Muendelezo wa vita kwa marehemu ndio imefanikisha kuwezekana kutoka hayo maamuzi bila ya hivyo sidhani kama ingewekana, maamuzi hayo yasingetoka Magufuli angekuwa bado yupo madarakani ni kama sasa rais aliye madarakani atavunja katiba na hakuna kitakachofanyika na ndio maana nikasema kilichotokea ni unafki tu ila wenye chuki na marehemu kwao kitu chenye kuwafurahisha.
Hahaha....... naunga Mkono
Mbatia si alienda! Kilichotokea si ulikiona?
Kuwapa Chadema wabunge 20!Unaunga mkono hoja Magufuli kufyekwa Hadi kaburini?
Nani kakuambia kitu ili kibadilike lazima kila mtu akijue? Hizo katiba zilizoandikwa huko nyuma, wananchi wote walikuwa wameeIewa zilizokuwa hapo awali? Au ni mambo ya bendera fuata upepo?
Kwa hiyo wote hawastahili kutuongoza maana woote wanatumia Akili za kuambiwa na wazungu!
Sijawahi Ona kiongozi wa upinzani mwenye hoja wa kizazi hiki tangu walipoondoka kina prof Baregu na Dk Slaa!
Hawa wa sasa ni makapi tupu!
Ebu fikiria taasisi Makini unaweza Mpa mtu kama Pambalu kuongoza hub ya chama yaani vijana?
Au hao CCM-Asali na wapaka Mikororogo wenye uteuzi wa kutia Shaka?
Tunaongozwa pande zote na opportunist tupu!
Woote wezi tupu!
Ila umamluki ni janga zaidi.
Sijajua nikujibu nini sasa?Unafiki gani?. Mahakama imetoa maamuzi unasema inafiki. Lissu akisema mahakama zetu sio huru mnampinga.
Kuwapa Chadema wabunge 20!
Pamoja na haki hiyo kwa Prof lakini bado maamuzi ya hii kesi hayana impact kwenye taifa kiujumla.
Mfano mdogo katiba inaruhusu mikutano ya hadhara na maandamano ya amani lakini haifanyiki. Je, hapa katiba haijavunjwa? Na kama imevunjwa nini msimamo wa mahakama hii leo tunayoiita ipo huru baada ya kutoa maamuzi yanayofurahisha machoni.
Mbatia aliondolewa kihalali wapi?Mbatia aliondolewa kihalali.
Kama alifyekwa moja kwa moja kwa nini walio mfyeka Walioshindwa kufyeka kumbukumbu za ubabe wake na bado anakumbukwa sana kwa huo ubabe?Bora akina Zitto wapo hai, yeye Magufuli alifyekwa moja kwa moja.
Huu ndo ujinga ambao anatusumbua.Asad alishindwa kusoma alama za nyakati kwa kubishana na muhimili uliojichimbia.Hakuna Rais Duniani anayetaka maovu ya serikali yake yajulikane.Asad kiprotokali ilipaswa ajiuzulu kulinda heshima yake lakini siyo kutaka Rais awe submissive kwake!
Magufuli was wrong legally but politically correct!
Ungeweza kujenga hoja yako bila kuhusisha UDINI. Rais wa nchi hii haongozi Kikristo kwa maana ya Amri kumi wala Sharia za Kiislam. Tusihusishe dini na uongozi wa nchi. Pili, narudia tumuache mpendwa wetu aliyekuwa Rais na Amiri Jeshi Mkuu, Dk. John Magufuli apumzike kwa amani. Inachukiza mno kila mara kumhusisha na mambo ya kidunia ambayo hawezi kuyajibu.Zitto na genge lake Udini unawasumbua sana. Acheni siasa za kupambana na Ukristo pimbi nyie
Amefarijika nini mnafiki mkubwa huyu zitto kabwe. Walimpa kichwa huyo cag kwamba hawezi timuliwa wakati kazi yenyewe siyo kajipa mwenyewe.Ameandika Zitto katika ukurasa wake wa Twitter
Nimefarijika kuwa leo tarehe 05/12/2022 Mahakama Kuu katika shauri la Zitto Zuberi Kabwe vs. Mwanasheria Mkuu na wenzie na 8/2020 mbele ya jopo la majaji 3 Masoud, Masabo na Kakolaki imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba alipomuondoa Prof. Mussa J. Assad kama CAG.
View attachment 2436886
Tena wale walio zoea ubadhilifu na mirija yao kukatwa na marehemu.....
Acheni siasa maandazi,huwezi kupingana na mamlaka yako ya uteuzi.Never on Earth,Asad alipaswa ajiuzulu tena ashukuru akuwa assassinated!Huu ndo ujinga ambao anatusumbua.
Rais kutokuwajibishwa.