Zitto: Nimefuatilia uvumi na mjadala mtandaoni kuhusu afya ya Mheshimiwa Rais wetu. Nina matatu ya kusema...

Status
Not open for further replies.
Sawa kigogo
 
Mkuu uonevu gani?Jamaa achukue tu hatua coz hawa watu ni WAPUMBAVU. Huwezi mzushia Rais kifo ukataka msamaha tena kwa njia za kipumbavu pumbavu. Hatua yyt atakayochukua iwe invisible or visible NITAUNGA MKONO.
 
Naona metoka mafichoni mmeanza shobo zenu za kipuuzi, pigo lijalo ndo mwisho wenu
Kwa vile imeshajulikana zito ndio planer nitakata kichwa chake na kukitembeza mitaani....nipo tayari kumuua zito kwa panga..
 
Nyie wapuuzi wa lumumba what goes around comes around , huyo kenge muuaji ameauthorize mauaji ya Watu wengi wasio na hatia na unyanyasaji kibao , halafu mnatoa Ushuzi humu eti tumuombee . Kwa lipi Jema ? . Fools
Kenge baba yako
 
Yeriko Nyerere anasema wewe na wenzio watatu ndo Kigogo@2014
Jiteteee
 
Zitto ulivyo mnafiki hata hizi comments huna habari nazo! Unaturushia uzi unakimbia zako.

Nilikuhurumia ulivyofukuzwa chadema na hadi leo nikapoteza mapenzi na chadema na upinzani kwa ujumla. Lkn nazidi kujiridhisha wewe jamaa na mnafiki mkubwa!

Kwenye hili na kufurahia Rais afe umefanya uchuro sana. Umejitahidi kutumia busara kujiwahi kuomba radhi, hongera hilo.
 
Huo wema uwe kwa pande zote mkuu. Kumbuka siasa zenu hazina wema
 
Wanatufundisha tuendelee kuchagua CCM milele Maana wao Ni wa hovyo kuliko hata hao CCM.
Pia wanatuonyesha walivyo na uchu na madaraka ,kwa vyovyote vile watakuwa wakuchumia matumbo tu.
Kiukweli kwa jinsi nisivyoipenda CCM halafu watu ambao nategemea ndio wawe mbadala wa ccm wanafanya upumbavu kiasi hiki, hapa jibu nnalolipata nijiweke mbali na siasa tu.
 
Kiukweli kwa jinsi nisivyoipenda CCM halafu watu ambao nategemea ndio wawe mbadala wa ccm wanafanya upumbavu kiasi hiki, hapa jibu nnalolipata nijiweke mbali na siasa tu.
Nakupenda kwa sababu unasimama katika ukweli..wewe Sio Kama bendera.

Mimi kura lazima nipige,na nitachagua CCM Hadi pale upinzani utakapojiimarisha
 
kumbuka yeye ni mtu ambaye inabidi asilete udaku kwa heshima aliyo nayo, je yeye ni mtu wa kusikia story ya kigogo na kuanza kuiaminisha umma?
 
Mkuu na Mh. Zitto, ufuatao ni ushauri wangu kwako:

Jitambue, Jikubali, Jiandae kwamba uanguka vibaya sana Kijamii, Kisiasa na Kiuchumi.

Mitandao ya kijamii siyo uwanja/jukwaa (platform) sahihi la kujitafutia umaarufu. Jikite kwenye jimbo lako kusaidiana na viongozi wenzako, kichama na wa serikali, kutatua kero za maendeleo ya wapiga kura. Pia tumia nafasi yako ya Ubunge kuwasilisha hoja zenye mmashiko kijimboni kwako na hatimaye kitaifa.

Wahenga walinena "Charity begins at home".

Siku njema.
 
Hivi ukweli ni upi? Mnanichanganya. Dalili zote zinaonesha kweli alikuwa mgonjwa,.
Zitto ni mnafiki yeye naye ndio alikuwa ana eneza uvumi huo na uzushi hahahaha koma acha unafiki bora uendelee kuwa mchawi kuliko kuwa mnafiki!
 
Mkuu uonevu gani?Jamaa achukue tu hatua coz hawa watu ni WAPUMBAVU. Huwezi mzushia Rais kifo ukataka msamaha tena kwa njia za kipumbavu pumbavu. Hatua yyt atakayochukua iwe invisible or visible NITAUNGA MKONO.

Kwani kabla hajazushiwa, hizo hatua za visible na invisible hajachukua? Au kuna hatua mpya atachukua sasa? Hatua yoyote ya sasa tafsiri yake ni muendelezo wa chuki dhidi ya wale wasiomsujudia. Hizo chuki kazipanda mwenyewe, iweje akimbie mrejesho wa alichokitengeneza? Ajitafakari kwa uonevu anaoufanya wa kiitikadi kama anataka tuwe pamoja, na kama hataki asikimbie majibu. Hata kilichomkuta Tundu Lissu uliunga mkono, hivyo usiopunga mkono hizo hatua unazopendekeza, nitakukumbusha uziunge mkono.
 
Wanasiasa unafiki unawafanya wawe vipofu. Kwake yeye UTU na UNDUGU au Uzalendo ni pale yalipo maslahi yake.
 

Mwigulu kwanza karibu jukwaani kwani una muda huku hufiki mbali ya tuhuma mbalimbali unazotupiwa tena nyingi ni za msingi. Anyway hiyo sio mada leo, naona umerukia hii post ya Zitto ili uchukue point za mezani kwa rais na hatimaye akukumbuke. Haya unayodai yanataka utu bila siasa, yalimkuta Lissu lakini ulijiweka mbali na hukuchangia lolote humu jukwaani, simply ni kwakuwa Lissu sio rais na hawezi kukupa cheo. Ww binafsi huna taswira nzuri kwenye siasa za utu, ndio maana uliweza kuzunguka na kijana aliyejeruhiwa ukimtumia kama mtaji wa kisiasa.

Ni vyema ungekaa kimya tu kwani huna cha kupoteza, lakini huna rekodi ya utu kwenye nchi hii, na ww kwako cha kwanza ni maslahi binafsi na siasa za ccm. Umenyooshewa kidole mara nyingi kwenye mambo ya ukatili, na yote hayo ni uhusika wako wa siasa zisizo za utu.
 

Hivi hawa watu hiyo Ruzuku wanayopata kutoka Serikalini, kama kweli ni wazalendo, hawawezi kujenga hata ki-Darasa kimoja tu cha Shule ya Msingi au hata kununua madawati 10 tu ya watoto wa shule za msingi? Mbali na Ruzuku, haya wanaweza kuyafanya hata kwa kuchangishana elfu tano tano tu! Lakini tunachoona ni maneno tu bila vitendo kisa wao hawako madarakani. Kuna vitu vingine vidogo tu lakni vya maana na vya thamani sana kwa wanachi ambavyo walitakiwa kuwa wanavifanya, pamoja na kuwa wao bado hawajaingia madarakani. Tatizo wao kufanya kitu inabdi mpaka wawe madarakani. Sasa wa-tanzania watawawezaje kuwaweka wao madarakani wakati hakuna wanachofanya zaidi ya kupiga domo na kuikwamisha serikali?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…