Zitto: Msitegemee nitakosoa kama kipindi cha Magufuli

Baada ya kushikishwa bilioni hata hili Kaka kimyaaa.
 
Na usaliti wa ayatollah na msaliti Zitto alioufanya ndani Chadema hadi kufukuzwa aliufanya wakati nani akiwa Ikulu!?

 
@pasco
Umesahau my friend, kunatofaut Kati ya kukosolewa na kutukanwa, kwa kuwa ww Ni mwandishi nnakuuliza, hvi ukosowaji wa serikali unafya kwa mtu au kwa taasisi?? JPM alitukanwa Kama taasisi au Kama mtu?? Ikiwa ukosoaji unafanyika unafanyika kwa Ssh Ni kwa taasisi au kwa mtu??

Kuna uwezekano mkubwa tukaenda kuanguka kwenye kolongo ikiwa tutakubaliana na mawazo yako,

Nikupe mfn tu leo hii umeme unakatika katika bila mpango just miez sita tu toka JPM aondoke, je Ni kwel miundombinu imemute ghafula?? Halafu wazir bila aibu anasema et miundombinu mibofu, unadhani Ni bahati mbaya??

Haya Angalia sasa maji dar hakuna maeneo mengi, unauliza hakuna majib, kwa ujumla utendeji umeshuka, swali Nani aambiwe?? Taasisi au mtu binafsi?? Je tuflame lugha ya kukosoa?? Maana kila mtu ananamna yake, ukikutana na mtu kaibiwa halafu kampata mwizi wake asee hyo hasira yake ikoje? Na je Kama hujaibiwa?? Lazima uwe na tone nyingine japo itausema wizi Ni mbaya..
 
Wanasiasa wote ni wachumia matumbo tu , hakuna wa kukutetea,

Chamsingi ni kufanya kazi kwa bidii na kwa kutumia maarifa aliyokupa Mungu ili uweze kujikwamua kimaisha wewe na familia yako
Hii kauli inawanufaisha sana CCM!!
 
Mchumia tumbo mwingine bado anahaha huku na kule ili wamuone wamtupie fupa akatafune kwa raha zake.

 
Hapa p kafikilia Kama katoka kusighn bahasha ya kaki, et mwanamke!! So wht? Inamaana...... Anyway ngoja niache tu... Bt mkuu Pasco umechemka kwel kwel..
 
Wenyekumbukumbu hum jf si hyu Beatrice Kamugisha aliaga au m nimechanganya madesa??

Anyway turudi kwenye hoja, hao uliowataja ukimuondoa zzk maana yy Ni fursanism wengine hapana,

Polepole yy kwa wakati wote yupo hvyo hajawahi kubadilika ila huwa anakuwa kutegemeana na kiapo chako, hata ww bety tukikikupa uwazir utakuwa mwingine na siku ukiwa mbunge utakuwa mwingine na hata ukikosa kabisa kazi utakuwa mwingine, kinachotofautisha Ni MAADILI,

Nikupe mfano rahis, mwanamke akiolewa hawezi kuwa na tabia zilezile ambazo alikuwa nazo wakati hajaolewa, na atalazimika kutokufanya baadhi au kuacha kabisa kwa sababa za kimaadili ya ndoa, ila hatabadilika jinsia yake,

Hvyo hao wengine Ni majukum tu polepole nw anasikilizwa Zaid pengne kuliko wakati wowote ule, ngwaj boy, alikiwasha mapema nadhani wamemfunga speed gavana kidg, ila huwa hatabiliki anajua kucheza Sana na mob saikoloji, anaweza kuibuka popote na lolote,

Kwa yule jamaa wa kusin kwa Sasa Hana Tena sauti, isipokuwa kuzungumza ili ale pension yake, so far ukosoaji unafanyika kwa aina yake na mtu husika na ameumizwa vip na anachokosoa..

Hv leo mmachinga akikosoa atatumia lugha ipi?? Kamwagiwa vitu vyake, kaibiwa, Hana Tena kipato, hajui kesho yake ipoje, unadhan hyo lugha yake itakuwaje??[emoji40]

Watu wanasema bt for their on tone..
 
