Zitto Kabwe: Membe alitupigania dhidi ya tabia Mbaya ya Watu wenye Mamkala kutumia Wahuni kutukana Viongozi wenzao

Zitto Kabwe: Membe alitupigania dhidi ya tabia Mbaya ya Watu wenye Mamkala kutumia Wahuni kutukana Viongozi wenzao

Najua tuko kwenye huzuni, ila maneno yako, hata yangejaa pipa, hayawezi kubadili chochote kwa sasa. Too late!
Kamarada Tegga tunaomba kwa imani....

Hata mimi nikifa ,ndugu zangu wataomba kwa IMANI Ila wewe usiniombee....

Hata wewe ukifa ,ndugu zako wataomba kwa IMANI nami nitakuombea.....
 
Ila Zitto leo! Sijui nini kimemkuta kuongea yale mbele ya viongozi wa kitaifa.
 
Wale lialia wa jpm wakazikwe nae tafadhali msituchoshe kutafuta huruma za watu kilasiku. Unapoyosha watu kijinga tu leta clip aliyosema jpm mpumbavu au unataka ukalale pembeni yake pale chato hujakatazwa
 
Uzuri ni Kwamba kila mtu anajua kuwa zitto ni nyoka
 
Mnaofatilia msiba wa Membe nafikiri mnamsikiliza sasa Zitto akimuelezea marehemu Membe.

Zitto badala ya kumuongelea Membe anaushambulia utawala wa Magufuli mpaka kumuita JPM mpuuzi.

Na kwanini wenzake wamepewa dakika mbili ila Zitto kapewa dakika zaidi. Zitto anachafua hali ya hewa...
Kapanic huyo haamini kilichotokea
 
Salamu za Zito kabwe zimelenga kumsimanga hayati Magufuli na kuonyesha kwamba,Membe alikuwa bora kuliko Magufuli ikiwemo kuendekeza mtifuano kwenye taifa hili ,inahitaji akili kubwa kulitambua hilo alilifanya Zito kabwe
Haihitaji hata akili; that's obvious.
 
El Commandante BCM ni gogo.....hakuwa mtu wa kukurupuka....vijana tujifunze.....

Ameondoka akiwa na nishani ya VITA VYA KUMNG'OA NDULI IDD AMIN.....

Ameondoka akiwa na nishani mbili ZA USHUJAA kutoka serikali ya TANZANIA NA COMORO baada ya kufanikisha DEMOKRASIA NCHINI COMORO.....

Resty easy Comrade BCM[emoji120]
Sifa za kijinga sana,kwa taarifa yako hasimami tena,hasimami tena!
 
Huko juu Kuna comments zinachekesha. Kuna jamaa anamuambia mwenzie eti "hata maneno yako yangejaa pipa hayabadiri kitu"
Kamarada Tegga huyo....toka jana AMEFURAHI sana msiba wa mzee wetu....anapwaga maneno mabovu dhidi ya marehemu wetu....ila sisi TUNAMUOMBEA alale pema aaaamin na wengine tuko LONDO tukisubiri tumpumzishe kwa amani.....

Rest easy El Commandante BCM[emoji120]

Pole sana "shantalle" Cecy......May Almighty God speed up your emotional recovery aaamen[emoji120]
 
Pole Mama Samia kwa kuondokewa na mtu wa karibu.

Pole JK kwa kuondokewa na rafiki yako.

Pole kwa Watanzania wote

Apumzike salama jasusi mbobevu. Ni safari yetu binadamu wote. Zingine zote mbwembwe tu zetu wanadamu...
Hakika "Gukuu"[emoji120]
 
Back
Top Bottom