Zitto, Makamba na mwakilishi wa TANESCO ndani ya mdahalo wa Star Tv

Zitto, Makamba na mwakilishi wa TANESCO ndani ya mdahalo wa Star Tv

Wizi mtupu nchi yetu imekuwa kila kitu SIASA kila ttizo eti wanasiasa ndio watoe majibu na wansiasa wamejisahu kudhani wao wana majibu ya kila kitu. Katika hao waliohudhuria

  • Nani hata anakumbuka formula ya WATT, POWER, ENEGRY
  • Nani anaweza hata kuelezea tofauti ya ifudi ya bulb na tube light
  • Nani kabla ya huo mdahalo kam-consult mtaalamu yeyote wa mambo ya nishati au umeme Chuo kikuu au vyuo vikuu. Au kasoma publication ya mtaalam fulani ya Umeme
Vyombo vya habari vijue kutafuta wahusika sahihi wenye midahalo ili kuwepo na balansi kujaza 90% ya wanasiasa tena amabao hawana taaluma na mmbo ya nsihati kwenye mdahalo wa nishati ni tatizo. Ndio maana hata umeme umekuwa tatizo sugu Sababu ya siasa.

Hata hao wajumbe waanaokwakilisha taaisis za nishati (EWURA TAESCO) inawezekana ni vingozi tu lakini hawana know how ya NISHATI .

JAMANI WANSIASA WA WATANZANIA NA NYIE MUWE MNAULIZIA WATAAALAM
We jamaa bana!!
toka huko ulipo, njoo nje huku, jua linawaka!!
 
Mkiwa na rais mjinga ambaye hafahamu kutumia madaraka aliyopewa matokeo yake ndio hayo.
 
FJM, naomba niungane na wewe kujiuliza swali hili.
kuna kitu cha Msingi sana cha kujiuliza hapa, hawa waheshimiwa walitumwa na Spika?naona wameongea kama wamoja sana!
January amejiwakilisha vyema na amechukua nafasi ya Chama Twawala aka Magamba. Lakini Zitto ameshindwa kabisa kuchukua nafasi yake kama Mpinzani na Mkosoaji wa serikali iliyoko madarakani...ameonekana akiimbia mapambio serikali ya JK.....
how come hajazungumzia kabisa ufisadi wakati mikataba yote ya Nishati ina Ufisadi???? i am smelling something out of this Mdahalo, nchi hii ukitaja UFISADI unawalenga mapapa wa rushwa wanaowakilishwa na EL na RA, na wabunge hawa wote wawili wanaaminika kuwa wafuasi wa genge hili la mafisadi. Pamoja na kulalamika kote kwa January hasikiki sana akitaja ufisadi....afadhali hata Nape anatamka UFISADI mdomoni mwake lkn hawa waheshimiwa hawagusi ufisadi kabisa.
Thanks to Kitila and The Kamanda mr Heche wamejaribu kuwashtua washiriki kuwa CDM tumo mdahaloni humu, otherwise CDM hatujawakilishwa na yeyote ktk meza kuu. Zitto amediriki kumjibu Regia kuwa kama CDM waliahidi kwenye ilani kuwa wangefikisha 30% ya connection za UMEME hata CCM waliahidi hivyohivyo na akasema kama ambavyo ingewezekana kwa CDM ndivyo ambavyo itawezekana kwa CCM.

mmmhh!!
Sikuwa na tatizo kwa Zitto kuhudhuria badala ya mnyika...........sababu ji kwamba, inawezekana Mnyika ana shughuli nyingine. However, Zitto amekuwa kwenye nishati na madini kwa muda zaidi.

LAKINI, nilivyoona mdhalo, nimeshindwa kujua kama hawa ''vijana'' walikuwa najiongelea wao kama washkaji au walikuwa wanaongelwa mustakabali wa nchi kwa mujibu wa vyama vyao.

January amejitahidi kujipambanua kama kijana na kama mwakilishi wa CCM
Zoitto amejioambanunua kama kijana ............ amaji-distance na chama chake, HE DIDNT WANT ANYTHING TO DO WITH HIS PARTY!!
Huo ni ukweli.

Amuni-disapoint sana.!!
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Mwandishi, Meena anasema... viongozi wa wizara ya nishati na madini wanasema wamesafiri. Kama ndivyo ni scandal.... na kesho tutafanya investigation tuseme ukweli kwa wananchi, wajibu

Huyu jamaa sijamuona muda naona kaharibika sio kama alivyokuwa kwa mzee mengi, au ndio?
 
