Hii nchi ngumu sana, mtu anakataza watu kujadili kitu ambacho yeye mwenyewe anakijadili.
Hadi anaandika haya si inamaana na yeye yumo kwenye hao anaowaita wamekosa kazi?
By the way who is
Zitto aamulie watu nini cha kujadili na kipi sio cha kujadili?