Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe: Oktoba 3 tutatangaza Mgombea wa Urais atakayewakilisha Upinzani

Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe: Oktoba 3 tutatangaza Mgombea wa Urais atakayewakilisha Upinzani

Kwahiyo Membe akianza kukaa meza moja na Lisu kwenye kampeni utamuonaje Membe na chadema kwa ujumla?

Nimekuambia acha kukaa meza moja, hata angeenda kuishi nyumbani kwa Lisu, Membe sio mpinzani, na ataingia kaburini akiwa mwanaaccm kama walivyoingia wanaccm wengine. Aligombea Lowassa na kukaa meza kuu, na tulikuwa tukisema Lowassa sio mpinzani, na ikadhibitika, itakuwa Membe?
 
Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo , Zitto Kabwe amesema vyama vya upinzani nchini vimekubaliana kumuunga mkono Mgombea mmoja wa Urais wa Jamuhuri ya Muungano Tanzania na pia, kwa upande wa Zanzibar...
Keshajulikana na watanzania wamemfurahia
 
Nakuamulia mimi na wanachama wenzangu wa chama cha mapinduzi pamoja na watz kwa ujumla! Nyie bavicha endeleeni kumshsrehesha huyo kibaraka wenu wa Amsterdam.
Hivi nyinyi wapenda CCM mnaishi dunia ya wapi? Kila mtu analia hali ngumu, najua nanyi mnalia, ila kwa vimaslahi vidogo mnavyopewa ambavyo vitayeyuka tu baada ya uchaguzi, mnapiga piga kelele weee, eti CCM oye!!
 
Why now Zitto too little to late. You thought Membe will be more appealing to Tanzanians as compared to Lissu. Now you have realized that you’re very wrong. Just save your energy and let Membe continue with his special assignment to form the next cabinet of URT.

Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo , Zitto Kabwe amesema vyama vya upinzani nchini vimekubaliana kumuunga mkono Mgombea mmoja wa Urais wa Jamuhuri ya Muungano Tanzania na pia, kwa upande wa Zanzibar...
 
Upinzani ni muhimu ili kuiamusha usinginzini serikali lakini kushinda no,labda kushinda njaa, inatakiwa wajipange labda 2070 huko lakini kwa sasa watasindikiza tu 28, tutawashukuru kwa kusema asanteni kwa kushiriki.
 
Tayari bundi ametua huko upinzani, vipi kujusu membe yeye si alichukua fomu ya kugombea uraisi kupitia ACT wazalendo sasa huyu watakae muunga mkono tofauti na membe ni nani, kwaiyo uwekezaji wa membe kwa ACT ni bure kabisa au ndio wameamua kumchinjia baharini
Pigia mstari
 
Oct 3? So alichosema maalim Seif (Mwenyekiti) haikuwa msimamo kamili wa Chama?? Hawa watu wanayumba sana aisee.
 
Nakuamulia mimi na wanachama wenzangu wa chama cha mapinduzi pamoja na watz kwa ujumla! Nyie bavicha endeleeni kumshsrehesha huyo kibaraka wenu wa Amsterdam.
Wapinzani tunapaswa kulinda tu kura zetu manake kama ni kushinda kwa kura tayari hilo lipo dhahiri.
 
Mpango mzuri sana huu. Hapa tu tayari washapiga kampeni kura zetu za Urais hazigawanyiki kama CCM ya Magufuli na NEC, wlivyotegemea
MaCCM humu yameumia sana, wamepigwa chenga ya mwili mbaya sana kura za Upinzani hazigawanyiki kama walivyo tegemea.
Magufuli atateseka sana kwa mawazo kipindi hiki chote cha kampeni.
 
Nakuamulia mimi na wanachama wenzangu wa chama cha mapinduzi pamoja na watz kwa ujumla! Nyie bavicha endeleeni kumshsrehesha huyo kibaraka wenu wa Amsterdam.
Umepewa fulana ya CCM imepauka basi unajiona ni wewe tu.
 
Back
Top Bottom