Zitto Kabwe: Watu wazima kujadili Milioni na Bilioni ni kukosa kazi za kufanya

Zitto Kabwe: Watu wazima kujadili Milioni na Bilioni ni kukosa kazi za kufanya

Hii nchi ngumu sana, mtu anakataza watu kujadili kitu ambacho yeye mwenyewe anakijadili.

Hadi anaandika haya si inamaana na yeye yumo kwenye hao anaowaita wamekosa kazi?

By the way who is Zitto aamulie watu nini cha kujadili na kipi sio cha kujadili?
Zitto ni Mrema kwa kila kitu
 
Ieleweke Zito anasaka uteuzi kwasasa,maisha bila ubunge yamemchapa sana anatiisha huruma kama kina mrema,cheyo etc.
Huyu ndiyo angepewa uenyekiti wa chadema huyu!!!
 
Huyo snitch ZZK anasemaje? Nilimfahamu awamu ya nne alivyojipatia ajira ya kuvuruga upinzani na akamezeshwa tonge nono na sirikali. Kimei unakumbuka hii!!? Brief case nyekundu na miamala kupitia ujerumani?
Aliitafuta ajira hii kwa Magu akakosa na akapanua likinywa la chatu kutoa uchafu kila wakati.
Sasa amejipatia tena fursa nyingine awamu ya SSH.
Ni mtu hatari haswa! Ben Saanane ndiye aliweza kumdukua hadi akajulikana usaliti wake na kuna wasiwasi alishirikiana na system kumpoteza. NYIE CDM beware
Muwe makini with this creature from the class reptilia!
 
Back
Top Bottom