Mrudishe nyumbani kwakoMwendazake haijawahi kuheshimu Katiba unless iwe ishu inaho mfavour.
CAD Assad arudishwe kazini haraka Sana.
Kama alivyo mshenzi mzazi wako.Nani anavunja? Mtaje
Mwendazake alikuwa mshenzi tuu na dikteta uchwara.
Acha kufuru paka wewe...ulikua na connection gani na magufuli hadi akuue ..au kuna ndugu yako gani aliuawa na magufuli.Yule mwendakule kuzimu alijigeuza mwanzo na mwisho wa kila mtanzania...akiamua ufe unakufa, ndio maana tulimsifu tu ili tuendelee kuwa hai.
KAMA HUAMIN MUNGU WA MBINGUNI YUU HAI NA ANAWEZA mkumbuke mungu wa duniani magufuli
Kwamba tuyazingatie hayo kwenye hitaji letu la katiba mpya.Sawa, ndio unataka kusema je kwani?
Mkuu hao watu wana matatizo kwenye ubongo, unakuta mtu hana mbele wala nyuma huyo Magufuli hakuwa akimjua ila et nae anakwambia alikuwa anaishi kwa hofu ya kuogopa kutekwa na Magufuli.Acha kufuru paka wewe...ulikua na connection gani na magufuli hadi akuue ..au kuna ndugu yako gani aliuawa na magufuli.
Majadiliano ya kuirudisha yanaendelea kumbuka zuio lilikuwa Ni amri ya Rais Mwendazake so taratibu za kisheria zinaangaliwa.Mikutano ya kisiasa Samia kazuia kwa wapinzani.
Mwambie na mumeo mkuu aanzisheMkuu anzisha Mahakama yako!
Kabisa mkuu...walalamike wafanya biashara waliokua wanakwepa kodi hapo inaleta mantiki kwa mtazamo wao.Mkuu hao watu wana matatizo kwenye ubongo, unakuta mtu hana mbele wala nyuma huyo Magufuli hakuwa akimjua ila et nae anakwambia alikuwa anaishi kwa hofu ya kuogopa kutekwa na Magufuli.
Jambo lipo kikatiba hivyo zuio lilikuwa ni batili na huyo aliyezuia hayupo, mangi Samia katengua ambayo aliyaamrisha Magufuli?Majadiliano ya kuirudisha yanaendelea kumbuka zuio lilikuwa Ni amri ya Rais Mwendazake so taratibu za kisheria zinaangaliwa.
Kwani katiba inasemaje kuhusu vyama vya siasa kufanya mikutano ya kisiasa?majadiliano ya nini wakati katiba inaelekeza kazi za vyama vya siasa,Rais wa Tanzania yuko juu ya katiba ndio Maana hauwezi kumshita hata akivunja hiyo katiba,juzi hata tumesikia mkurugenzi wa TRC alifukuzwa kazi na mamlaka kisa kumsema Samia kuhusu tozo,na katiba inaruhusu mtu kutoa maoni lakini baada ya maoni kafuzwa Kazi mpaka mahakamani kagonga mwamba.Majadiliano ya kuirudisha yanaendelea kumbuka zuio lilikuwa Ni amri ya Rais Mwendazake so taratibu za kisheria zinaangaliwa.
Ficha upumbavu wako. Majadiliano juu ya haki ya kikatiba.? Shule mlisomea ujinga?Majadiliano ya kuirudisha yanaendelea kumbuka zuio lilikuwa Ni amri ya Rais Mwendazake so taratibu za kisheria zinaangaliwa.
Asadi ameudumu vipindi viwili vilimtosha kukaa pale, Magufuli alimkuta na akamwongeza miaka 5,kwanza Asadi nae ni visadi tu ndie aliyeifirisi Nssf pamoja na Dau wakati akiwa mkurugenzi wa bodi,kwa kuanzisha mradi mkubwa isiyokuwa na kichwa wala miguu mladi wapige ela.Jitu kwa kukosa maarifa linamtetea Magufuli, tuonyeshe basi kivipi hakuvunja katiba- hawezi. Eti oooh mzalendo, wapi pameandikwa ukiwa mzalendo ruksa kuvunja katiba
Kweli kabisa. Asad alitumiwa na maadui wasiolitakia taifa maendeleo ili kuhakikisha anaichafua serikali kupitia ukaguzi wake na hasa issue kama hela mambo ya siri yeye Asad alitaka eti azikague yaani ni sawa na kuiweka wazi bajeti ya CIANdugu kila kitu sio udini, tukiwa hivyo mbona tujiharibia utu wetu.
Je, tunaweza sema Marehemu Magufuli alimuondoa Assad kwa sababu ya dini yake?
Hapana Magufuli alimuondoa Assad kwa sababu maono yao yalitafautiana sana.
Hayo maelezo peleka kwa Jaji akatengue hukumu. Umepiga porojo kidogo badae ukarukia kwa DauAsadi ameudumu vipindi viwili vilimtosha kukaa pale, Magufuli alimkuta na akamwongeza miaka 5,kwanza Asadi nae ni visadi tu ndie aliyeifirisi Nssf pamoja na Dau wakati akiwa mkurugenzi wa bodi,kwa kuanzisha mradi mkubwa isiyokuwa na kichwa wala miguu mladi wapige ela.
ukristo umetajwa wapi hapo kwenye shauri hili?Zitto na genge lake Udini unawasumbua sana.
Acheni siasa za kupambana na Ukristo pimbi nyie
Nadhani unaisikia tu hiyo sheria kutoka kwa mashabiki na wahasimu. Sheria inasema atakuwa madarakani kwa maximum vipindi viwili vya miaka mitano mitano. Aliyepo akimaliza mitano ya mwanzo atakuwa na haki ya KUFIKIRIWA kupewa kipindi kingine cha miaka 5. Sasa alifikiriwa ikaonekana asipewe. Hiyo sheria unayosema wewe ni ipi?Sheria imetamka wazi vipindi viwili renewable, unless otherwise iwepo sababu za kutokuendelea.
Kwa hiyo hamba option ya kumwo doa CAG kwa kipindi kimoja
Asingetumia hiyo sheria angekuwa amevunja sheria. Kumbuka kuwa hiyo sheria ndiyo inayotumika kuwaajiri maDeputy CAG. kufanya value for money audits na maboresho mengi yaliyomo kwenye audit za sasa za CAG.Kosa lake ni kutumia sheria iliyovunja katiba.