Zitto Kabwe yupo Lyv Ukraine anafanya nini huko wakati kuna vita? Nani anadhamini safari yake?

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Huyu kiongozi wa ACT Wazalendo mbona hasomeki?
Screenshot_20220917-231744.jpg
 
Zitto anaweza kuingiza nchi katika milengo ya migogoro.
Haka ka jamaa sijui kapoje? Rudi uendelee kupokea posho zako za Uwakala (Chawa) toka CCM.
 
Hio sehemu alokwenda hakuna vita ndio maana amekwenda huko. Huyu anashindwa na nyapara za Kibongo akaweze mziki wa Vodka gang😂. Kama huamini mwambie afanye mkutano wa hadhara Tanzania aone nyapara zitakavyo fanya kazi zao👍
 
Au labda kapeleka silaha za jadi kutoka kigoma
MKUU huyu mwamba atakuwa amepeleka kamati ya ufundi ...kuna mida ilifika huku bongo akutibua noma polisi wakumfuata kumkamata hugeuka kichuguu ....
 
Mbona viongozi wengi wa Ulaya walienda huko? Nadhani nia kuonesha solidarity ya chama chake na wananchi wa Ukraine. Ni jambo jema.
 
Zitto kaenda Ukraine kwa ufadhili wa taasisi iitwayo Benthrust foundation, inayomilikiwa na Jonathan Oppenheimer. Bodi ya ushauri ya taasisi hii inaundwa na wazito kama Olusegun Obasanjo, Ellen Johnson Sirleaf, Gregg Mills, Ernest Bai Koroma. Kwenye hiyo safari pia Bob Wine alikuwepo. Benthrust inatuhumiwa kuwaweka vibaraka madarakani kwenye nchi nyingi za Afrika kwa maslahi yao binafsi. Huwa ni wataalamu wazuri wa kusuka migogoro ndani ya nchi ambayo wanashindwa kupenya kirahisi. Kimsingi ukiona kiongozi anajihusisha na hawa jamaa ujue ni kibaraka wao na sio mzalendo. Binafsi ninamkubali sana Zitto kwa uwezo wake binafsi ila naweza sema sio mzalendo na hafai kuwa kiongozi wa nchi hii. CCM itazidi kuwa madarakani kwa kuzikataa taasisi za hovyo kama hii Benthrust.
 
MKUU uko sahihi , Zitto ninayemwona sasa siyo yule aliyeibua scandle nyingi sana including ya bandari na maadhi ya migodi mwaka 2008 ,
 
Back
Top Bottom