Wanasiasa ndio wanaoiongoza nchi. Tazama Bunge na Utawala (Rais) vinatokana na nini?? Nyerere alisema ili tuendelee, tunahitaji Siasa safi, uongozi bora na watu. La msingi hapa ni uzalendo upo kwa wanasiasa kutenda yale wanayosema ambayo ndiyo mengi??Wizi mtupu nchi yetu imekuwa kila kitu SIASA kila ttizo eti wanasiasa ndio watoe majibu na wansiasa wamejisahu kudhani wao wana majibu ya kila kitu. Katika hao waliohudhuria
Vyombo vya habari vijue kutafuta wahusika sahihi wenye midahalo ili kuwepo na balansi kujaza 90% ya wanasiasa tena amabao hawana taaluma na mmbo ya nsihati kwenye mdahalo wa nishati ni tatizo. Ndio maana hata umeme umekuwa tatizo sugu Sababu ya siasa.
- Nani hata anakumbuka formula ya WATT, POWER, ENEGRY
- Nani anaweza hata kuelezea tofauti ya ifudi ya bulb na tube light
- Nani kabla ya huo mdahalo kam-consult mtaalamu yeyote wa mambo ya nishati au umeme Chuo kikuu au vyuo vikuu. Au kasoma publication ya mtaalam fulani ya Umeme
Hata hao wajumbe waanaokwakilisha taaisis za nishati (EWURA TAESCO) inawezekana ni vingozi tu lakini hawana know how ya NISHATI .
JAMANI WANSIASA WA WATANZANIA NA NYIE MUWE MNAULIZIA WATAAALAM
Wizi mtupu nchi yetu imekuwa kla kitu SIASA kila ttizo eti wanasiasa ndio watoe maajibu Na wansiasa wamejisahu kudhani wao wana majibu ya kila kitu Katika hao waliohudhuria
Vyombo vya habari vijue kutafuta wahusika sahihi wenye midahalo ili kuwepo na balansi kujaza 90% ya wanasiasa tena amabao hawana taaluma na mmbo ya nsihati kwenye mdahalo wa nishati ni tatizo. Ndio maana hata umeme umekuwa tatizo sugu Sababu ya siasa.
- Nani hata anakumbuka formula ya WATT, POWER, ENEGRY
- Nani anaweza hata kuelezea tofauti ya ifudi ya bulb na tube light
- Nani kabla ya huo mdahalo kamcmsult mtaalamu yeyote wa mambo ya nishati au umee Chuo kikuu au vyuo vikuu. Au kasoma publication ya mtaalam fulani ya i ya Umeme
Hata hao wajumbe waanaokwakilisha taaisis za nishati (EWURA TAESCO) inawezekana ni vingozi tu lakini hawana know how ya NISHATI .
JAMANI WANSIASA WA WATANZANiA NA NYIE MUWE MNAULZIA WATAAALAM
Mdahalo umekwisha. Swali ni je, utekelezaji wa maoni hayo utafanyika?? Nashauri tuweke Mdahalo wa kujadili Utekelezaji wa Mada zilizowasilishwa tangu January 2011 hadi sasa.
umeona hee!!!sijuui wanaongea nini,sioni challenge,wanaongea kama watoto wa baba mmoja
Kazi nzuri mkuu!Naamini tumejitahidi ku-update 1st post hivyo ambao hawakuweza kuangalia TV wamepata majumuhisho ya kilichoongelewa.
Shukrani wakuu
Hili ndio tatizo la wabongo; yaani badala ya kujadili issues, sis tunajadili watu! hoja hapa ni nishati na Tanzania Tunayoitaka, hii ndio hoja ya kujadiliwa na sio zitto wala januari hapa! anayeandaa mjadala ana haki ya kumualika mtu yeyote yule ambayae kwa fikira zake yeye anaona kuwa ataweza kufanikisha hoja yake ieleweke kwa wananchi.
Pia naomba muelewe kuwa kila mtu anahaki ya kukutana na watu wengine; na pia anauwezo wa kutoa maoni yake popote pale na kwa kutumia chombo chochote kile, kwa hiyo si lazima zito apate ruhusa kutoka kwenye chama chake kwa ajili ya kutoa maoni yake!
Wanasiasa ndio wanaoiongoza nchi. Tazama Bunge na Utawala (Rais) vinatokana na nini?? Nyerere alisema ili tuendelee, tunahitaji Siasa safi, uongozi bora na watu. La msingi hapa ni uzalendo upo kwa wanasiasa kutenda yale wanayosema ambayo ndiyo mengi??
wataalamu mara nyingi kwenye hii midaharo hawapendi kujitokeza nafasi ziko wazi kabisa; wakifuatwa wanataka malipo tena kwa ghalama za juu..
Na ndio maana wengine tuliuliza ni kwa vipi au ni vigezo gani vilitumika kumualika Zitto- Waziri kivuli wa Fedha na Sio Mnyika Waziri Kivuli wa Nishati?