Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Zitto ni Mrema kwa kila kituHii nchi ngumu sana, mtu anakataza watu kujadili kitu ambacho yeye mwenyewe anakijadili.
Hadi anaandika haya si inamaana na yeye yumo kwenye hao anaowaita wamekosa kazi?
By the way who is Zitto aamulie watu nini cha kujadili na kipi sio cha kujadili?