Sikuwa na tatizo kwa Zitto kuhudhuria badala ya mnyika...........sababu ji kwamba, inawezekana Mnyika ana shughuli nyingine. However, Zitto amekuwa kwenye nishati na madini kwa muda zaidi.

LAKINI, nilivyoona mdhalo, nimeshindwa kujua kama hawa ''vijana'' walikuwa najiongelea wao kama washkaji au walikuwa wanaongelwa mustakabali wa nchi kwa mujibu wa vyama vyao.

January amejitahidi kujipambanua kama kijana na kama mwakilishi wa CCM
Zoitto amejioambanunua kama kijana ............ amaji-distance na chama chake, HE DIDNT WANT ANYTHING TO DO WITH HIS PARTY!!
Huo ni ukweli.

Amuni-disapoint sana.!!

Soon, waliokuwa wanaponda kuwa tunaongelea watu na sio issue watajua exactly what we are trying to say. Sasa jaribu kupitia 'nasaha za Zitto' Igunga wakati wa Campaign - fascinating!
 
Sikuwa na tatizo kwa Zitto kuhudhuria badala ya mnyika...........sababu ji kwamba, inawezekana Mnyika ana shughuli nyingine. However, Zitto amekuwa kwenye nishati na madini kwa muda zaidi.

LAKINI, nilivyoona mdhalo, nimeshindwa kujua kama hawa ''vijana'' walikuwa najiongelea wao kama washkaji au walikuwa wanaongelwa mustakabali wa nchi kwa mujibu wa vyama vyao.

January amejitahidi kujipambanua kama kijana na kama mwakilishi wa CCM
Zoitto amejioambanunua kama kijana ............ amaji-distance na chama chake, HE DIDNT WANT ANYTHING TO DO WITH HIS PARTY!!
Huo ni ukweli.

Amuni-disapoint sana.!!
Huwa kila siku nasema..Zitto is bright, hapendi upuuzi unaoendelea ndani ya CDM ndio maana kila mara huwa anakuwa kando.
Kudos Zitto
 
Mimi nadhani walialikwa kama wenyeviti wa kamati za bunge,moja ikiwa ni nishati na ya pili mashirika ya umma. Kwangu mimi ukiondoa mwakilishi wa Tanesco, hawa wawili wamejitahidi. Kuna jambo ambalo watanzania tutapaswa kujifunza,demokrasia ya vyama vingi siyo uadui. Ni kushindanisha sera. Kutafika wakati na uhenda simbali sana ushirikiano kati ya wanasiasa/vyama tofauti utakua hauepukiki,so long as ni kwa manufaa ya nchi na wananchi. Binafsi sitarajii uchaguzi mkuu ujao kutakua na chama ambacho kitapata wingi wa kutosha bungeni kuweza kupitisha miswaada ya serikali bungeni. Kwa hiyo tusiogope wala kuhisi vibaya wanasiasa wa vyama hasimu wakionekana ni marafiki. Siasa siyo uadui wala vita.
 
@timbilimu,
In theory uko sahihi but practically unashirikiana na nani? Na mwizi aliyekuibia hata asprin? Really? Assume CHADEMA leo wanasema watashirikiana na CCM kutatua tatizo la umeme na ufisadi! but how will they do that? Kwa kukubaliana wezi warudishe hela au kwa vipi? Hivi sheria za nchi zinaruhusu kujenga mashirikiano na wezi? Na ni ccm ipi CHADEMA wanaweza kukaa meza moja na kutatua tatizo lolote hata la kuchimba mfereji? CCM magamba? ccm wavua magamba au ccm madalali?
 
Wizi mtupu nchi yetu imekuwa kila kitu SIASA kila ttizo eti wanasiasa ndio watoe majibu na wansiasa wamejisahu kudhani wao wana majibu ya kila kitu. Katika hao waliohudhuria

  • Nani hata anakumbuka formula ya WATT, POWER, ENEGRY
  • Nani anaweza hata kuelezea tofauti ya ifudi ya bulb na tube light
  • Nani kabla ya huo mdahalo kam-consult mtaalamu yeyote wa mambo ya nishati au umeme Chuo kikuu au vyuo vikuu. Au kasoma publication ya mtaalam fulani ya Umeme
Vyombo vya habari vijue kutafuta wahusika sahihi wenye midahalo ili kuwepo na balansi kujaza 90% ya wanasiasa tena amabao hawana taaluma na mmbo ya nsihati kwenye mdahalo wa nishati ni tatizo. Ndio maana hata umeme umekuwa tatizo sugu Sababu ya siasa.

