econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Huyu mchawi mkimbizi wa kigoma bado yuko na marehemu tu
Mbona kesi ilifunguliwa kipindi Magufuli bado yupo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mchawi mkimbizi wa kigoma bado yuko na marehemu tu
Kwani hilo na yule aliemuandikia Barua Ndugai ajiuzulu yana tofauti gani? Si yaleyale tu? Ata kwenye vyaka vyetu yapo, sawa tu na kufukuzwa kwa kina Prof Kitila Mkumbo. Kama ni hivi tuna vichaa wengi sana.Magufuli alikuwa ni KICHAA na maamuzi yake mengi yalikuwa ya HOVYO HOVYO tu. Japo wanaojiita WANYONGE eti wanamkumbuka lakini Mimi nawahurumia kwa kuwa wana akili ndogo ambazo haziwezi kuchambua uwongo wake na ukweli. Prof Assad alifanya kazi yake vizuri kuonyesha matumizi yasiyoonekana ya Tsh 2.4 Trillion. Hiyo ndiyo sababu za kumuachisha mkataba.
Halafu WAJINGA wanaojiita WANYONGE wanasema Magufuli alikuwa anapiga vita UFISADI. SI kweli kabisa kinyume chake Magufuli alikuwa ni FISADI aliyepita viwango vyote na ambaye alipenda awe aniba peke yake na kikundi chake cha akina Dotto James, Makonda, Bashiru, Chamuriho, Alexander Mnyeti to mention just a few
Na mikutano ya hadhara kuzuiwa mpaka saa hii katiba inasemaje ??!
Pamoja na haki hiyo kwa Prof lakini bado maamuzi ya hii kesi hayana impact kwenye taifa kiujumla.Kuna haki Assad atapewa maana aliondolewa kimakosa.
Ameandika Zitto katika ukurasa wake wa Twitter
Nimefarijika kuwa leo tarehe 05/12/2022 Mahakama Kuu katika shauri la Zitto Zuberi Kabwe vs. Mwanasheria Mkuu na wenzie na 8/2020 mbele ya jopo la majaji 3 Masoud, Masabo na Kakolaki imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba alipomuondoa Prof. Mussa J. Assad kama CAG.
View attachment 2436886
Kwa hiyo wote hawastahili kutuongoza maana woote wanatumia Akili za kuambiwa na wazungu!Nionyeshe kiongozi wa nchi hii asiyekaa mezani na wazungu. Na ukitaka kufurahi zaidi weka mikataba tuone waliyoingia wapinzani tufananishe na mikataba waliyoingia viongozi wa CCM tupime ipi ni hatari kwa nchi hii.
Usiseme anguko la CCM litatokana na wañaccm, sema siku vyombo vya dola vitaacha kuibeba CCM, siku hiyo hiyo CCM itaingia kaburini.
Kuna watu washenzi sana. Yani likimburu linakaa kumzungumzia mtu ambae tayali ashafariki. Anashindwa kupambana na hali na wakati tulonao sasa mgumu linakaa kuongea asubui jion mchana kama vile mdomo wake ulilambwa na mbwa.Ameandika Zitto katika ukurasa wake wa Twitter
Nimefarijika kuwa leo tarehe 05/12/2022 Mahakama Kuu katika shauri la Zitto Zuberi Kabwe vs. Mwanasheria Mkuu na wenzie na 8/2020 mbele ya jopo la majaji 3 Masoud, Masabo na Kakolaki imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba alipomuondoa Prof. Mussa J. Assad kama CAG.
View attachment 2436886
Shauri lilifunguliwa Magufuli akiwa hai, ila naona mahakama iliamua kupiga danadana kwa hofu, maana hakuna ambaye anafahamu yule bwana angamtenda nini jaji ambaye angeamua kutoa uamuzi sahihi.Kwani hii kesi/shauri lilifunguliwa lini? Kama lilifunguliwa baada kifo cha mwendazake basi huu utakuwa ni unafiki. Kama ilifunguliwa kabla ya kifo, basi nafuta kauli yangu ya unafiki.
