Lu-ma-ga
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 4,780
- 3,227
Hahahaha siasa za Tanzania sheeda, bila ccm siasa hazinogi, mlilalamika mmenyimwa uhuru wa kufanya siasa, sasa mmeachiwa mnakuja na ngojera mpya. Ccm imewaachia mjinafasi na pia imekaa kimyaaaaaaaaaa bado hamjaridhika.Kweli nimeamini bila ccm makini TANZANIA itayumba. SUBIRI tarehe 26/8/2020 ndiyo mtajua ukubwa na uimara wa ccm.Stay tuned