Hata hao wajumbe waanaokwakilisha taaisis za nishati (EWURA TAESCO) inawezekana ni vingozi tu lakini hawana know how ya NISHATI .

JAMANI WANSIASA WA WATANZANIA NA NYIE MUWE MNAULIZIA WATAAALAM

Uko sahihi mkuu. Midahalo imejaa wanasiasa tuu. They are not constructive kwa sababu hawaweki watu wenye opinions za kitaalamu kwenye topic husika. Kimsingi sidhani kama wataalamu wanahusishwa ipasavyo kudeal na matatizo tuliyo nayo. Labda ndio maana nao wameamua kuwa wanasiasa. Kwa nini kila tatizo litatuliwe kisiasa?

Angalia kwa mfano suala la Dowans. Wameliendesha kisiasa weeeeeeeeee, maji yamefinga shingoni ndio sasa wanakumbuka kuwatafuta wanasheria maprofesa waliobobea kusaidia. Kwa nini wasingewashirikisha tokea mwanzo wakati wanasign mkataba?

Yaani kweli tatizo la umeme bado tuu linahitaji midahalo? Nini kipya alichosema Zitto au Makamba ambavyo hatujavisikia? TV zinatumia matatizo yetu kutafuta airtime tuu.
 
Guys nyie ndio ambao huwa mnaharibu credibility zenu, post zenu zote hazina hoja, hazina ujazo wala haziwezi kumsaidia mtu yeyote zaidi ya majungua ambayo unajua yanapikwa na wajinga fulani fulani hivi

1. Nani kaitisha mdahalo?
2,. Je walimualika Zito au alijialika?
3. Je walialika chadema kuwa wachague mtu na chadema imemchagua zito?
4. Je mdahalo ni lazima awepo waziri kivuli? criteria hii ana iset nani? zito au waandaaji
5. why zito?

kwenye maswala ya energy huwezi ukamfananisha Mnyika na Zito mtu yeyote ambaye hajui uhusika wa zito kwenye nishati lazima aidha kilaza au hajui!

Mnyika ni waziri yes, lakini kwenye upe wa nishati hamfikii Zito..tuseme ukweli

sijawahi kuona article, speech, au swala lolote la kutatua matatizo ya nishati ambayo Mnyika ameishawahi kuweka mezani ..hakuna

in other words output ya Mnyika kwenye energy issues iz zero whether is shadow minister or shallow minister

semeni lingine!

huo ni ukweli kabisa kua jamaa(Zitto) anajua mambo mengi sana na hata kwa kuangalia tu kawaida wote walioona kwenye tv live na hata walio

kuwepo live pale..! wale waheshimiwa walio kuwepo pale mbele walikua wana~take note sana zitto alipokua anaongea na hii ni kwasababu

anainformations nyingi sana kuliko mtu mwingine nadhani hata kuliko makamba... japo kua january huenda anaweza kua anaficha mambo na

kujaribu kutuonesha kua yeye ni mkweli kumbe kuna mambo anayaficha..! so far mimi ninaona Zitto ni asset nzuri sana ambayo chadema wanayo

kwa ueledi alio nao kwenye mambo mengi yanayo mhusu..!

ila hebu tuangalie pia kwani nishati ya umeme haihusu viwanda..!? nadhani hata kama mnyika angekuwepo bado zitto na yeye angetakiwa awepo

coz bila umeme wa uhakika hakutakua na production ya kutosha na bado tutakua tunaenda kununua nje na shilingi yetu itaendelea kudorora..!

so mimi sidhani kama kumekua na tatizo kubwa sana kwa zitto kuwepo pale..

jamani ni hayo tu..
DRILLER...
 
Uko sahihi mkuu. Midahalo imejaa wanasiasa tuu. They are not constructive kwa sababu hawaweki watu wenye opinions za kitaalamu kwenye topic husika. Kimsingi sidhani kama wataalamu wanahusishwa ipasavyo kudeal na matatizo tuliyo nayo. Labda ndio maana nao wameamua kuwa wanasiasa. Kwa nini kila tatizo litatuliwe kisiasa?

