Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Pumzika kwa amani kachero Membe, fundi wa kuongea kingereza chenyewe cha UK. Njia yetu ni moja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kifo hakijui cheo wala unajuana na nani. Kinakuja kinavyotaka."Kachero mbobevu" aliyekufa kwa ugonjwa wa kifua.
Hii ni roho ya kishirikina, marehemu hadhihakiwi hata siku moja.
Zito hana hekima hiyo sio hotuba ya msiba ni ujinga mwingine hapa Tanzania na siasa uchwaraMnaofatilia msiba wa Membe nafikiri mnamsikiliza sasa Zitto akimuelezea marehemu Membe.
Zitto badala ya kumuongelea Membe anaushambulia utawala wa Magufuli mpaka kumuita JPM mpuuzi.
Na kwanini wenzake wamepewa dakika mbili ila Zitto kapewa dakika zaidi. Zitto anachafua hali ya hewa...
Kwahiyo nini kimekuumiza mpaka ukaja mbio mbio kuanzisha uzi?Mnaofatilia msiba wa Membe nafikiri mnamsikiliza sasa Zitto akimuelezea marehemu Membe.
Zitto badala ya kumuongelea Membe anaushambulia utawala wa Magufuli mpaka kumuita JPM mpuuzi.
Na kwanini wenzake wamepewa dakika mbili ila Zitto kapewa dakika zaidi. Zitto anachafua hali ya hewa...
Katumwa kusiliba ili marehemu akafikishe ujumbe aliousikia live aendakoMnaofatilia msiba wa Membe nafikiri mnamsikiliza sasa Zitto akimuelezea marehemu Membe.
Zitto badala ya kumuongelea Membe anaushambulia utawala wa Magufuli mpaka kumuita JPM mpuuzi.
Na kwanini wenzake wamepewa dakika mbili ila Zitto kapewa dakika zaidi. Zitto anachafua hali ya hewa...
Si kweli.Mnaofatilia msiba wa Membe nafikiri mnamsikiliza sasa Zitto akimuelezea marehemu Membe.
Zitto badala ya kumuongelea Membe anaushambulia utawala wa Magufuli mpaka kumuita JPM mpuuzi.
Na kwanini wenzake wamepewa dakika mbili ila Zitto kapewa dakika zaidi. Zitto anachafua hali ya hewa...
Kwa nini amshambulie jpm aliye lala na aache kumshambulia Musiba aliye hai?Zitto badala ya kumuongelea Membe anaushambulia utawala wa Magufuli mpaka kumuita JPM mpuuzi.
Iko wapi? Lete LinkZito hana hekima hiyo sio hotuba ya msiba ni ujinga mwingine hapa Tanzania na siasa uchwara
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app