Sio kufikiriwa, ni lazima unless otherwise na sababu za kinidhamu zinawekwa wazi kwenye umma, nyamaza ndugu tuna CPA toka 2016, enzi hizo babito akiwaka, kabla ya akina mkaro to take over.Nadhani unaisikia tu hiyo sheria kutoka kwa mashabiki na wahasimu. Sheria inasema atakuwa madarakani kwa maximum vipindi viwili vya miaka mitano mitano. Aliyepo akimaliza mitano ya mwanzo atakuwa na haki ya KUFIKIRIWA kupewa kipindi kingine cha miaka 5. Sasa alifikiriwa ikaonekana asipewe. Hiyo sheria unayosema wewe ni ipi?
Najua nachokiongea