Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe: Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ikiwaengua wagombea wa upinzani kwenye Urais & Ubunge kwa sababu za kubumba, Hapatakuwa na Uchaguzi

Hivi nchi hua zinaingiaje machafukoni vile? Sio kudharau vitu vidogo vidogo vya kikandamizi ama? Mbona we ni mjuvi wa mambo washindwa kuelewa hilo!
 
Hali ilipofikia CCM wamechanganyakiwa, yaani pamoja kujenga flyovers na Kununua ndege ila wananchi hatuwataki [emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wa mikoani wanasema hayo yakujisifia mengi yako Dar. Wanataka yaliyofanyika huko vijijini
 
PASCO !PASCO !PASCO! NJAA MBAYA SANA .....NANI NAIBU WAZIRI WA ANGELA KAIRUKI?
 
NEC wakithubutu kufanya huo ujinga, walahi watakuja kujutia nakwambia.

Unajua CCM kuna mambo wanayachukulia poa, lakini nawahurumia sana.

Muda ni mwalimu mzuri sana
Utafanya nini we "nyau" kakojoe ulale. Mnapenda kujiapiza vitu ambavyo havina kichwa wala miguu.

Zitto Kabwe na wanasiasa Wengi wanajua wanasema nini? Kwanini? Na wanakusudia nini? We "kinyec" unatokwa na mishipa ya shingo bure.
 
Ni hivi akikatwa hata mbunge au diwani mmoja tunaingia barabarani mpaka arudishwe huu ujinga hakuna watu tumechoka na upumbavu na tutaanzia kuchoma ofisi za nec then ni kumfurusha Dicteta Ikulu.
Wewe na nani?
 
Jaji Kaijage is conscious of the legacy he will leave for himself, his offsprings and the country at large as the NEC chairman; he cannot afford to make a decision that will tear the country asunder!
[SUB]Kama mtu[/SUB]
Kama mtu unaweza ukagombea nafasi na ukaambulia kura moja tu, then wewe ni mtu wa kupuuzwa tu. Hakuna anayeweza kukuchukulia serious.
 
NEC mpaka sasa inajua mshindi ni nani inasubiri kumtangaza
Huko sahihi kabisa. Hebu angalia uchambuzi hapa chini.

Kwa mujibu wa Kanuni za Uchaguzi Mkuu 2020, pamoja na kanuni nyinginezo kwenye kanuni hizo, Kanuni ya 30(1) inatamka kwamba watu wanaoweza kuruhusiwa kuweka pingamizi dhidi ya Mgombea Urais au Ubunge watakuwa:-
1. Mkurugenzi wa Uchaguzi;
2. Msajili wa Vyama vya Siasa ;
3. Msimamizi wa Uchaguzi;
4. Mwanasheria Mkuu wa Serikali; au
5. Wagombea/mgombea (m)wenzake

Aidha, Kanuni 30(5) inamtaka Msimamizi wa Uchaguzi [
pengine ndiye aliyeweka pingamizi - Mungu apishe mbali!] kutoa uamuzi wa pingamizi hilo na kisha kumfahamisha mgombea ubunge.

Lakini pia, Kanuni 31(3) inaelekeza mgombea ubunge aliyewekewa pingamizi asiporidhika na maamuzi ya Msimamizi wa Uchaguzi akate rufaa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (
hebu fikiria iwapo pingamizi hilo limewekwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi!) kupitia Msimamizi wa Uchaguzi (pengine ndiye huyo huyo aliyeweka pingamizi na kisha akasikiliza pingamizi lake mwenyewe)!

