mafutamingi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,775
- 2,198
Zitto umetoa analysis nzuri. Mimi nimekuelewa. Sidhani wakazi was Lumumba watakuelewa. Watakachoweza kusema ni kuwa unatumika na mabeberu.Hahaha mwenzenu anatafuta sifa za kuwa rais bora Afrika na Dunia, anapata shida kwanini hasifiwi hivyo anatafuta cha kumtoa, tatizo watanzania siku hizi mnajua hamtoi sifa hovyo hovyo anateseka sana.
Alikimbia au alisafiri? Lini Nyamongo iliacha kulindwa na FFU? North Mara inamilikiwa na Barric au Acacia?North Mara
hapa mgodi kinu kimefungwa
sababu ni
1. Mazingira
kuna bwawa la maji machafu (TSF)
2. Mgogoro wa Barrick na Acacia
Ila pia General Manager
alikimbia more than two months amekatalia South Africa
Kuna mjaruo mmoja ndiye ana-Act
sasa na hizi taarifa za Zito
Duh hapa njia panda!
coz hapa North Mara Nyamongo
ndiyo tunashuhudia huu mziki
Dhahabu hakuna kutoka zaidi ya Wiki sasa!
kwamba huu wote ni mkwara?
Kiini macho?
maigizo?
Mmh nadhani hadi Jumatatu ndiyo itaeleweka rasmi!
wacha tusubirie
Serikali inaweza nayo kuja na hoja
askari ndiyo wanalinda huku
Wanajeshi pia wapo huku
Acacia wenyewe hawaamini huu mziki hapa wamekimbia tangu Asubuhi
Yaani maswali ni mengi kuliko majibu sasa
But
Offices zao ziwe Mwanza na Dsm
Hapa siyo kwamba Barrick wamerudisha goli bali wamerudisha na kupata magoli mengine mawili.Goli aliyefunga Pascal Mayalla limerudishwa dk ya 87, naona upande wa pili wanapata Penalt ! kila mtu anaomba kipa wetu aucheze huo mpira usijae nyavuni wakati huo huo mchezaji wetu tegemezi nae anagaagaa kwa maumivu makali huenda akatolewa nafasi yake kuchukuliwa na mwingine!!
Mzungu uwaga si mpumbavu!ukiona amekubali kuingia kwenye deal na wewe ujue kuna sehemu lazima akupige!Barick alikuwa anapambana na mwenzake abaki yeye atupigeKulinda aibu yao ndio wametuingiza chaka zaidi,kama yalioandikwa hapa yana ukweli hata kwa 25% tu basi tumeumia viaya mno!!!!
Nilikuwa najiuliza,kwanini hawa barrick wanapigana sana vita na Acasia juu ya hisa za Acasia,kumbe washaona chaka la kutupiga hela!!!!
Nchi imelaaniwa hii!
Paschal mayalla atawaambia nini watu😂😂Inasikitisha,cha msingi yawekwe hadharani hayo makubaliano tujiridhishe!Ila sidhani Zitto kaandika hili bila kuwa na taarifa za uhakika!
Nilikuwa nashangaa kwanini Barrick walikuwa wamekomaa kumuondoa Acadia njiani,kumbe wameona ndio mwanya wa kutuliza!!!?Daaah,tumepigwa kisawa sawa,hii yote mtu mmoja apate sifa kuwa amefanikiwa kuwaondoa Acasia waliokuwa wanamkwamisha,karuka mkojo kakanyaga mavi,shame!
HahahTafuta ile clip inayoitwa fake ya mazunguzo part 3. Yuko fake mmoja chambo wa familia aliahidiwa tunu kutokana na pendekezo la mama mtu. Kwa kawaida wa africa tuko na extended family ndio nikauliza jina atapewa nani?