Mjinga hukimbilia matusi,ukianza kwa kunitukana,mjinga ni mamaako aliyekubali kukosolewa na govi ukatoka mtoto ambaye ubongo wako una utando wa utoko toka kwenye govi la babaako,na Bila Shaka mamaako atakua na qkuma mbaya,qkuma mbaya hutoa watoto wenye akili mbaya
 
Mchumia tumbo mwingine bado anahaha huku na kule ili wamuone wamtupie fupa akatafune kwa raha zake.
Yaani lazima watu wote tufanane mtazamo na ufipa ili tusiwe wachumia tumbo!!?
 
Acha ujinga wewe kuna ushahidi chungu nzima dhidi ya huyo msaliti uliosababisha afukuzwe Chadema. Alikuja humu December 2012 kuandika uzi wa kuomba samahani na kuahidi ushirikiano na Viongozi na wanachama wa Chadema. Akaulizwa maswali mengi ambayo alishindwa kuyajibu na baadaye kutaka uongozi wa JF ufute uzi ule. Kabla ya KUKURUPUKA na kuonyesha ujinga wako hadharani uliza kwanza.

Yaani lazima watu wote tufanane mtazamo na ufipa ili tusiwe wachumia tumbo!!?
 
Kama hujui J.K ndiye aliye muingiza Zito ktk sisa hizo za ulaghai mpka akafukuzwa Chadema.Ni kweli awamu ya kwanza ya uongozi wa JK Zito alikuwa Moto Sanaa lakini Ile awamu ya pili Mara baada JK kupigwa na Dr. Slaa ktk uchaguzi na maccm Kama kawaida kujitanganza yameshinda. Zito akaanza kuwa jirani na watu wa usalama na utajiri wa kufuru mpka akasaidiwa kuanzisha Chama Cha ACT ili kuidhohofisha CHADEMA.
Hatuwezi jua Kama alishawishiwa kwa fedha tuu au kijana aliketishwa chini na kuambiwa aache kupinga Marais Waislamu kwa kuwa ni ndugu zake lakini ukweli ndio huo Zito sio yule kijana aliye nivutia wakati ule akijenga hoja jukwaani.
 
Kushauri ni kuzuri, Mama anafanya vizuri jamani tumpe ushirikiano
 
Nilikuwepo,nakumbuka alikua na kitilya,nakumbuka wangwe pia,ungeweza kunijibu tu Bila kunitusi,kwa mtindo huo wa kukosa busara hakuna atakaewapa nchi,nakumbuka pia ile orodha ya aibu(list of shame) ya mwembe yanga,najua wachaga wanafanya tu biashara ya siasa,hawaamini na Wala hawana Nia kwamba watachukua dola,ndiyo maana wachaga na wapemba(wote waabudu fedha) wakauza vyama vyao 2015
 
Huwezi kuwa chadema ukawa na akili lazima uwe nyumbu na matusi kwao ni salamu msamehe bure huyo manka [emoji23][emoji1787]
 
Sasa kama unaandika ujinga unataka nirembe? Kukosa busara ni kuja humu kuandika ujinga. Maccm yalishajifia siku nyingi yako ICU yanapumua kwa msaada wa polisiccm na tume FEKI ya uchaguzi. Siku ukitia akili kichwani utaelewa tu kwa sasa endelea kuamini ujinga wako.

 
Dola imeamua nchi itaongozwa na ccm,hatuwezi kuwapa nchi watu wakabila,mtahangaika Sana,hamtoiona ikulu
 
Angalia ujinga ulivyokujaa kichwani!!!! Hata maana ya dola tu huijui!! Chadema ingekuwa ni chama cha kikabila kisingekubalika nchi nzima. !! Peleka ujinga wako lumumba siyo humu.

Dola imeamua nchi itaongozwa na ccm,hatuwezi kuwapa nchi watu wakabila,mtahangaika Sana,hamtoiona ikulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…