Zitto Kabwe: Wanaoliunganisha Taifa ni Taifa Stars na KKKT

1Wafalme sura ya 18
And bring the 450 prophets of baal and those 400 of asherah who eat under the table of jezeebel. Ilisikika amri ya mfalme Ahabu ikiropoka.
 
Huyu msukule wa udini
A traitor amongst us! Constable isabela. Bring back Ben saa 8 ZZK
 
Mwanasiasa mdini mdini hatufai.
 
Hili ni dongo kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania~TEC.

Dalali Zitto hutakiwi kuwachukia TEC. ACT mmetoa msimamo wenu bandari zetu, ZIUZWE!

TEC hawajawachukia ACT. Kwanini kiongozi wa ACT uwachukie TEC?

Roma locuta; causa finita est~Rome has spoken; the cause is finished.
 
Huyu ni kama nyuki wa mashineni hana sumu, hata akigombea udiwani kigoma hatoboi acha aendelee kulamba asali kwa wingi
 
TEC ni wabaguzi na wanajikutaga Tanzania hii ni Mali Yao,wakome kabisa Zito Yuko sahihi.

ACT ndio chama pekee Hadi Sasa kilichotoa way forward ya Bandari.Uwekezaji lazima na utaratibu wake walishasema.

Kama.uwekezaji I kuuza Bandari basi umejaa matope kichwani
 

Zitto mchumia tumboni na mdini aliyepitiliza. TEC wamewaumbua waliokuwa na deal la bandari, kwa kutumia udini. Wakati hoja ni mkataba uboreshwe
 

Anakiri kiaina kwamba hata serikali anayoitetea haiuwaunishi Watanzania.
 
Sina shida kabisa na Ukatoliki, wanafanya kazi ya vema ya utume kama dini zingine, shida iko kwa TEC tena inayoburuzwa na watu wawili tu, Rais na Katibu wa TEC ambao ni maswahiba wa Tundu Lissu. Unapotoa waraka kwa waumini wako kuishambulia Serikali na Chama chake kumbuka kuna waumini wako ambao ni wanachama wa Chama hicho, pili kumbuka Dini na Chama vyote ni imani, tarajia kuligawa Taifa.
 
Kima huyo
 
Zito mdini kasimama upande wa dini
Hata KKKT wamesema wanasapoti uwekezaji hawakutaja bandari wao wanadandia hoja
 
Na ndio maana wamemrudisha Malasusa, kwa Sasa rasmi wamegeuka tawi la CCM
 
Kwahiyo inakuuma nini ? Hamia kwa Mwamposa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…