Zitto Kabwe ni Mpinzani au mpenda madaraka?

Leo nimepita lumumba nimesikia wanakulaumu juu ya uzi wako ulio pandishaga kuilaumu ccm, jitazame isije ukakosa kibarua ndugu yangu

In God we Trust
Tujikite kwenye mada zitto ana mipango kuliko chadema!
 
Siwezi kufura kwakuwa siishi kwa kutegemea fulani leo kacheka kama wewe na the praise team ya lumumba, aka wasaka tonge
Ha ha ha aaaa ! Kama nakuona vile ulivyo "fura"!!

In God we Trust
 
Siwezi kufura kwakuwa siishi kwa kutegemea fulani leo kacheka kama wewe na the praise team ya lumumba, aka wasaka tonge

In God we Trust
Nyalandu ndio kiboko yako kila ulivyojaribu kujisogeza lakini bingwa halainiki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…