Mpinzani wa kupinga. Yeye (Zito) awamu ya nne ndiye alikuwa mstari wa mbele kusema kuwa kinana ni mwizi mkuu wa rasilimali za taifa. Kuwa ni jangiri maarufu wa meno ya tembo. Ajabu hivi sasa yeye ndiye mtetezi mkubwa wa Kinana. Hivi huyu binadamu ni binadamu wa aina gani?
Zitto ameshirikiana na mabeberu kuweka classified infoz hadgarani,anatumika na mabeberu wasioitakia mema nchi hii!!!!
Haiwezekani atoe siri za nchi,makubaliano yalikuwa ya siri!
Natamani dunia ipasuke niingie,nchi hii imelaaniwa!
Hahaha Pascal anachombeza tu, hana maslahi yoyote lakini, soma vizuri nyuzi zake utamuelewa.
Nyie kaeni mkidhania ikifika 2020 mtawashawishi wapiga kura wa kule kijijini kwetu kwa kutumia hoja ya kisomi. Shauri lako.
Mm nilishakuelewa na ndiyo maana mapambio yako yote huwa unampigia jiwe tu na siyo wateule wake. Hapa naona kabisaa kuna kitu umekiona,na kwamba bado akili yako ipo upinzani lkn hoja km hizi hazina ile nguvu ya ushawishi kwa wapiga kura km kule kwetu maririta. Nafikiri unamuunga mkono jiwe kwa sababu anajua kuwapanga wapiga kura wetu.
Inaweza kufika mwezi wa 5 jiwe akampiga chini palamagamba kwa mbwembwe zote kutokana na hili la Barrick..na kura zote akazibeba. Ila tuacheni utani jamani,jiwe ni kiboko aisee!
Jamaa ni mpiga porojo sijawahi kuona hii nchi. Kipindi kile amepewa wizara ya uvuvi,samaki ,Dagaa mpaka mayai ya vyura alikuwa anajua idadi yake!
Yaani nahitaji kujua walau kidogo tu ukweli wa uchambuzi huu wa ZZK, nimeshtuka, moyo umeniuma sana..! 😳 Kama ni kweli Kabudi ndio ana kiwango kidogo hivi na kulifanyia Taifa letu hivi kweli? Kweli? 😪 Bado siamini kwa sasa, nikijua ZZK ni mpinzani na hawezi support serikali ya JPM, hilo tu ndio linanipa moyo kwa sasa nisiamini.
North Mara
hapa mgodi kinu kimefungwa
sababu ni
1. Mazingira
kuna bwawa la maji machafu (TSF)
2. Mgogoro wa Barrick na Acacia
Ila pia General Manager
alikimbia more than two months amekatalia South Africa
Kuna mjaruo mmoja ndiye ana-Act
sasa na hizi taarifa za Zito
Duh hapa njia panda!
coz hapa North Mara Nyamongo
ndiyo tunashuhudia huu mziki
Dhahabu hakuna kutoka zaidi ya Wiki sasa!
kwamba huu wote ni mkwara?
Kiini macho?
maigizo?
Mmh nadhani hadi Jumatatu ndiyo itaeleweka rasmi!
wacha tusubirie
Serikali inaweza nayo kuja na hoja
askari ndiyo wanalinda huku
Wanajeshi pia wapo huku
Acacia wenyewe hawaamini huu mziki hapa wamekimbia tangu Asubuhi
Yaani maswali ni mengi kuliko majibu sasa
But
Offices zao ziwe Mwanza na Dsm
Mkuu njoo na hoja ya kumjibu kutokana na mada yake hapo juu ueleze jibu ya kila point yake hapo na ufafanuzi na faida tutakayo ipata kuendelea kumpa majibu kama haya ulio yaleta ni kuendelea kumpa kichwa ndugu huyu tusikwame kiasi hiki kwa kuja na vioja mimi ni mwana CCM ila ningefurahi kwa mwana chama mwenzangu mwenye uelewa na hivi vitu waje kumjibu vizuri kupangua hoja moja mpaka nyingine ili kumfedhehesha huyu kiumbe mnafiki zitto