Zitto Kabwe: Mahakama imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba alipomuondoa Prof. Mussa Assad kama CAG

Sio kufikiriwa, ni lazima unless otherwise na sababu za kinidhamu zinawekwa wazi kwenye umma, nyamaza ndugu tuna CPA toka 2016, enzi hizo babito akiwaka, kabla ya akina mkaro to take over.
Najua nachokiongea
 
Sioni impact ya kesi hii kipindi hiki. Kama Mahakama baada ya kesi hii ingemrejesha Ptof. Assad kwenye nafasi yake ningeona umuhimu wa matokeo ya mashauri kama haya maana ni mengi.

..tatizo ni sisi wananchi.

..hakuna idadi ya kutosha inayochukizwa na uzembe mkubwa wa serikali.

..kwa maamuzi haya ya mahakama serikali italazimika kumlipa Dr.Assad mshahara wa CAG kwa kipindi chote ambacho angekuwa ktk nafasi hiyo.

..maana yake ni kwamba nchi au walipakodi watabeba mzigo wa kulipa mshahara wa CAG wawili.
 
No research No right to speak...
1. Kesi imefunguliwa na ACT na siyo Assad
2. Bwana Assad alimaliza tenure yake na hakuongezewa mkataba. Hakutolewa katikati ya mkataba.
3. Mahakama imesema Uteuzi wa CAG wa sasa hauna kasoro.
 
No research No right to speak...
1. Kesi imefunguliwa na ACT na siyo Assad
2. Bwana Assad alimaliza tenure yake na hakuongezewa mkataba. Hakutolewa katikati ya mkataba.
3. Mahakama imesema Uteuzi wa CAG wa sasa hauna kasoro.


..Mahakama imesema Prof aliondolewa kimakosa.

..Kwa maoni yako jambo hili linahitimishwa vipi?
 
Ndio nei ya mchele itashuka?
Ndio bei za mfuta zitashuka?
Ndio mfumuko wa bidhaa uliofikia 200% utashuka?
Acha uongo!

Huo mfumuko wa bei wa 200% hauko nchi hii. Labda unaongelea nchi nyingine. Mfumuko was bei Tanzania ni about 5% ambao ndio wa chini zaidi katika nchi za Afrika mashariki na kati.

Tatizo la mfumuko wa bei ni la Dunia kwa sababu ya mseto wa matatizo yaliyosababishwa na korona na vita vya Ukraine.
 
Nyoo nani angemjaribu yule bedui aki
 
Ndio nei ya mchele itashuka?
Ndio bei za mfuta zitashuka?
Ndio mfumuko wa bidhaa uliofikia 200% utashuka?
Kuhusu mchele masika ndio hii wahi kalime itakusaidia kujua mkulima anavumilia upuuzi kiasi gani
 
Mamlaka ya uteuzi ilitakiwa kufanya uchunguzi wa kutosha kipindi kile anateuliwa na rais Kikwete maana ni kweli kwamba alitumia cheti cha mtu mwingine cha kidato cha nne. Watu wengi miaka ya nyuma walifanya hivyo.

Wakati ule nilishangaa ni kwanini kwenye sherehe ya kuwaapisha majaji CAG Prof Assad alikubali kubadilisha kauli na kusema hapakuwa na trilioni 1.5 zilizoibiwa wakati siku chache kabla alisema ziliibiwa kupitia mahojiano na Azam TV.

Kumbe baada ya kuongea kwamba fedha zimeibiwa aliitwa pembeni na kukumbushwa kwamba jina lake halali ni Jaffari na hivyo atulize mapepe na kubadilisha kauli yake hadharani la sivyo ataumbuliwa. Ndipo akaitwa kwenye ile shughuli ya kuapisha majaji.

Alipokubaliana na hali akawa ameshajimaliza kabisa maana sasa mwendazake akaamua kumuondoa kabisa baada ya miaka mitano kuisha. Ni wakati sasa ajitokeze na kuomba radhi umma wa watanzania.
 
Vipi kuhusu Madelu na Kigwa??
 
Naona saivi , sukuma gang ni mwendo wa kugawana mbao
 
Tungalikushukuru Kama ungalituwekea ushahidi wa ulichokiandika
 
Weka ushahidi wa kutumia jina la mtu mwingine shule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…