kwaiyo ili la Zitto, Zitto alikuwa na maslahi? Kwani Katiba si inataka Spika akijiuzulu Barua awasilishe Bungeni? Barua alipeleka wapi? Si ikikoandikiwa ikakopiwa sign yake!View attachment 2437118
Uwanja uko wazi kafungue kesi kupinga hilo. Kila mmoja ana respond kwa namna alivyo athirika na maamuzi. Sitegemei mtu mwenye akili timamu anaweza kutokeza kujitolea kufungua kesi kumtetea Ndugai kutokana na rekodi yake chafu akiwa Spika wa Binge. Kwanza alikubali kutumika na Dikteta wa Chato ku rubber stamp maamuzi ya Ikulu. Pili alidhalilisha wabunge na kujiona ni kama mungu mtu.

Hata hili tatizo la wabunge 19 wa "CHADEMA" yeye ndiye aliyewaapisha gereji. Unaanzaje kumtetea Ndugai hata kama ameonewa? The end justifies the means.
 
HOVYO HOVYO HOVYO HOVYO

😉 udini unamsumbua sana zito na asad wake,maza....ntaz
 
kwani skendo ipi bado hamjaitoa kabatini[emoji28][emoji28][emoji28]

ipo siku mtasema aliwabaka.
Pengine wapo waliyobakwa ila utakuta anaishia kusema tu Bwana yule alikuwa shetani ila hasemi alichofanywa.
 
Back
Top Bottom