inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Nchi mzima gani inakokubalika chadema?..pwani,visiwani!!?...Ina wabunge wangapi?..chama kikuu Cha upinzani ni kipi?...mwisho dola ni nini?Angalia ujinga ulivyokujaa kichwani!!!! Hata maana ya dola tu huijui!! Chadema ingekuwa ni chama cha kikabila kisingekubalika nchi nzima. !! Peleka ujinga wako lumumba siyo humu.
Mimi nilikukwoti wewe, kasome post yako uliyosema "msituone wajinga". Niliikwoti na nikai-bold!.Wewe ndiye uliyeanza kuniita mjinga,kamuulize mamaako alipanua kiasi gani siku ya kutungisha mimba yako?
Ukakoti msituone wajinga au ukaniita mjinga!?..upo baa nini,umesahau ulichotenda punde tu!!?Mimi nilikukwoti wewe, kasome post yako uliyosema "msituone wajinga". Niliikwoti na nikai-bold!.
Nchi mzima gani inakokubalika chadema?..pwani,visiwani!!?...Ina wabunge wangapi?..chama kikuu Cha upinzani ni kipi?...mwisho dola ni nini?
Hatuwezi kuweka hatima ya nchi mikononi mwa watu wasio na kumbukumbu,Jana waliambiwa huyu fisadi,Leo wanaambiwa wazungushe mikono na wanachekeleaSasa wewe mnyalukoro kama ni hivyo kwanini isiwepo Tume huru ya uchaguzi ili washindwe wenyewe?
Eti wana wanabunge wangapi Kwani hila zilizofanyika uchaguzi ulopita hukuona?
Kuna jamaa mmoja alisikika kupitia vyombo vya habari akiwaonya wasoma Mizo was uchaguzi wakurugenzi wa Halmashauri kuwa “nikuteue nikulipe mshahara halafu utangaze mpinzani kishinda” unazani kauli hiyo imeleta matokeo gani na jinsi alivyokuwa akiogopeka?
Wakubwa zako wanafahamu hicho chama jinsi kilivyotishio ila wewe kwa jinsi ulivyo akili yako unawachukulia Poa?!
Kweli Utoto huwa na raha yake sometimes maana wakati watu wazima kwenye familia wanapofikiria chakula na ada itapatikana wapi mtoto ndio kwanza anacheza na kufurahi na kuchukulia mambo kirahisi.
Hatuwezi kuweka hatima ya nchi mikononi mwa watu wasio na kumbukumbu,Jana waliambiwa huyu fisadi,Leo wanaambiwa wazungushe mikono na wanachekelea
Lala jamaanguSasa eventually ikawaje ?
Mbona tena akapokelewa alikotoka awali?
Sasa si yale yale tu!
Maana kama mngemkataa basi walau mngeonesha msimamo thabiti lakini mwisho wa siku na nyie mmempokea na kumkubali.
Halafu hilo swala halina mashiko kabisa!
Hiyo post niliyokwoti haikuandikwa na watu wengi bali ilindikwa na mtu mmoja na ndiye ndiye nilyemjibu. Mojawapo ya failure yako katika post hiyo ni kule kutaka kujificha nyuma wa watu wengi fictitious badala ya kutoa mawazo yako binafsi. Hapo ulitaka kugeneralize, ila mimi sikutaka kugenerealize kama ulivyotaka bali nilimjibu mwandishi, ambaye alikuwa wewe.Ukakoti msituone wajinga au ukaniita mjinga!?..upo baa nini,umesahau ulichotenda punde tu!!?
Hawawezi kuwa walewale CCM ni kama mkoloni tu kwa sasa sio chama tena...na ukiona mtu anaisisitiza sana hii ujue ni mnufaika, yaani ni CCM.Kwa hiyo CCM sio chama cha siasa , wote ni wale wale tu
Ni tatizo la nyani kugeuka binadamuHuyu mutu ya Kigoma leo imesema tusimtegemee akikikosoa Kama alivyokuwa anafanya awamu ya JPM. Nadhani anachosau zito Ni kwamba hakuna mwananchi anayetaka ukosoaji, wananchi wanachotaka ni kuona kiongozi anamsimamo na anaweza kuwatetea iwe kipindi Cha njaa au Cha neema.
Zitto anachodhania yeye ni kwamba maisha yasiasa nikukosoa nakusahau kwamba endapo utakosoa bila hoja au bila msimamo unaoonekana hakuna atakayeangaika na wewe. Akina Polepole wamejaribu kukosoa na Wana hoja ila wananchi wamewapuuza kwa sababu wanajua wanatafuta riziki ya matumbo yao na familia zao.
Gwajima alijitutumua akapuuzwa kwa sababu alielekeza hoja zake kwa manufaa yake na taasisi yake. Membe kaibuka juzi watu wamempuuza kwa sababu alipaswa kusema JpM akiwepo ila kusubiri hayupo nikujitaftia umaarufu usio na tija. Akina Mdee hakuna anayewasikiliza maana watu wmeona wazi wamethamini familia zao kuliko Taifa.
Hivyo Zitto hata ukae kimya na usifie kila kitu poa tu, wamekujua wewe unatafuta Nini kwenye siasa. Watakaodumu ni wale watakaobaki na misimamo ya asili.
Labda kama aliulizwa ndio akajibu hivyo; othwerwise hana impact (due to undumilakuwili).Huyu mutu ya Kigoma leo imesema tusimtegemee akikikosoa Kama alivyokuwa anafanya awamu ya JPM. Nadhani anachosau zito Ni kwamba hakuna mwananchi anayetaka ukosoaji, wananchi wanachotaka ni kuona kiongozi anamsimamo na anaweza kuwatetea iwe kipindi Cha njaa au Cha neema.
