Zitto Kabwe: Membe alitupigania dhidi ya tabia Mbaya ya Watu wenye Mamkala kutumia Wahuni kutukana Viongozi wenzao

Zitto Kabwe: Membe alitupigania dhidi ya tabia Mbaya ya Watu wenye Mamkala kutumia Wahuni kutukana Viongozi wenzao

Hawa wanaonyenyuka kidooogo wakati wa kuaga ni wakina nani?
 
On the throne of time no one will escape death
FB_IMG_1684054047173.jpg
 
Ameongea upuuzi mtupu! Ameingiza siasa kwenye shughuli ya msiba. Huyu bila kumzungumzia JPM nadhani siki yake haiendi vizuri, Kila speech analazimisha kumchomekea, Alaaniwe.
Kasemaje kuhusu JPM?

Hii ilikuwa nafasi nzuri ya kujaribu kuliponya taifa kwa kuomba watu wasameheane na kuachana na hii tabia ya kufurahia na kushabikia misiba. Angewaombea msamaha wote kuanzia JPM na wale wote waliotoa kauli za kusherehekea kifo chake ili taifa lianze kupona.....

Nitamdharau sana kama ameitumia nafasi hii kumnanga JPM! Na kama ni hivyo basi mnyukano huu na uendelee tu....Taifa la ajabu hili!
 
Kuna shida mbili tu hapo;

Moja, kasema ukweli na kwa kawaida ulweli haupendwi.

Pili, amepitiliza dakika!
Kama yeye alisema mtu anayeumia fulani kufa akazikwe nae, kwa nini yeye asizikwe na membe? Maana ameumia sana
 
Mimi najitolea kumchimbia shimo zitto karibu na kaburi la membe. Maana naona anaweweseka sana
 
Salamu za Zito kabwe zimelenga kumsimanga hayati Magufuli na kuonyesha kwamba,Membe alikuwa bora kuliko Magufuli ikiwemo kuendekeza mtifuano kwenye taifa hili ,inahitaji akili kubwa kulitambua hilo alilifanya Zito kabwe

Hata halihitaji akili kubwa, yeyote mwenye akili timamu ni rahisi kulitambua hilo. Yupo msibani badala ya kuomboleza yeye anarusha vijembe.
 
Pole Mama Samia kwa kuondokewa na mtu wa karibu.

Pole JK kwa kuondokewa na rafiki yako.

Pole kwa Watanzania wote

Apumzike salama jasusi mbobevu. Ni safari yetu binadamu wote. Zingine zote mbwembwe tu zetu wanadamu...
Kwa kauli hii, tutegemee nchi kufilisika kiusalama. Mna sifa za kininga mnoooo yaani.
 
Kama yeye alisema mtu anayeumia fulani kufa akazikwe nae, kwa nini yeye asizikwe na membe? Maana ameumia sana
🤣🤣🤣🤣🤣
Great thinkers msituchekeshe bwana, aliyekwambia ana uchungu na membe nani?!!! Mbona ilionekana wazi kuwa anakerekwa na vikaragosi vinavyotumwa kuchafua watu!!!! Au wenzetu mnatumia akili ipi?!!!!! Zitto ni mmoja wa walioathirika na hali hiyo, musiba alimsingizia hadi kuwa anatembea na mke wa marehemu Filikunjombe
 
Back
Top Bottom