Kazana bado nafasi za uteuzi zipo. MayalaHuu pia ni uchozezi!.
ZZK ni mchochezi sana, mfano Benard Membe na Tundu Lissu wasipopitishwa, sijajua wamepanga kufanya nini hadi uchaguzi usiwepo?, hivi ni vitisho!. Pale raia wa kawaida anapoitisha serikali, dola na nchi, hili sio tishio dogo.
P
Mwenye akili na uwezo mzuri wa kufikiri hawesi kuongea huo ujingaKama watakosa sifa wataenguliwa tu hakuna namna,halafu ningekuwa mimi msimamizi wa uchaguzi ningewaengua halafu mjaribu kuingia barabarani muone.
Huu pia ni uchozezi!.
ZZK ni mchochezi sana, mfano Benard Membe na Tundu Lissu wasipopitishwa, sijajua wamepanga kufanya nini hadi uchaguzi usiwepo?, hivi ni vitisho!. Pale raia wa kawaida anapoitisha serikali, dola na nchi, hili sio tishio dogo.
P
Ninyi watu mnajua kujifariji 😂😂😂huu mwaka historia itaandikwa nchi hii
Kwanini kuanzia mwaka 2015 watu wanapitisha bila kupingwa na tume?Huu pia ni uchozezi!.
ZZK ni mchochezi sana, mfano Benard Membe na Tundu Lissu wasipopitishwa, sijajua wamepanga kufanya nini hadi uchaguzi usiwepo?, hivi ni vitisho!. Pale raia wa kawaida anapoitisha serikali, dola na nchi, hili sio tishio dogo.
P
Huu pia ni uchozezi!.
ZZK ni mchochezi sana, mfano Benard Membe na Tundu Lissu wasipopitishwa, sijajua wamepanga kufanya nini hadi uchaguzi usiwepo?, hivi ni vitisho!. Pale raia wa kawaida anapoitisha serikali, dola na nchi, hili sio tishio dogo.
P
kiukweli ndugu yangu mimi ni CCM ila siyo MATAGA. hiki kimya cha chama chetu si kwamba kuna mkakati wowote wa maana, la hasha.Hahahaha siasa za Tanzania sheeda, bila ccm siasa hazinogi, mlilalamika mmenyimwa uhuru wa kufanya siasa, sasa mmeachiwa mnakuja na ngojera mpya. Ccm imewaachia mjinafasi na pia imekaa kimyaaaaaaaaaa bado hamjaridhika.Kweli nimeamini bila ccm makini TANZANIA itayumba. SUBIRI tarehe 26/8/2020 ndiyo mtajua ukubwa na uimara wa ccm.Stay tuned
Ukifika msalamie mkapaKitakachofanyika Police watatutanguliza baadhi yetu Mbinguni kwani hatutakubali safari hii. Halafu kwakuwa hii nchi Waliumbiwa Ccm tu basi sisi baadhi tutawaachia.
sure mkuu sasa ni zamu ya Lisu watanzania tumeamuaKaijage kawa chairman wa NEC katika kipindi kigumu,
atakuwa chairman wa kwanza kumtangaza mpizani kuwa raisi
Ndiyo maana Zitto amekuja juu.Ni Membe mkuu, inasemekana uanachama wake bado haujamfanya kugombea nafasi yoyote ndani ya ACT
Kwa ufahamu wakoKwahiyo anatuchimba mkwara kwamba ni lazima wagombee na lazima washinde??
tuko upate kura 2 umekua umewehuka........ ndio shida ya kudhani una wafuasi kumbe ni wafuasi hewa!Huu pia ni uchozezi!
ZZK ni mchochezi sana, mfano Benard Membe na Tundu Lissu wasipopitishwa, sijajua wamepanga kufanya nini hadi uchaguzi usiwepo?, hivi ni vitisho!. Pale raia wa kawaida anapoitisha serikali, dola na nchi, hili sio tishio dogo.
Hii sio mara ya kwanza kwa Zitto Kabwe kufanya uchochezi.
Zitto Zuberi Kabwe Ni Mchochezi, Akamatwe, Ashitakiwe Kwa Uchochezi, Adai Rais Magufuli ni...
P
Vipi mkuu unaota? Kwa taarifa zilizochini ya kapeti Huyo jamaa yenu mwenye mdomo mchafu kama tundu Fulani lazima aenguliweNEC wakithubutu kufanya huo ujinga, walahi watakuja kujutia nakwambia.
Unajua CCM kuna mambo wanayachukulia poa, lakini nawahurumia sana.
Muda ni mwalimu mzuri sana
Sema Unaingia barabarani siyo tunaingia.Ni hivi akikatwa hata mbunge au diwani mmoja tunaingia barabarani mpaka arudishwe huu ujinga hakuna watu tumechoka na upumbavu na tutaanzia kuchoma ofisi za nec then ni kumfurusha Dicteta Ikulu.