mwananyaso
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,995
- 3,401
Umepaniki?,mbwa weweNi kweli,maana yule wa Chato mwenye kichwa chenye kona kona kama korosho yeye amesimama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umepaniki?,mbwa weweNi kweli,maana yule wa Chato mwenye kichwa chenye kona kona kama korosho yeye amesimama.
Kamarada Tegga tunaomba kwa imani....Najua tuko kwenye huzuni, ila maneno yako, hata yangejaa pipa, hayawezi kubadili chochote kwa sasa. Too late!
😂😂😂😂Magufuli atakufa tena huko aliko
Kama alicheka ATALIPWA na MUNGU....unataka sisi tuwe viumbe dhaifu wa kiroho kurudia makosa ya wengine?!??!!!Unafanyia reference biblia wakati mwenzake alipokufa alimcheka?
Kapanic huyo haamini kilichotokeaMnaofatilia msiba wa Membe nafikiri mnamsikiliza sasa Zitto akimuelezea marehemu Membe.
Zitto badala ya kumuongelea Membe anaushambulia utawala wa Magufuli mpaka kumuita JPM mpuuzi.
Na kwanini wenzake wamepewa dakika mbili ila Zitto kapewa dakika zaidi. Zitto anachafua hali ya hewa...
Haihitaji hata akili; that's obvious.Salamu za Zito kabwe zimelenga kumsimanga hayati Magufuli na kuonyesha kwamba,Membe alikuwa bora kuliko Magufuli ikiwemo kuendekeza mtifuano kwenye taifa hili ,inahitaji akili kubwa kulitambua hilo alilifanya Zito kabwe
Hekima ndio tatizo la vijana wengi wa hovyoIla Zitto leo! Sijui nini kimemkuta kuongea yale mbele ya viongozi wa kitaifa.
Msibani ni sehemu ya kushambulia Watu?Si kweli.
Kamshambulia aliyekuwa akimtukana mtandaoni.
Wapi kamtaja JPM?
ACHA UPOTOSHAJI WA KITOTO.
Kenge wewe
Sifa za kijinga sana,kwa taarifa yako hasimami tena,hasimami tena!El Commandante BCM ni gogo.....hakuwa mtu wa kukurupuka....vijana tujifunze.....
Ameondoka akiwa na nishani ya VITA VYA KUMNG'OA NDULI IDD AMIN.....
Ameondoka akiwa na nishani mbili ZA USHUJAA kutoka serikali ya TANZANIA NA COMORO baada ya kufanikisha DEMOKRASIA NCHINI COMORO.....
Resty easy Comrade BCM[emoji120]
Chadema tutatoa tamko.
Kamarada Tegga huyo....toka jana AMEFURAHI sana msiba wa mzee wetu....anapwaga maneno mabovu dhidi ya marehemu wetu....ila sisi TUNAMUOMBEA alale pema aaaamin na wengine tuko LONDO tukisubiri tumpumzishe kwa amani.....Huko juu Kuna comments zinachekesha. Kuna jamaa anamuambia mwenzie eti "hata maneno yako yangejaa pipa hayabadiri kitu"
Naona umeumia Sana kazikwe naye na wenyewe Wanasema huu ndo mwanzo Tu.Magufuli atakufa tena huko aliko
Hakika "Gukuu"[emoji120]Pole Mama Samia kwa kuondokewa na mtu wa karibu.
Pole JK kwa kuondokewa na rafiki yako.
Pole kwa Watanzania wote
Apumzike salama jasusi mbobevu. Ni safari yetu binadamu wote. Zingine zote mbwembwe tu zetu wanadamu...
Mnajipatia dhambi kwa siasa za kinyama tu.....Ni kweli,maana yule wa Chato mwenye kichwa chenye kona kona kama korosho yeye amesimama.
RIP JPM wahuni wanakufuataMungu wa huruma amjalie pumziko jema Bernard Membe.
'Yeye aniaminiye ajapo kufa anaishi milele'.