Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi kuelewa mkuu mpaka uwe na Elimu ya utenzi na Mashairi lakini kama umesoma Sayansi hapo utaona yuko sahihi tu.Mbona kaongea vizuri tu sijaskia akiongelea habari za jiwe.
Hawawezi, watakimbiana pale karimjeeWampe mic na Yusuph aharishe tena!
Kasemaje kuhusu JPM?Ameongea upuuzi mtupu! Ameingiza siasa kwenye shughuli ya msiba. Huyu bila kumzungumzia JPM nadhani siki yake haiendi vizuri, Kila speech analazimisha kumchomekea, Alaaniwe.
Kama yeye alisema mtu anayeumia fulani kufa akazikwe nae, kwa nini yeye asizikwe na membe? Maana ameumia sanaKuna shida mbili tu hapo;
Moja, kasema ukweli na kwa kawaida ulweli haupendwi.
Pili, amepitiliza dakika!
Salamu za Zito kabwe zimelenga kumsimanga hayati Magufuli na kuonyesha kwamba,Membe alikuwa bora kuliko Magufuli ikiwemo kuendekeza mtifuano kwenye taifa hili ,inahitaji akili kubwa kulitambua hilo alilifanya Zito kabwe
Mwamba bado amesimama ndo maana bado kuna watu wanapambana nayeNi kweli,maana yule wa Chato mwenye kichwa chenye kona kona kama korosho yeye amesimama.
Atavuna alichopanda na kama angekuwa ametenda wema wakati wa urais wake kwa nini watu wamseme vibaya, ina maana naye alikuwa mwovu.Mwamba bado amesimama ndo maana bado kuna watu wanapambana naye
Una maana gani mkuu??Dakika ya 85
Hii siku tunaisubiri kwa hamu kubwa sanaaaaaaHe is next....itakuwa hajajiweka pia kwenye list.
Haswaaaaaa, hususanKwani ka uviko katakuwa kamehusika?
Kwa kauli hii, tutegemee nchi kufilisika kiusalama. Mna sifa za kininga mnoooo yaani.Pole Mama Samia kwa kuondokewa na mtu wa karibu.
Pole JK kwa kuondokewa na rafiki yako.
Pole kwa Watanzania wote
Apumzike salama jasusi mbobevu. Ni safari yetu binadamu wote. Zingine zote mbwembwe tu zetu wanadamu...
🤣🤣🤣🤣🤣Kama yeye alisema mtu anayeumia fulani kufa akazikwe nae, kwa nini yeye asizikwe na membe? Maana ameumia sana