Zitto anachodhania yeye ni kwamba maisha yasiasa nikukosoa nakusahau kwamba endapo utakosoa bila hoja au bila msimamo unaoonekana hakuna atakayeangaika na wewe. Akina Polepole wamejaribu kukosoa na Wana hoja ila wananchi wamewapuuza kwa sababu wanajua wanatafuta riziki ya matumbo yao na familia zao.
Gwajima alijitutumua akapuuzwa kwa sababu alielekeza hoja zake kwa manufaa yake na taasisi yake. Membe kaibuka juzi watu wamempuuza kwa sababu alipaswa kusema JpM akiwepo ila kusubiri hayupo nikujitaftia umaarufu usio na tija. Akina Mdee hakuna anayewasikiliza maana watu wmeona wazi wamethamini familia zao kuliko Taifa.
Hivyo Zitto hata ukae kimya na usifie kila kitu poa tu, wamekujua wewe unatafuta Nini kwenye siasa. Watakaodumu ni wale watakaobaki na misimamo ya asili.
Umekosea sema baada ya KUIBIWA KURA Chini ya utawala wa lile DUBWASHAKama alivyopuuzwa Lissu alipoitisha maandamano baada kushindwa uchaguzi maana watu walijua anapigania tumbo lake!
Dah! Sad to hear this from you. Ila naheshimu maoni yako.Mkuu Bite, Beatrice Kamugisha , ZZK is very right, hii ndio kitu kinachoitwa political maturity, kwa maoni yangu ZZK is maturing well kwenye politics kwa kufuata kanuni inayoitwa "managing political divesity" you can't treat a female politician as how you treated male!. JPM was a male politician hivyo unaweza kum criticize utakavyo na hata kumtukana hata kumtusi na ikaonekana ni kawaida, its not a big deal, lakini huwezi kumtukana mwanamke na inaonekana ni kawaida. Mwanaume akidhalilishwa anadhalilika na kunyong'onyea tuu, akipiga vitu analala akiamka its another day, life goes on as if nothing happens. Lakini kumdhalilisha mwanamke, anaumia, anaweza kulia machozi, la ukiangalia macho yenyewe yale alafu uyalize !. No !. Zitto is very right, ukosoaji utaendelea but with dignity kwa lugha za heshima na staha, sio kwa udhalilishaji kubeza au kubagaza, tunaongozwa na Mama na sio Baba, lazima tubadilike twende nae taratibu, tusimkilbize mchaka mchaka, sio mnatuona hata kina sisi, the tone has changed, huyu Mama...basi tuu
Hebu just imagine...
Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!”
Wanabodi, Leo asubuhi nimeangalia kipindi cha mahojiano ya Makamo wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumzia Siku ya Wanawake Duniani kwenye TBC akihojiwa na Shabani Kissu. Kwa Waliosikiliza kipindi hiki, kiukweli huyu ni mwanamke wa kupigiwa mfano, mtanisamehe sina maneno ya Kiswahili ya...www.jamiiforums.com
"Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza
Wanabodi, Niko kwenye voluntariy lockdown, hivyo leo nimepata fursa ya kuangalia TV ya Zanzibar, ZBC, Mwandishi wa habari wa CCM Zanzibar, Daudi Ismail anamhoji Makamo wa Rais wa JMT, Mhe. Samia Suluhu Hassan anauzungumzia Muungano, kiukweli huyu Mama Samia anauzumguza vizuri muungano huku...www.jamiiforums.com
Siku ya Wanawake Duniani: Je, tuna Wanawake wenye sifa za Presidential Material?
Wanabodi, Leo ni Siku ya Wanawake Duniani, katika safari ya kuelekea usawa wa kijinsia, kuna wanawake wengi wenye sifa na uwezo, lakini wamenyimwa fursa za kushika nafasi za juu kisiasa kutokana na nyingi ya nafasi hizo, kuhodhiwa na wanaume, katika kitu kinachoitwa "mfumo dume!" Swali ni je...www.jamiiforums.com
Ikitokea kuna Kiongozi ana Macho mazuri, na umeyapenda, je, kuna ubaya kumsifia macho yake? Ni ukosefu wa heshima na adabu?
Wana MMU, Salaam. Sisi binaadamu kila mtu ana kitu chake apendacho ndani ya moyo wake, na kila akikiona hicho apendacho, anakuwa roho kwatu!. Nina swali, inapotokea wewe unapenda macho, halafu kukatokea kuna kiongozi fulani mwanamke ana jicho hilo!, wewe unapenda jicho, ukimuona huyo mwenye...www.jamiiforums.com
P
Dont be sad, differing views and opinions is very healthy in any society cha muhimu ni kuheshimu mawazo ya wengine, hata kama hukubaliani nayo.Dah! Sad to hear this from you. Ila naheshimu maoni yako.
Dah! Sad to hear this from you. Ila naheshimu maoni yako.
Nchi nzima ipi labda huko uchaganiAngalia ujinga ulivyokujaa kichwani!!!! Hata maana ya dola tu huijui!! Chadema ingekuwa ni chama cha kikabila kisingekubalika nchi nzima. !! Peleka ujinga wako lumumba siyo humu.
Possible. Hata walioko CCM nao ni wote ni wachumia tumbo?Wanasiasa wote ni wachumia matumbo tu , hakuna wa kukutetea,
Chamsingi ni kufanya kazi kwa bidii na kwa kutumia maarifa aliyokupa Mungu ili uweze kujikwamua kimaisha wewe na familia yako