Angalia kwa mfano suala la Dowans. Wameliendesha kisiasa weeeeeeeeee, maji yamefinga shingoni ndio sasa wanakumbuka kuwatafuta wanasheria maprofesa waliobobea kusaidia. Kwa nini wasingewashirikisha tokea mwanzo wakati wanasign mkataba?

Yaani kweli tatizo la umeme bado tuu linahitaji midahalo? Nini kipya alichosema Zitto au Makamba ambavyo hatujavisikia? TV zinatumia matatizo yetu kutafuta airtime tuu.

teh..teh...teh...! wataalamu wetu si ndio hao wameiingiza nchi kwenye matatizo kwa kuendekeza njaa zao...!

si umemuona engineer yule kutokea tanesco alivyo kua anajibu SHUDU pale..!? anaogopa macho ya watu kama nini..! yote hiyo ni kwasababu

analinda watu flani flani ili asije akanyimwa kula..! wewe..! nchi hii inahitaji mapinduzi ya kweli hakuna mapinduzi kabisa hapa na ndio maana hata CCM ni cha magamba...! sio cha mapinduzi kabisa..! ni kufuga majambazi na wezi tu hapa..!
 
Dear Colleague

We would like to draw your attention to the following executive dialogues. Please see the attached flyer for more information.

Powering Africa: the Gas Option (PAGO 2) to be held at Serena Beach and Spa, Mombasa 7 - 9 November

Join Africa's decision-makers to share experiences and explore solutions with Government officials, utilities and energy agencies at this high-level, interactive dialogue examining the future of Africa's gas.
Latest PAGO and PAFO confirmed organisations include:

  • January Makamba, Parliamentary Committee for Energy and Minerals, Tanzania
  • Ministry of Electricity and Dams, South Sudan
  • Ministry of Energy and Mining, South Sudan
  • Nigerian Electricity Regulatory Commission
  • World LP Gas Association
  • International Finance Corporation
  • Kenya Electricity Generating Company
JANUARY MAKAMBA, Chair of Tanzania's Parliamentary Committee for Energy and Minerals is set to turn discussion into action. Makamba confirms participation and attendance at this senior level debate on the development of gas and power across Africa. With stakeholders from Kenya, Mozambique, Namibia, Nigeria, the UNEP, IFC as well as major international players from Siemens, GE and Cummins this is a major opportunity for your organisation to join this important 'call for action'.
Powering Africa: the Financial Options (PAFO 5) to be held at Serena Beach & Spa, Mombasa, 9 - 11 November
Meet and engage with a range of Government officials, power executives and utilities from the public and private sector to discuss and act on investment opportunities across Africa. Please contact Amy Offord at [email protected] for more information or to receive a programme.
Yours sincerely,

Amy Offord
EnergyNet Limited
London
[email protected]
+44 (0)20 7370 8704

HOJA YANGU:

Je, kuna usahihi gani January Makamba, Mwenye kiti tu wa Kamati ya Bunge kuhusu Nishati na Madini, kwenda kuwakilisha Tanzania kwenye mkutano wa kimataifa kuhusu maswala ya gasi yetu hapa nyumbani na pengine kuingia kwenye mikataba mengine ndoano zaidi wakati yeye si waziri na Waheshimiwa Ngeleja na John Mnyika wao wapo tu????

Na kapata wapi baraka za kwenda kuingia kwenye mikataba kwa niaba yetu (he is going to turn dialogue INTO ACTION)?

Nielewavyo mimi Kamati yoyote ya Bunge letu kazi yake ni WATCHDOG (Legislative arm of the government) wa wananchi kwa niaba ya bunge ili kuhakiki kila walitendalo SERIKALI kama Executive arm of the government hivyo watendaji ni Ngeleja na John Mnyika. Hao ndio Executive hapa nchini kuhusu masuala ya nishati na madini full STOP.

Sasa kwa kuwa tu kuna harufu ya pesa kukopwa kwa jina letu kutoka IFC na vile vile kwa mkono mwingine kuna utitiri wa mikampuni ama inayojenga miundombinu ya gesi, inayosafisha, inayosafirisha na inayouza - tena haya mambo mazito ya kuingi mikataba ya miaka nenda rudi apewe tu huyu kimya kimya hivi halafu kushirishwa kulia baadaye??????

Everyone watch out!!!
 