Ukiona tu kiongozi anapenda kuwaxiba midomo wananchi, tambua kuwa kiongozi huyo ni mwovu kupindukia.Magufuli alikuwa ni KICHAA na maamuzi yake mengi yalikuwa ya HOVYO HOVYO tu. Japo wanaojiita WANYONGE eti wanamkumbuka lakini Mimi nawahurumia kwa kuwa wana akili ndogo ambazo haziwezi kuchambua uwongo wake na ukweli. Prof Assad alifanya kazi yake vizuri kuonyesha matumizi yasiyoonekana ya Tsh 2.4 Trillion. Hiyo ndiyo sababu za kumuachisha mkataba.
Halafu WAJINGA wanaojiita WANYONGE wanasema Magufuli alikuwa anapiga vita UFISADI. SI kweli kabisa kinyume chake Magufuli alikuwa ni FISADI aliyepita viwango vyote na ambaye alipenda awe aniba peke yake na kikundi chake cha akina Dotto James, Makonda, Bashiru, Chamuriho, Alexander Mnyeti to mention just a few
Huo mchele unao taka ushuke umeulima ww kilaza?Ndio nei ya mchele itashuka?
Ndio bei za mfuta zitashuka?
Ndio mfumuko wa bidhaa uliofikia 200% utashuka?
Mahaba yanawafanya kila jambo mchukulie TOO PERSONAL...Kuna watu washenzi sana. Yani likimburu linakaa kumzungumzia mtu ambae tayali ashafariki. Anashindwa kupambana na hali na wakati tulonao sasa mgumu linakaa kuongea asubui jion mchana kama vile mdomo wake ulilambwa na mbwa.
Ni kweli sidhani kama yupo jaji angehukumu hii kesi kwa usahihi. Miaka ile mitano ilikuwa migumu sana kwa nchi hii.Shauri lilifunguliwa Magufuli akiwa hai, ila naona mahakama iliamua kupiga danadana kwa hofu, maana hakuna ambaye anafahamu yule bwana angamtenda nini jaji ambaye angeamua kutoa uamuzi sahihi.
Are you sure of this?Shauri lilifunguliwa Magufuli akiwa hai, ila naona mahakama iliamua kupiga danadana kwa hofu, maana hakuna ambaye anafahamu yule bwana angamtenda nini jaji ambaye angeamua kutoa uamuzi sahihi.
Em na we nae punguza kisedemnedeMahaba yanawafanya kila jambo mchukulie TOO PERSONAL...
Hiyo haikuwa kesi dhidi ya John Pombe Magufuli bali ni kesi dhidi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ingawaje Rais husika ameshafariki lakini hukumu hii itatumika kama dira kwa marais wengine watakaofuata au aliye madarakani!!
Ni hukumu itakayoendelea kutumika kama reference kwa miaka mingine hata 1000 ijayo unless ibara husika ya katiba na kifungu cha sheria vibadilishwe!
Kiongozi mwenye dhamira njema, kabla ya sheria, anazingatia katiba. Mtu mwovu kama alivyokuwa marehemu, wakati wote anatafuta mwanya utakaomwezesha kutenda uovu.Magufuli aliamua kutoongeza mkataba wa Asaad. Sheria ilimruhusu kufanya hayo. Leo mahakama inasema ile sheria inapingana na katiba. Sheria yenyewe iliwekwa kabla Magufuli hajawa rais wa JMT. Sasa hapo Magufuli ana kosa gani?
Thanks. Ila sidhani kama hukumu hii ingetolewa wakati ule.Lilifunguliwa mwaka 2020 mwezi wa nane Magufuli akiwa hai.
Una matatizo makubwa bila kujijua... pole sana!!Em na we nae punguza kisedemnede