Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe: Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ikiwaengua wagombea wa upinzani kwenye Urais & Ubunge kwa sababu za kubumba, Hapatakuwa na Uchaguzi

Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe: Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ikiwaengua wagombea wa upinzani kwenye Urais & Ubunge kwa sababu za kubumba, Hapatakuwa na Uchaguzi

Hahahaha siasa za Tanzania sheeda, bila ccm siasa hazinogi, mlilalamika mmenyimwa uhuru wa kufanya siasa, sasa mmeachiwa mnakuja na ngojera mpya. Ccm imewaachia mjinafasi na pia imekaa kimyaaaaaaaaaa bado hamjaridhika.Kweli nimeamini bila ccm makini TANZANIA itayumba. SUBIRI tarehe 26/8/2020 ndiyo mtajua ukubwa na uimara wa ccm.Stay tuned
 
Huu pia ni uchozezi!.
ZZK ni mchochezi sana, mfano Benard Membe na Tundu Lissu wasipopitishwa, sijajua wamepanga kufanya nini hadi uchaguzi usiwepo?, hivi ni vitisho!. Pale raia wa kawaida anapoitisha serikali, dola na nchi, hili sio tishio dogo.

P
Kazana bado nafasi za uteuzi zipo. Mayala
 
Kama watakosa sifa wataenguliwa tu hakuna namna,halafu ningekuwa mimi msimamizi wa uchaguzi ningewaengua halafu mjaribu kuingia barabarani muone.
Mwenye akili na uwezo mzuri wa kufikiri hawesi kuongea huo ujinga
 
Subiri utaona mwenyewe. "Sasa basi".
Huu pia ni uchozezi!.
ZZK ni mchochezi sana, mfano Benard Membe na Tundu Lissu wasipopitishwa, sijajua wamepanga kufanya nini hadi uchaguzi usiwepo?, hivi ni vitisho!. Pale raia wa kawaida anapoitisha serikali, dola na nchi, hili sio tishio dogo.

P
 
Mbwa wako wa kumfuga ukimpiga sana mwishoni lazima atakuuma. Ni vizuri kuwachukulia vizuri watanzania hata kama ni wapole.
 
Huu pia ni uchozezi!.
ZZK ni mchochezi sana, mfano Benard Membe na Tundu Lissu wasipopitishwa, sijajua wamepanga kufanya nini hadi uchaguzi usiwepo?, hivi ni vitisho!. Pale raia wa kawaida anapoitisha serikali, dola na nchi, hili sio tishio dogo.

P
Kwanini kuanzia mwaka 2015 watu wanapitisha bila kupingwa na tume?
 
Kitakachofanyika Police watatutanguliza baadhi yetu Mbinguni kwani hatutakubali safari hii. Halafu kwakuwa hii nchi Waliumbiwa Ccm tu basi sisi baadhi tutawaachia.
Huu pia ni uchozezi!.
ZZK ni mchochezi sana, mfano Benard Membe na Tundu Lissu wasipopitishwa, sijajua wamepanga kufanya nini hadi uchaguzi usiwepo?, hivi ni vitisho!. Pale raia wa kawaida anapoitisha serikali, dola na nchi, hili sio tishio dogo.

P
 
Hahahaha siasa za Tanzania sheeda, bila ccm siasa hazinogi, mlilalamika mmenyimwa uhuru wa kufanya siasa, sasa mmeachiwa mnakuja na ngojera mpya. Ccm imewaachia mjinafasi na pia imekaa kimyaaaaaaaaaa bado hamjaridhika.Kweli nimeamini bila ccm makini TANZANIA itayumba. SUBIRI tarehe 26/8/2020 ndiyo mtajua ukubwa na uimara wa ccm.Stay tuned
kiukweli ndugu yangu mimi ni CCM ila siyo MATAGA. hiki kimya cha chama chetu si kwamba kuna mkakati wowote wa maana, la hasha.
yaani ni kuwa watu wamepigwa butwaa la how come Lissu amepata ujasiri wa kurudi nchini baada ya yaliyomtokea na sasa anaonekana kuwa ni mwiba mchungu zaidi kuliko hata zamani.

halafu Lissu amemshusha comfo sana mwenyekiti wetu kwa jinsi alivyomjibu hoja zake nyingi ambazo amekuwa akitamba nazo peke yake majukwaani kwa miaka 3 mizima bila mtu yeyote kumpinga (kumbuka ni Lissu pekee ndiye aliyekuwa akimpinga hadi 2017 alipopata ile "ajali mbaya").
 
Kitakachofanyika Police watatutanguliza baadhi yetu Mbinguni kwani hatutakubali safari hii. Halafu kwakuwa hii nchi Waliumbiwa Ccm tu basi sisi baadhi tutawaachia.
Ukifika msalamie mkapa
 
Ndugu Zitto Kabwe ameionya NEC juu ya vishawishi vya njama za kujaribu kuengua baadhi ya wagombea wa urais na ubunge katika uchaguzi huu.
Zitto amesema kuwa NEC iwe makini sana isije ikaingia katika udhalimu huu.

Mimi pia kama mwananchi, naungana na Ndugu Zitto kukemea kwa nguvu zote vishawishi vyovyote vya kutaka kuwanyima wananchi haki ya kuchagua na kuchaguliwa kama walivyofanyiwa katika uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka jana.

Kwa kweli ile ni dhuluma kubwa, ni aibu kwa watawala kupora haki hiyo ya wananchi ya kuchagua watu wawatakao na kitendo hicho cha aibu kitawaandama viongozi waliofanya udhalimu huo, sisi wananchi kamwe hatutosahau unyang'anyi ule!

117377692_2984292585030398_8660983877535178831_o.jpg
 
Huu pia ni uchozezi!

ZZK ni mchochezi sana, mfano Benard Membe na Tundu Lissu wasipopitishwa, sijajua wamepanga kufanya nini hadi uchaguzi usiwepo?, hivi ni vitisho!. Pale raia wa kawaida anapoitisha serikali, dola na nchi, hili sio tishio dogo.

Hii sio mara ya kwanza kwa Zitto Kabwe kufanya uchochezi.
Zitto Zuberi Kabwe Ni Mchochezi, Akamatwe, Ashitakiwe Kwa Uchochezi, Adai Rais Magufuli ni...

P
tuko upate kura 2 umekua umewehuka........ ndio shida ya kudhani una wafuasi kumbe ni wafuasi hewa!
 
NEC wakithubutu kufanya huo ujinga, walahi watakuja kujutia nakwambia.

Unajua CCM kuna mambo wanayachukulia poa, lakini nawahurumia sana.

Muda ni mwalimu mzuri sana
Vipi mkuu unaota? Kwa taarifa zilizochini ya kapeti Huyo jamaa yenu mwenye mdomo mchafu kama tundu Fulani lazima aenguliwe

Tutaona kama mtaandamana
 
Ni hivi akikatwa hata mbunge au diwani mmoja tunaingia barabarani mpaka arudishwe huu ujinga hakuna watu tumechoka na upumbavu na tutaanzia kuchoma ofisi za nec then ni kumfurusha Dicteta Ikulu.
Sema Unaingia barabarani siyo tunaingia.
Unaongea hivyo ukiwa Kama mtoa matumizi na mleta chakula Cha familia za wenzio?
Be specific please.
 
Back
Top Bottom