Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,079
- 4,521
Uchaguzi huu nyie wapinzani dawa yenu ipo pale paleHivyi ndivyo ulivyo agizwa kuja kujibi hoja na Bashiru??
Mpunga ndugu yangu, dunia junguluka, aliyesimama aangalie asidondokewe na mti!Mbobezi hawezi kukubali kirahisi hivyo.
Membe ni mwanamkakati mzuri anawazubaisha ccm,, na ndio kapewa kazi ya kutibua uhuni wa maDEDTayari bundi ametua huko upinzani, vipi kujusu membe yeye si alichukua fomu ya kugombea uraisi kupitia ACT wazalendo sasa huyu watakae muunga mkono tofauti na membe ni nani, kwaiyo uwekezaji wa membe kwa ACT ni bure kabisa au ndio wameamua kumchinjia baharini
Nani alitaka kumuua Nnape mchana kweupeWamemchinjia baharini siasa hizi kweli hazina muamana usisahau kumpigia kura yako mh magufuli maana yeye anatufufaa hawa wengine ni janja janja View attachment 1577547
Na pesa ya TUME kwa kila chama chenye mgombea wa urais inakuaje hapoTayari bundi ametua huko upinzani, vipi kujusu membe yeye si alichukua fomu ya kugombea uraisi kupitia ACT wazalendo sasa huyu watakae muunga mkono tofauti na membe ni nani, kwaiyo uwekezaji wa membe kwa ACT ni bure kabisa au ndio wameamua kumchinjia baharini
Mbona wamechelewa, 2015 nyakati hizi tunamgombea wa UKAWA anaunguruma. Sasa kwa siku 24 kweli, upinzani wanafanya majaribio uongozi...subiri October 3.
..inawezekana Tundu Lissu ndio atakayechinjiwa baharini.
..it is still 50/50.
Haya yanatokea duniani kote tuache ushambaTayari bundi ametua huko upinzani, vipi kujusu membe yeye si alichukua fomu ya kugombea uraisi kupitia ACT wazalendo sasa huyu watakae muunga mkono tofauti na membe ni nani, kwaiyo uwekezaji wa membe kwa ACT ni bure kabisa au ndio wameamua kumchinjia baharini
Mkuu ukisikia Membe ana muunga mkono Lisu atakuwa bado siyo mpinzani?
Sasa Membe ana nini kipya?Mtakoma mwaka huu. Kila mti mkishika unateleza tu. Kwahiyo sasa hivi mataga mnataka Membe aendelee? Watu wana jambo lao Oktoba 28. Nyie tulieni muwe watazamaji.
Ha ha ha, akili za design hizi. Walishaungana, 2015 wakapigwa knockout. Ukawa uliwapa wabunge 70,safari hii mwaona maji yanazidi unga mtapata 10 tu, huku yule mmoja wa kigoma akiwa mtazamaji.Kimenukaaaaa, mwamba ameshapita.. Mwanamayu akachunge ng'ombe sasa.
Kuachiana kwenyewe ni mmoja kuacha kupiga kampeni maana oktoba majina yote yatakuwepo kwenyw form!Uchaguzi 2020 - Ukweli Mchungu: CCM is too complicated kwa Vyama vyetu vya Upinzani
ACT Imekufa kabla ya uchaguzi kuisha
Hili game ni la CCM na Chadema kwa Mbali
Ukitoa jimbo la Zitto ni Jimbo gani chadema watawaachia ACT. Ila Hivi vyama vya upinzani, ukiwauliza akina Abdul Nondo mambo ya msingi wanaleta ujuaji mwingi kumbe akili sifuri
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kama upi? Kwamba membe atazunguka tz nzima siku hiyo kuwatazama maded?Membe ni mwanamkakati mzuri anawazubaisha ccm,, na ndio kapewa kazi ya kutibua uhuni wa maDED
Halafu hawajui kwa kumtoa MEMBE ni kuiongezea CCM kura, kwa sababu maswahiba wa Membe wa CCM waliotaka kumpigia basi wataamua kuipigia CCM.Uchaguzi 2020 - Ukweli Mchungu: CCM is too complicated kwa Vyama vyetu vya Upinzani
ACT Imekufa kabla ya uchaguzi kuisha
Hili game ni la CCM na Chadema kwa Mbali
Ukitoa jimbo la Zitto ni Jimbo gani chadema watawaachia ACT. Ila Hivi vyama vya upinzani, ukiwauliza akina Abdul Nondo mambo ya msingi wanaleta ujuaji mwingi kumbe akili sifuri
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mnapenda kukopi vya watu pimbi nyinyi,slogan ya upinzani unaipachka Kwa mashetani.CCM tuna jambo letu 28 October 2020
Kwahiyo Membe akianza kukaa meza moja na Lisu kwenye kampeni utamuonaje Membe na chadema kwa ujumla?Acha tu kumuunga mkono Lisu, hata angeenda kuishi nyumbani kwa Lisu, bado Membe sio mpinzani bali ni bosheni la ccm. Hata sasa kujiunga na cdm baada ya kuona hana mvuto wowote. Hata Lowassa 2015 angejichanganya kwenda chama kingine nje ya cdm, angepata kura 10 za familia yake. Nimeshukuru sana cdm hawakuungana na Membe mapema, vinginevyo huu umati wa sasa wa Lisu ingesemekana ni kwakuwa Membe kajiunga na cdm.
Tena cdm wanatakiwa watunge sheria kuwa ili ugombee urais ndani ya cdm, unatakiwa uwe umekaa cdm zaidi ya miaka 7, na upinzani wako usiache shaka. Hatutaki muhuni yoyote toka ccm kuja kutunajisia chama.
Hivi Ukawa au chadema waliwahi kukiri kuwa walikosea kwa Lowassa?Membe sio mpinzani, ni bosheni la ccm. Bahati nzuri wapinzani wameshamstukia. Kosa la Lowassa safari hii tumegoma kulirudia.
Ya kuiba kura?Uchaguzi huu nyie wapinzani dawa yenu ipo pale pale