Waheshimiwa wabunge wa upinzani, wanaharakati nawazalendo kwa ujumla wetu leo hii tunahangaika na DOWANS tumegoma isilipwe kutokana na usiri mkubwa uliozunguka mkataba wote mzima ulivyoundwa na sasa kero tupu kwa taifa letu - je, haya majadiliano na Makamba aliyeelezewa kama Executive (yaani mtu ambaye neno lake moja tu ni sera) wenzetu hizi taarifa mnazo?????

Sitopenda kusikia ufisadi mwingine hapa nchini kwetu zaidi ya Dowans inayotumaliza hivi leo. Je, ndivyo mlivyompa baraka huyu kijana huko bungeni akaingie mikataba mengine zaidi kinyemela Ughaibuni???????

Cha ajabu sana naona THREADS zinazoanzishwa juu ya huyu bwana hapa jukwaani kama vile ile ya dada yake Mwamvita na UHUSIANO WA TIJA kule Barricks hatuioni tena ukutani; MODS, ni kitu gani inmeza Threads kumhusu January Makamba humu?

Viongozi vijana wenzetu hawa wanapoanza na ufisadi asubuhi asubuhi hivi ...!!!!!!
 
HOJA YANGU:

Je, kuna usahihi gani January Makamba, Mwenye kiti tu wa Kamati ya Bunge kuhusu Nishati na Madini, kwenda kuwakilisha Tanzania kwenye mkutano wa kimataifa kuhusu maswala ya gasi yetu hapa nyumbani na pengine kuingia kwenye mikataba mengine ndoano zaidi wakati yeye si waziri na Waheshimiwa Ngeleja na John Mnyika wao wapo tu????

Na kapata wapi baraka za kwenda kuingia kwenye mikataba kwa niaba yetu (he is going to turn dialogue INTO ACTION)?

Everyone watch out!!!

This is paranoia at its best. Hivi nani kakuambia anaenda kuingia mkataba kwa niaba ya Serikali? Mamlaka ya aina hiyo hana. Hawezi kuwakilisha Wizara wala TANESCO kwa vile yeye sio mtendaji, ni Mbunge wa kawaida na sio mwakilishi wa Serikali. Sioni wapi ni dhambi kwa yeye kuhudhuria mkutano, mdahalo au panel discussion kwa niaba yake binafsi au kwa ruhusa ya Ofisi ya Spika ndani au nje ya nchi.
 
Cha ajabu sana naona THREADS zinazoanzishwa juu ya huyu bwana hapa jukwaani kama vile ile ya dada yake Mwamvita na UHUSIANO WA TIJA kule Barricks hatuioni tena ukutani; MODS, ni kitu gani inmeza Threads kumhusu January Makamba humu?

Kwavile pengine ni Threads za majungu na za kuchafuana zisizokuwa na ukweli wowote. Umeshatafakari hilo?
 
JANUARY MAKAMBA, Chair of Tanzania's Parliamentary Committee for Energy and Minerals is set to turn discussion into action.

Makamba confirms participation and attendance at this senior level debate on the development of gas and power across Africa. With stakeholders from Kenya, Mozambique, Namibia, Nigeria, the UNEP, IFC as well as
major international players from Siemens, GE and Cummins this is a major opportunity for your organisation to join this important 'call for action'.
Powering Africa: the Financial Options (PAFO 5) to be held at Serena Beach & Spa, Mombasa, 9 - 11 November
Meet and engage with a range of Government officials, power executives and utilities from the public and private sector to discuss and act on investment opportunities across Africa. Please contact Amy Offord at [email protected] for more information or to receive a programme.
Yours sincerely,

Amy Offord
EnergyNet Limited
London
[email protected]
+44 (0)20 7370 8704

This is paranoia at its best. Hivi nani kakuambia anaenda kuingia mkataba kwa niaba ya Serikali? Mamlaka ya aina hiyo hana. Hawezi kuwakilisha Wizara wala TANESCO kwa vile yeye sio mtendaji, ni Mbunge wa kawaida na sio mwakilishi wa Serikali.

Sioni wapi ni dhambi kwa yeye kuhudhuria mkutano, mdahalo au panel discussion kwa niaba yake binafsi au kwa ruhusa ya Ofisi ya Spika ndani au nje ya nchi.

Why Makamba (The Bunge Committee Chairman - Legislative Watchdog) and NOT Ngeleja and Mnyika (The Costitutional Executives IN THAT SECTOR)???????????????????????????????
 
Back
Top Bottom