Kisha, [Kanuni 31(4)] inaelekeza kuwa Msimamizi wa Uchaguzi husika (
huyo huyo aliyeweka pingamizi na kisha kulitolea maamuzi) aandae nyaraka zote na ushahidi (wa mgombea ubunge aliyekata rufaa Tume dhidi ya maamuzi ya Msimamizi wa Uchaguzi (pengine aliyesilikiza pingamizi aliloliweka mwenyewe dhidi ya mgombea) kisha kuziwasilisha Tume ya Taifa ya Uchaguzi (fikiria hali itakuwaje iwapo pingamizi dhidi ya mgombea liliwekwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi, halafu apelekewe rufaa dhidi ya pingamizi lake iliyoamuliwa na mwajiriwa wake akimpendelea bosi wake!).

Hii model regulations (kanuni za mfano wa kuigwa) imechukuliwa kwenye kanuni na uzoefu wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa (vitongoji, vijiji na mitaa) wa mwaka jana (2019) 'uliofanikiwa' sana! Ni brand new electoral democracy ya Tanzania.

Kwenye uchaguzi huo (2019) kiasi cha wapiga kura 95% hawakuweza kupiga kura kwa kuwa wagombea wa upinzani katika vitongoji, vijiji na mtaa hiyo waliwekewa mapingamizi na wasimamizi wa uchaguzi kisha wagombea wa CCM wakapitishwa na kupewa ushindi a kupita bila kupingwa.

Asilimia 95 ya Wapiga kura wa Tanzania walizuiwa/walinyang'nywa haki yao ya kupiga kura (disenfranchised).

Tunaweza kuanza kujadili uhalali (legitimacy) wa viongozi wa kisiasa wanaochaguliwa kwa mtindo huo.

NEC/RPP kuwekea m(wa)gombea pingamizi inamaanisha partiality of the NEC or the Government vis-a-vis the
2020 elections!
 


Uchochezi mkubwa ni huu wa kuiweka nchi katika hali hii ya kutokufuata katiba wala sheria huku CCM ikilindwa na vyombo vya dola dhidi ya Wananchi wanaodhulumiwa

Pascal watu wamehonga pesa na ukapigwa buti bado tu ungali nao CCM??

Unapata kitu gani huko ?? HUHAMI , muda ndio huu
 
Hakuna uchaguzi ni maigizo
 
I used to look up to you, ulikua unaandika vitu deep kiasi kwamba nikajikuta tu nakukubali. I still respect you as a person and i wish i could say the same about your inputs, but I (*and i believe i'm not the only one*) cant. No disrespect but you're kissing ass way too hard, you sound like a different person. I apologize for the strong language.
 
Kama utani akaenguliwa naniliii.
 
Ubavu huo huna kusema mbali na kutenda mbali
Ni hivi akikatwa hata mbunge au diwani mmoja tunaingia barabarani mpaka arudishwe huu ujinga hakuna watu tumechoka na upumbavu na tutaanzia kuchoma ofisi za nec then ni kumfurusha Dicteta Ikulu.
 
Ila Lissu sio mtu wa kawaida kabisa. hapa Lissu ndie anaetafutwa
Walimwogopa membe wakamtimua chamani wakijua wameshinda target sasa hawakujua kama lissu atarudi maana walikadiria kuwa kwa kile kichapo hatokaa aje tena
 
Nec waangalie wasifikiri watu wajinga , watu wataingia barabarani mapema kabla hata ya kutangaza matokeo.
 
Kwa hawa INTERAHAMWE lolote lile linaweza kutokea. Mwl. Nyerere aliwahi kutuhusia ya kwamba, ukila nyama ya mtu huwezi kamwe kuacha kula. Yale ya Jecha kule Zanzibar mwaka 2015 mara hii yatahamia huku Tanganyika.

Kwa aina ya mapokezi anayoyapata Tundu Lissu mikoani anapotafuta wadhamini, inawaacha makada wa CCM hoi. Mbeleko liliobakia kwao nikufanya hila ya kutaka kumuengua kihuni. Ila wanapaswa kukumbuka ya kuwa amani ni tunda la haki.
 
Zito kabwe au kabwela😅😅😅
Ya kigoma yamemshinda atayaweza ya taifa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…