Zitto Kabwe: Membe alitupigania dhidi ya tabia Mbaya ya Watu wenye Mamkala kutumia Wahuni kutukana Viongozi wenzao

Pumzika kwa amani kachero Membe, fundi wa kuongea kingereza chenyewe cha UK. Njia yetu ni moja.
 
Zito hana hekima hiyo sio hotuba ya msiba ni ujinga mwingine hapa Tanzania na siasa uchwara

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafuatilia kuaga mwili wa Hayati Bernard Membe kwenye runinga. Nimeipenda hotuba ya Zitto Kabwe maana hajamng'unya maneno katema nyongo kwa kusema ukweli. Tuwe wakweli kwa kusema ukweli na siyo kurembaremba hata pale ambapo mambo hayakwenda vizuri.
 
Kwahiyo nini kimekuumiza mpaka ukaja mbio mbio kuanzisha uzi?
 
Katumwa kusiliba ili marehemu akafikishe ujumbe aliousikia live aendako
 
Si kweli.
Kamshambulia aliyekuwa akimtukana mtandaoni.
Wapi kamtaja JPM?
ACHA UPOTOSHAJI WA KITOTO.
Kenge wewe
 
Zitto Kabwe amewaponda wote walioshabikia upuuzi aliofanyiwa Membe wakati Ule huku wengine wakimchafua kwa magazeti yaliyochapishwa na Mitambo " Vyombo"

Zitto anesema ana Imani wale wote waliomchafua Membe na kumtendea Uovu watajuta na wataenda kuomba radhi kaburini kwake

Source: ITV
 
Kama ameumia sana aende akazikwe naye Mtama huko. Yeye mwenyewe alifanya tafrija wakati wa msiba Chato so hata yeye tunamsubiri kwa hamu Mungu aonyeshe ukuu wake mzoga ukatupwe Kazulamimba huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…